Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

wingi wanywele mwilini unasababishwa na nini?
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Wakuu nina mtoto wa kiume ana miaka 12 amekua akianguka na kupoteza fahamu mara kwa mara kwa miaka kadhaa sasa. Vipimo (EEG) vimeonyesha bayana kuwa ana kifafa (an active generalizing seizures...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jaman mi nilikuwa naumwa sana tumbo la Mp. Lakin nilipoanza kutumia pad za HQ maumivu yamepungua. Najiuliza hazina madhara yoyote kiafya kutoka na raw material yaliyotumika kutengenezea...
0 Reactions
18 Replies
20K Views
Heshima kwenu wakuu, natumaini kila mmoja wenu ni mzima! Kama Title inavyojieleza naomba kufahamu kuhusu hichi kipimo Maana kuna Dr alinishauri kuwa nimpeleke wife baada kufanya vipimo kadhaa...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Baada ya Rais wetu kwenda ng'ambo kuchekiwa afya na kukutwa na tatizo la Tezi dume na akafanyiwa upasuaji. Taarifa ya habar jana,ambayo ilitolewa na waziri asie na wizara maalum kwamba mwanzoni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nakaa na mtoto wa kaka yangu hapa kwangu, ghafla kaniuliza swali, hivi Baba eti kwanini mtoto akizaliwa na miezi Saba anaishi lakini akizaliwa na miezi nane anakufa? Naomba sababu za kisayansi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Fanya.haya huwe na baby face
0 Reactions
2 Replies
3K Views
2
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Naomba kuuliza kwa yeyote aliyewahi kupata matibabu ya macho katika hospitali mpya ya International eye hospital iliyoko Victoria.gharama za kuonana na daktari .
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau mi ni mjasilia mali nahtaji mtaala wa meno kwa mana ya registered dentists.ofisi na eneo lipo tayali mwenye ujuzi na fani hyo naomba anpm, tusisubiri tuajiliwe njooni tujiajili market ipo...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
New research suggests that breastfeeding can cut cancer rates in the mother by up to one fifth Like so many of the accessories to...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Naumba utatuzi ni siku ya tatu sasa tangu nifanye mapenzi kwa mara ya kwanza yaaan kutolewa bikra ila kuna vitu vya rangi ya damu vinavyoteleza vinatoka ukeni je ni kawaida kwa hii hali au sio...
0 Reactions
77 Replies
11K Views
Drug commonly prescribed for back pain DOESN'T work - and is 'no better than a sugar pill' Drug pregabalin - marketed under the name Lyrica - is prescribed globally While it is not approved to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naombeni wenye ufahamu kuhusu hili anisaidie hata kwa ushauri, nini nifanye? Kuna mgaga wa kienyeji nilienda kumweleza tatizo langu la ukosefu wa nguvu nikwambia wakati nasoma mchezo wa...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
kwanin huwa mnawakataza wagonjwa wasikae wodini na wasaidizi wao kutoka makwao mana wengi hupoteza maisha kwa uzembe.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari ndugu zangu naombeni ushauri na kujuzwa tafazali ni takriban mwaka wa pili huu kila nikinywa maji natokwa na jasho sana,mwanzon jasho likikua linatoka kawaida tu lakini saiz naona hali...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu ile dawa yetu ya IGP ambayo imeleta matokeo mazuri imewasili ipo dozi ya kuwatosha watu 100. MATUMIZI. Pima kiasi kidogo tu yaani chini ya robo kwa ncha ya kijiko cha chakula kama...
0 Reactions
5 Replies
22K Views
Askofu mstaafu Desmond Tutu Askofu mkuu mstaafu wa Cape Town,Desmond Tutu,ameahirisha mipango ya ziara zake kwa mwaka mzima ujao kutokana na sababu za kiafya. Taarifa iliyotolewa na taasisi yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwaka Jana kuna mdada nilimpatia ujauzito, mimba ilikaa miezi kumi na alipojifungua mtoto alitoka kaishafariki na alikuwa na kitovu cha kijani. Ila kabla hajajifungua walipima mapigo ya moyo mtoto...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna dawa ya asili inaitwa stameta inayopatikana South Africa, matumizi yake ni kusafisha mwili. Ukiinywa ni chungu kupindukia ila baada ya kunywa unakuwa unaenda chooni mara kwa mara (Usijaribu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…