Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wakuu heshima mbele naombeni msaada wenu, natokwa sana jasho kwapani hali inayopelekea kushindwa kabisa kuvaa mashati au tsheti nyeupe maana ulowana kabisa kwapani utafikiri nimemwagiwa maji! kama...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Ninakidonda kikubwa ambacho kimesababishwa na malenge lenge mguuni, sasa yapata miez miwil kidonda hakipungui, nitumie dawa gani? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Salaam Zenu Wakuu! Mimi ni mama wa watoto watatu, wote wa kike. Watoto wote hao nilijifungua kwa njia ya operation. Wakati wa mimba ya kwanza niliambiwa na Daktari kuwa siwezi kujifungua kwa njia...
2 Reactions
102 Replies
16K Views
Habari za leo wana JF. Mimi ni mzazi mpya nimejifungua kwa operation mtoto wangu wa kwanza tarehe 14/5/2014 ni jinsia ya kike. Msaada ninaoomba hapa ni kupatiwa ufumbuzi wa swala hili mwanangu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za kaz wakuu! Hali hii imenitokea leo asubuh kama saa3 hivi nilikuwa na kabaiskeli kakamongo nimepanda mlima kidogo tu nikaona pumzi inakata kifua kizito,kukosa nguvu nikapumnzika kando na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani Nina tatizo la jino (linaniuma sana) hivi kuna tiba nyingine mbali na kung'oa?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu ni hospitali gani ambayo wanaweza kunifanyia operation ndogo ili nitoe hizi herufi mbili (tatoo) mkononi mwangu ambazo nilijichorwa nikiwa mdogo. na ni shillingi ngapi? Au kama kuna dawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anahema kwa shida sana. Nifanyeje?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salam ndugu zangu. Mke wangu ni mjamzito wa miezi minne japo unaenda mwezi wa tano. Mimba alinasa january, wkt bado hajaconferm, akapatwa na malaria, alipima akaamua kumeza malafin/metacafrine...
0 Reactions
6 Replies
34K Views
Habari wana jamvi, mimi ni mama nimejifungua kwa upasuaji jumatatu ya tarehe 5 mwezi huu wa 5. Baada ya upasuaj niliruhusiwa kurudi nyumbani lakni naona kidonda kinatoa majimaji upande wa kulia...
1 Reactions
13 Replies
56K Views
Habari zenu wanajamvi Naomba msaada wenu, ni dawa gani inaweza tibu tatizo la miguu kutoa harufu?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika vituo binafsi, wagonjwa wamekuwa wakipimwa kwa gharama inayofikia Sh50,000 hadi 60,000 kwa kila mtu.PICHA|MAKTABA KWA UFUPI Katika vituo binafsi, wagonjwa wamekuwa wakipimwa kwa gharama...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina ndugu yangu ana HIV, amejaribu kuanzishiwa hizi dawa za kuvubaza lakini zote zimemkataa, anavimba mwili na nnyingine inamtoa mapunye baadaye yanakuwa vidonda vikubwa na nyingine anakuwa kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni sawa kutumia septrine kwa mjamzito wa miezi5? ila ana HIV positive na pia kapewa dawa nyingine.
0 Reactions
1 Replies
7K Views
What Are the Health Risks of Overweight and Obesity? Being overweight or obese isn't a cosmetic problem. These conditions greatly raise your risk for other health problems. Overweight and...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Nilikuwa na infection ambayo niliandikiwa matibabu ya Cipro kwa wiki tatu. Matokeo yake hiyo dawa imenisababishia side effect mbaya sana ijulikanayo kama C. Dificile na pia kuwashwa na ngozi kama...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi Kuna rafiki yangu ana tatizo la kansa anatakiwa achome mionzi, na mpaka dakika hii yupo Ocean Road. Kwa sasa ana na bado hajaanza tiba. Kwani mtu anayechoma mionzi inabidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa mara ya kwanza nimeona kitu kama ute (mucus) baada ya kumaliza kukojoa ukitoka.je ni tatizo au ni kawaida? Shukran.
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mboga za majani ndizo nzuri zaidi katika afya ya mtu Watafiti nchini Uingereza wanasema kula matunda na mboga za majani mara saba kwa siku inakuwezesha kuwa na afya zaidi kuliko mara tano...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A diet rich in whole, natural foods is not only excellent for overall health, but also for prostate health. Research shows that certain nutrients and foods that have an abundance of these...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…