Pumzi kukataa hatimaye kukosa nguvu na kupata kizunguzungu na kushindwa kupumua

KAMINYINGE

Member
Mar 8, 2013
64
95
Habari za kaz wakuu! Hali hii imenitokea leo asubuh kama saa3 hivi nilikuwa na kabaiskeli kakamongo nimepanda mlima kidogo tu nikaona pumzi inakata kifua kizito,kukosa nguvu nikapumnzika kando na kuendele na safar kwa tabu sana hapa nn tatizo? msada
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom