Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari wadau, for ladies ambao mnatumia au mshawahi tumia PAds au pantliner za Human Cherish mtakubaliana na mimi kuwa huwa zina leta a high level of comfort na dryness mtu ukiwa kwenye siku...
1 Reactions
24 Replies
19K Views
Jambo wadau. Shemeji enu ana umri wa miaka 26 na ana mzunguko wa siku 30 ila kwa kawaida anableed siku 4 tu. Tatizo ni kuwa akikaribia ku bleed kiuno seem ya chini ya mgongo panachemka sana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna jambo la sura kuonekana ina umri mkubwa zaidi ya umri halisi. Mmoja kati ya watu hao ni rafiki yangu wa karibu na baadhi ya watu wa humuhumu JF. Haya wataalamu na wenye mawazo ya jambo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wana - jamiiforums kuna tetesi kwamba bia haina ya safari lager inapunguza nguvu za kiume.Rafiki yangu amekuwa akitumia kwa muda sasa. Ananieleza kuwa uume wake umelegea sana.Akiwa na mpenzi wake...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
OVULATION ni hali ya kutoka kwa yai la kike baada ya kukomaa kutoka kwenye follicle baada ya kukua na kukomaa katika ovary. Hali hii hutokea katika hali ya kawaida katika siku ya 14 katika...
1 Reactions
8 Replies
118K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu....nina mgonjwa anaesumbuliwa na hayo maumivu....anahisi kuungua on her right breast kiasi cha kupandwa na homa iyo hali inapotokea, Ilimuanza kama miezi mitatu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika pita pita zangu kwenye internet nimeona matangazo mengi ya kuongeza urefu au unene wa dushe(penis) na hata mitaani kuna za asilia kama za kimasai zinauzwa kwa kufanya kazi hii. Ni kweli...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Napenda kujua hivi korodani moja ikiwa Kubwa na nyengine ndogo kuna tatizo au ni hali ya kawaida tu
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Wana Jf Habari Za J2 Week End Ndo Hyo Ina End Ila Kwa Wengine Kesho Bd Ni Week End (off) Back To Topic Me Nna 22 Yrs Ila Ni Mmene Zaid Ya Kilo Sabini Ila Huwa Cpendi Nikiona...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Habari zenu wana jamiiforums, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 ninaishi Ushirombo Geita Tanzania, Tatizo langu ni kwamba nikivuta pumzi ndani nahisi kuna kitu kinabana na nikirudisha pumzi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanasayansi wanaamini kuwa unywaji mwingi wa pombe unaweza kuleta hisia zisizo za kawaida mwilini ambazo zinaweza kuiweka ngozi katika hatari zaidi ya kupata Saratani ya ngozi. Kemikali ya Ethanol...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
This post is part of our Translating Research into Practice Series, which features guest posts from authors of the MHTF-PLoS open-access collections describing the impact of their research since...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
(Reuters) - Medical charity Medicins Sans Frontiers (MSF) has opened the first care center in the current Ebola epidemic for pregnant women, whose survival rate from the virus is virtually...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Abstract Background Inadequate water and sanitation during childbirth are likely to lead to poor maternal and newborn outcomes. This paper uses existing data sources to assess the water and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
But rimmer beware: It may not be entirely safe. "Rimming is one way to contract hepatitis and other intestinal parasites, like E. coli," Dr. Rullo explains. "Partners in long-term monogamous...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wengi wetu tunatumia diclofenac kwa ajili ya kutuliza maumivu na kushusha homa. Dawa hii hapa Tanzania ni 'over-counter drug' au 'non prescription medicine' yaani dawa aihitaji cheti cha daktari...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
[/FONT][/SIZE] Saratani imeendelea kuwa tishio Tanzania na sasa unaambiwa saratani ambazo zilikuwa hazijawahi kujitokeza au kuonekana kipindi kilichopita, sasa ndio kama zimezaliwa na watu...
1 Reactions
121 Replies
39K Views
Natumaini hamjambo ndg zangu, Langu moja ni kuuliza nina mtoto wangu ana mwaka na nusu, ila katika miguu yake haina uvungu, yani ipo flat. Sijui tatizo linaloweza kumpata nini? Yani madhara yake...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Uvimbe kwenye korodani husababishwa na nini?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi guys. ni muda sasa nimekua nikitafuta dawa ya kumwaga arthini kabla ya kuweka pavements kwenye car parking areas, lakini sijafanikiwa. nilienda kariakoo nikapewa feki . twiga chemicals wanasema...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…