Jf mimi ninasumbuliwa na tatizo la kutokwa na harufu mbaya kwenye miguu.najitahidi kuosha miguu na kuvaa viatu ambavyo sivyakufunika ila bado inaendele, kama kuna mwenye kujua dawa naomba msaada...
Wana Jamii Forum wenzangu, ninawasihii tufanye check up za afya mara kwa mara, yaani Physical Check-Up. Hapa USA tunafanya kila mwaka. Kama kuna tatitzo la afya wanaweza kuwahi kutibu kabla hali...
Wakati wa tendo la ndoa nikiwahi mshindo wa kwanza(kumwaga), la pili sipati mpaka nikojoe mkojo na mengine yanayofuata
Naomba ufafanuzi hali hii inasbabishwa na nini na nini tiba yake
Wandugu, habari zenu.? Me nimeshakua katika mahusiano na wanaume watatu. Sa kuna mmoja kati ya hao wakati wa tendo yan yupo dry. Hata ufanyeje hakuna maji maji (ute) yanayotoka kwenye uume. Je...
Nimepatwa na hofu hivi karibuni ninapokuwa nimekojoa mbegu za kiume baadae unafuata mkojo je tatizo hili linatokana na nini? Imetokea Mara mbili kwa interval ya wiki tatu
Wadau kwa wale madaktari au yeyote mwenye fani hii,nimegundulika nina pressure baada ya kupima mara tatu ktk siku tofauti 140/80,167/90 na163/90,nikapimwa ECG Imeonyesha normal.Daktari...
Mwili wako hutengeneza free radicals kutokana na mambo mbalimbali. Zinapozalishwa kwa kiwango kikubwa, seli na DNA huwa katika hatari.
Moja ya njia bora kuulinda mwili wako na hatari hiyo...
Wakuu ni wazi tumeshuhudia watu wakiwa wamelala/sinzia wengine wanalala kwa kukoloma iwe kwenye daladala au kitandani au kwenye kochi popote pale je ni ka ugonjwa? Unakuta mtu kaachama mdomo nzi...
Wiki iliyopita nilikwenda hospitali ambayo ni private, ni baada ya kutojisikia vizuri kiafya, baada ya maelezo yangu ilionekana nipime Malaria (BS) pia dr akaandika na kipimo kingine...
Tarehe 25 dec 2014 kidole kilanza kuwasha na kujikuna.kuanzia siku iliyofuata kilianza kuwasha na kuuma sana mpaka leo rarehe 2 jan kilipooasuka nikiwa nimelala.
Nini dawa sahihi? !hospittali...
Jumuiya Ya Madaktari Wa Marekani Imetoa Majibu Ya Vyanzo Vya Cancer:-
1.Usinywe Chai Kwenye Vikombe Vya Plastic Kuanzia Sasa
2.Usile Chochote Chenye Moto Kilicho Ndani Ya Mfuko Wa Plastic Mfano...
msichana ambaye ukimshika matiti haoneshi hisia zozote na hata ukimuuliza anasema hana hisia yeyote ukimshika sehemu hiyo anaweza akawa na tatizo au ni hali ya kawaida?
Naomba msaada_ ghafla uume wangu unauma kwenye kichwa na unatoa usaha. Nimetembea na mwanamke siku 5 zilizopita je nimeambukizwa ugonjwa gani? Na nitumie dawa gani?
Wakuu naomba kuuliza kama kuna vidonge asilia vya kutibu tatizo kutosikia vizuri, kama tiba hiyo ipo ni wapi naweza kuipata kwa jijini Dar, na vipi gharama ya yake hadi kupona?na ni dozi ya muda gani?
Nimehangaika sana, kiuno kinaniuma hata wakati mwingine siwezi kuinama, na kukaa inakuwa shida.
Madaktari wengine wananiambia ni nyonga imeshtuka, wengine damu chafu (ESR 30 MLS) dr mwingine...
habarini wakuu,
siku 3 nyuma nilienda hospital kupima nikakutwa na typhod na malaria 9. Sasa dr akaniandikia metakeflin na cypro mg 500.
Metakeflen nimemeza vyema lakini cypro nimemeza vidonge...
jaman naombeni msaada nina mtoto ana miaka 4 na nusu lakini haongei yaani ni kama ana matatizo ya ubongo na inapoleta utata anajisaidia haja kubwA kwenye nguo bila taarifa sasa kwa anaeelewA namna...
habari! Wana jf Doctor
sijaelewa tatizo nini mpaka sana mimi nimeowa na mke wangu sasa ni mjamzito wa miezi nane na nusu siku zote huwa nafanya naye mapenzi bila kinga na tunaamiana wote...
Habari zenu wakuu, pole na majukumu na heri ya mwaka mpya 2015.
Naomba nisaidiwe kupata mawasiliano ya hospital ya CCBRT, nina mgonjwa anatakiwa kutibiwa hapo ila makadirio ya gharama sijayapata...
Wakuu naomba msaada wenu siku za karibuni nimeandamwa na janga la usingizi mwingi usioisha yaani hata kama nikilala mchana lakini ifikapo saa 2 usiku naandamwa na usingizi hata siwezi kujizuia...