Naombeni ushauri Tatizo la Kifafa (epilepsy) kwa mtoto wa miaka 12

Muyagha

JF-Expert Member
Nov 29, 2014
234
197
Wakuu nina mtoto wa kiume ana miaka 12 amekua akianguka na kupoteza fahamu mara kwa mara kwa miaka kadhaa sasa. Vipimo (EEG) vimeonyesha bayana kuwa ana kifafa (an active generalizing seizures (epilepsy).

Daktari alinipa dawa akaniambia bayana kuwa haitibu ila inapunguza kasi ya kuanguka na kupoteza fahamu. Pia alisema dawa ina madhara itamfanya mtoto asiwe na kumbu kumbu nzuri. Naomba wataalam wetu humu mnisaidie kujua tiba sahihi ya huu ugonjwa kama ipo.
Natanguliza shukrani zangu kwenu..
 
Wakuu nina mtoto wa kiume ana miaka 12 amekua akianguka na kupoteza fahamu mara kwa mara kwa miaka kadhaa sasa. Vipimo (EEG) vimeonyesha bayana kuwa ana kifafa (an active generalizing seizures (epilepsy). .
Daktari alinipa dawa akaniambia bayana kuwa haitibu ila inapunguza kasi ya kuanguka na kupoteza fahamu..
Pia alisema dawa ina madhara itamfanya mtoto asiwe na kumbu kumbu nzuri ..
Naomba wataalam wetu humu mnisaidie kujua tiba sahihi ya huu ugonjwa kama ipo.
Natanguliza shukrani zangu kwenu..

Pole sana Mods hamishieni kule jukwaa la afya apate msaada na ushauri wa madaktari huyu! au mkuu peleka kule kwa afya utasaidiwa
 
Pole sana je unaweza kusema ni dawa gani ulipewa ili msaada uanzie hapo
 
Wakuu nina mtoto wa kiume ana miaka 12 amekua akianguka na kupoteza fahamu mara kwa mara kwa miaka kadhaa sasa. Vipimo (EEG) vimeonyesha bayana kuwa ana kifafa (an active generalizing seizures (epilepsy).

Daktari alinipa dawa akaniambia bayana kuwa haitibu ila inapunguza kasi ya kuanguka na kupoteza fahamu. Pia alisema dawa ina madhara itamfanya mtoto asiwe na kumbu kumbu nzuri. Naomba wataalam wetu humu mnisaidie kujua tiba sahihi ya huu ugonjwa kama ipo.
Natanguliza shukrani zangu kwenu..

mkuu mwanao alianza kupata hizo episodes za seizures akiwa na umri gani?
 
Wakuu nina mtoto wa kiume ana miaka 12 amekua akianguka na kupoteza fahamu mara kwa mara kwa miaka kadhaa sasa. Vipimo (EEG) vimeonyesha bayana kuwa ana kifafa (an active generalizing seizures (epilepsy).

Daktari alinipa dawa akaniambia bayana kuwa haitibu ila inapunguza kasi ya kuanguka na kupoteza fahamu. Pia alisema dawa ina madhara itamfanya mtoto asiwe na kumbu kumbu nzuri. Naomba wataalam wetu humu mnisaidie kujua tiba sahihi ya huu ugonjwa kama ipo.
Natanguliza shukrani zangu kwenu..
Mkuu Muyagha ukikosa dawa ya kumtibu mtoto wako unione mimi wasiliana na mimi bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwanza samahani kwa kuchelewa kujibu nilipatwa na dharula; mtoto alipewa aptiom capsules.. alitumia kwa miezi sita.
 
Wana Jf nawashuru wote mlio nitumia mawasiliano ya matabibu wa maradhi haya.. Ngoja niyafanyie kazi nitarudi kutoa Mrejesho.. Thanks.
 
Back
Top Bottom