Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Juzi mchana ameanza kuona damu kama zinabeep ilitoka mara moja ikatoka tena jana hasubuhi. Je inawezeka mimba imeharibika?? Pia anasikia maumivu ya makali ya kiuno, tumbo pamoja na matiti...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Wakuu, Kama unasumbuliwa au una ndugu au rafiki anasumbuliwa na ugonjwa wa Moyo na matatizo mengine katika Moyo kama vile moyo kuwa mkubwa, moyo kuwa mdogo, moyo kuwa mpana, mafuta mengi katika...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari. Mi ni mkazi wa Dar es salaam. Nina meno mawili ya juu mabovu (moja incisor na lingine linalofuata kwenda ndani baada ya hilo incisor), yametoboka. Nimewahi kuwa na meno mengine mawili...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Salamaleko? Kama kichwa cha thread kinavyouliza; kifua cha mwanaume kina nyonyo mbili ambazo kwangu naona kama ni kiungo redundant. Kwani nyonyo zina kazi gani ktk chest ya dume? I 'm...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
KULINGANA na Hazina ya Umoja wa Mataifa ya Idadi ya Watu, zaidi ya wanawake nusu milioni hufa kila mwaka kutokana na matatizo yanayohusiana na mimba. Isitoshe, Shirika la Umoja wa Mataifa la...
1 Reactions
3 Replies
10K Views
Ni miezi miwili sasa tangu Mke wangu ajifungue kwa njia ya upasuaji.Baada ya wiki 2 hiv kikawa kimepona kabsa kwa juu,la kushangaza ni kuwa ile sehemu baada ya mwezi na wiki 1 kunatokea na vitobo...
0 Reactions
13 Replies
12K Views
Habari waungwana, Mimi ni mdada am in my 30's. miaka ya hivi karibuni nimekua na tabia ambazo ni za ajabu sana sasa sijui ni nini kimenipata i)sipendi kuvaa nguo na hivi naishi pekeangu...
4 Reactions
162 Replies
17K Views
Wanajamvi, tunaambiwa kuwa chanzo cha ugonjwa wa Ebola ni muingiliano wa binadamu na wanyama wanaobeba virusi vya ugonjwa huo, hasa kwa kula nyama ya nyani na aina fulani ya popo. Mimi binafsi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kufahamu, Nina kijana wangu wa shamba aliumia kidole last week kwa kuangukiwa na pipa,sasa leo nimekwenda shamba nakuta bado kidole hakijapona vizuri nikaonelea nimpeleke hospitali...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Jana nimemwona waziri fulani kwenye tv anaongea kuhusu kisukari na hari inavyozidi kuwa mbaya ukizingatia na gharama ya matibabu lakini kidogo wakati anataka kuongea juu ya sababu ghafla akasita...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
I have just been moved by this, and hope to read books on the practice of indigenous medicine in African context, cause we have every chance of building on our indigenous medical industry just...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KWA UFUPI Jambo hili linafanywa sehemu mbalimbali kama vile nyumbani, migahawani, hotelini, shuleni na zaidi mitaani kwa wakaanga shipsi, mihogo, mandazi, samaki na kitimoto Kama moja ya njia...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu jaman! Naomba mnisaidie njia za kupunguza unene ikiwezakan hata anae jua dawa za kuondoa hamu ya kula plz wadau nisaidien najichukia sana.mazoez Na diet nimeshindwa kbs
0 Reactions
6 Replies
2K Views
KWA UFUPI Ubongo una mfumo wa mawasiliano ya kustajabisha kama makala haya yanavyochambua. Ubongo ni kiungo cha aina yake katika mwili wa binadamu. Ubongo hutoa kila fikira, tendo...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Mtoto ana homa nimempa panadol lkn baada ya dakika kama moja ametapika. vipi natakiwa kumpa tena dawa au kwa kipindi cha dakika hizo dawa inakua tayari imeanza kutumika mwilini haina haja ya kumpa...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Samahani wadau aina ya dawa hapo juu inauzwa pharmacy ipi maana nimeiulizia pharmacy nyingi bila mafanikio. Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Napenda kuuliza mme wangu anatatizo la kuvimba kwa kichwa cha uboo ambalo hutokea tukimaliza kusex. Halina mda mrefu tangu limuanze, mwenye kujua shida ni ninI karibu kwa mchango wako.
1 Reactions
18 Replies
15K Views
kuna ka uvimbe kametokea kwa ndani pemben mwa korodan zangu pili jogoo anarudi ndan kama kidole gumba ikichanganya na kiuno kuuma ile mbaya
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hbr zenu wana jf polen na majukumu naomba msaada wenu mwenzenu tangu juz usiku natema mate mpaka imekuwa kero kwa weozangu sasa naomba mnijuze kama ni dalili za ujauzito au la!sihisi kichefuchefu...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Back
Top Bottom