Ndugu habari,
Kuna huu mtindo wa manesi kupiga makofi wajawazito wakiwa labour (usikatae hili jambo lipo) hasa kwa baadhi ya wanawake wanaochelewa kusukuma mtoto.
Je, kuna faida gani...
Nimekuwa nikitokwa na chunusi kwa wingi usoni pindi ninapotumia matunda kama vile parachichi, fenesi, n.k mara kwa mara. Hivyo naomba ushauri wenu wadau
Wadau heshima kwenu,
Wakuu nimejikuta kila asubuhi napata uchovu na usingizi mzito ingawa nawahi kulala kama saa moja usiku. Pia kichwa kinauma sana, najihisi kubanwa mafua.
Note: sifanyi kazi...
Habar wanaJF
Natumain mu wazima wa afya njema
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, tatizo langu kubwa ni kutokana na tabia ya kudindisha ovyo ovyo pasipo kujali mazingira na sasa...
Habarini wakuu,
mwanzo kabla ya 2013 nilikuwa na mwili wa kawaida badae nikaugua karibia miaka miwili sasa nipo kwenye recovery lakini mwili wangu bado umekondeana nashindwa kuelewa ni vyakula...
ZINGATIA HAYA KATIKA MAISHA YAKO YA KILA SIKU ILI UWE MZIMA KIAFYA NA MAISHA MAREFU.
1 Usile chakula bila ratiba
2 usinywe maji baada tu ya kula(kunywa maji nusu saa kabla na baada ya kula)
3...
Salama wapendwa.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Leo mida ya saa 7 mchana hivi nilikuwa na mihadi ya kuonana na demu fulani hivi geto.Demu kaja geto ili tufanye yetu kule kutaka tu kuomba...
Habari wakuu nimekua na tatizo la kutoka machozi mara nyingi ninapotumia kifaa kama simu au computer gizani nikiacha tu ndo napata tatizo hilo ila nikisema niendelee tatizo la kutoa machoz linakata
Habari wakuu,!
Naomba kufafanuliwa hapa kwamba, hivi mirija ya uzazi ya mwanaume ikiziba haiwezi kuzibuliwa,? Na nini kinachosababisha kuziba kwa mirija ya mwanaume?. Maana sister yangu ana mme...
BRAIN CANCER UGONJWA WA SARATANI KANSA YA UBONGO
Kupambana na ugonjwa huu ni vigumu na unatisha.Kuna aina nyingi ya saratani jambo linalofanya kuwa gumu kukabiliana nao.
Saratani ya ubongo...
Ni mara ya nne sasa mama anaenda hospital. Tatizo kubwa ni mkono wa kushoto kuuma, maumivu huanzia usawa wa uti wa mgongo. Kuna kitu kinatembea ama kinahamahama na yenye maumivu makali kiasi cha...
Habari zenu ndugu zanguni, natumai ni wazima,
Nina ndugu yangu alikua na Malaria lakini kabla ya kwenda kucheki alikua anajiskia vibaya (kichefuchefu kizunguzungu) tukahofia isije ikawa mimba...
Habari za muda huu wakuu?
Nahitaji kupata data za idadi ya watu wanaofanya x ray kwa mwaka, (hapa Tanzania/ worldwide, hospitali yoyote) kama kuna mwenye data kamili ningeshukuru zaidi...