Wiki iliyopita nilikuwa na mradi fulani maeneo ya vijijini mkoani Shinyanga.
Katika pitapita niliona mmea fulani hivi una majani mapana yana miiba, na unatoa matunda fulani nayo ambayo yakiwa...
Naomba msaada wa kitaalamu, ikiwa yupo anayefahamu njia ya kuchagua mtoto ili nichague mtoto wa kiume. Nilale na mwanamke wakati gani? Siku gani? Au nile chakula gani? n.k. Naomba msaada.
Nasikia kuna mtu kafariki baada ya kumeza Panadol kwa kutumia Soda.. Kuna reaction gani hapo jamani hadi mtu anazidiwa na kisha kufa kisa Panadol + Soda?
This Is Why You Should Be Putting An Onion In Your Sock At Night When You Go To Bed
So, you know how there are always crazy old wives' tales that seem too good to be true, and don't seem to...
Naomba msaada wa kitaalamu,
Ikiwa yupo anayefahamu njia ya kuchagua mtoto ili nichague mtoto wa kiume. Nilale na mwanamke wakati gani? Siku gani? Au nile chakula gani? n.k.
Naomba msaada
Msaada wakuu: Mtu wangu wa karibu ameathiriwa sana na losheni na scrub ngoz yake ni yenye mafuta imesinyaa sana na mafuta bado yapo naomben njia ya kusawazisha ngozi yake iwe kawaida hasa kwa dawa...
Dr. Simoncini discovered that the cause of this terrible illness is a fungus and tried hard to persuade scientists how wrong are the actual theories on cancer. His therapy based on the strongest...
jaman natumain mu wazima.
mi ni bint ,nna tatizo la kupungua damu tangu mwez wa kwanza.nikitumia vyakula au dawa inapanda hata had 13,lakn nikiacha baada ya wiki kama tatu naikuta 9,,.nimepima...
Habar,poleni na majukumu ya kulijenga taifa kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu naomben msaada kwenu wana jf wenzangu niweze kuujua mzunguko wangu mwez wa pili niliingia date 4/2/2015 na...
How CANNABIS can help cancer patients: Drug kills cancer cells and shrinks brain tumours, report reveals
National Institute on Drug Abuse admits cannabis has medicinal benefits
US guidance states...
Habari wakuu?
Nimeamua kuomba msaada wakuu, Betri yangu imebakia jiwe moja. Naomba msaada please wa dawa ya kucharge bettry yangu mpaka najickia vibaya sana.
Hivi kuna dawa yoyote ya asilia...
Msaada naomba kujuzwa! Chango ni nn, inasababishwa na nn na utajuaje kama una chango nini madhara yake na pia tiba yake. Nasubiri majibu yenu kwa wenye kujua hili tafadhali.
Wependwa watu wa mungu habarini za asbh ,ni yangu matumain kuwa mungu kawaamusha salam cku hii,
Kuna hali imenitokea ndg zangu takrbani mwezi 1 na zaid, nimekuwa nikiwashwa mwili sana hasa...
Wakuu,naomba elimu.Kwa nini ndoto ninazoota haziendelei/hazifiki mwisho wake? Na mara nyingi hubadilika sana (ndani ya ndoto moja[sijui niite usingizi mmoja? yaani kusinzi mara ya kwanza kabla ya...
Jamani madokta hebu mnipe ufafanuzi kuhusu hili tatizo:
Nimelala salama, usiku nikaamshwa na maumivu ya jicho kama vile limeingiliwa punje au mchanga, kujitazama limejaa tongotongo kuliko...
habari wanajf wenzangu ama baada ya salamu naomba munielimishe au munijuze mwanangu ana miezi mitano na nusu ameanguka bahati mbaya kutoka juu ya meza mpaka chini hana alama yoyote lkn ana...
Huko ugaibuni bange ina uzwa kama njugu na tena inatumika kutibu maradhi mbalimbali. Lakini sigara kwa upande mwingine ndio inaongoza kwa kusababisha vifo vya cancer. Je Bange ni salama zaidi kwa...