Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari, Mtoto wangu ana miezi 7 tangu nimemzaa kwenye matiti yake kuna vitu vigumu kwa ndani kama mtoto anaeanza kuota maziwa, Ni wa kike sasa sielewi ni kawaida au kunatatizo?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Healthy Vaginas A healthy vagina is as clean and pure as a carton of yoghurt Now there's a statement to combat some of the negative messages we have received about our nether regions...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ninaumwa sikio nimetumia dawa za hosipitali siponi, Naomba kujuzwa dawa za asili wana jamii.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habar wadau, Nasumbuliwa na tatizo la mdomo kupauka sana na kuanza kupasuka pasuka kwenye lips kiasi kwamba ninapokula hata baadhi ya matunda kama nanas na chungwa napata sana tabu...
0 Reactions
9 Replies
19K Views
Jamani Wana Jf Naomba Mwenye Kujua Apa Saongea Ni Hospital Gani Au Maabara Gan Wana Kipimo Cha Typhod Make Peramiho Na Hospital Ya Mkoa Awana. Naomba Mnisaidie Nataka Kupima Typhod.
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Huku mkoani kwetu MTWARA kuna hawa wamarekani wenye kampun ya USAID, wamejikita kwenye sekta mbalimbali. Moja ya wizara wanayoifanyia kazi ni pamoja na afya. Hivi karibuni walikuwa na zoezi la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani kwa wataalamu naomba ushauri wa kitabibu, Kuna binti alikuwa anasikia maumivu ya kiuno akaenda dispensary daktari akamchoma sindano (siikubuki jina) akampa na dawa za kutuliza maumivu...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Habari wana JF, Naomba msaada tafadhali. Nimekuwa na tatizo la makovu kwa muda mrefu. Makovu haya yalitokana na vidonda nlivyokuwa napata nikiwa mdogo kutokana na allergy. Haya makovu yamekuwa...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Wadau, Nilianza kujichua toka nikiwa form one yaani nilionza tu naona kabisa kujichuani zaidi ya kufanya mapenzi.Hata nikifanya mapenzi lisaa kupizinachukua kama limoja hivi na huwa sipati raha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimepima malaria mara nyingi kwenye hospital naambiwa sina malaria lakini kichwa kinauma sana,ndugu zangu naomba ushaur wenu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar JF Dk, Kila niki amka asubuhi kichwa kinauma, kiasi kwamba naweza shinda nacho au kikatulia mchana. Maleria sina.
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Habari wana JF. Naombeni mnisaidie kubaini tatizo nililo nalo. Nimeamka asubuhi nikigusa chuchu yangu ya kushoto nahisi maumivu na kama dalili ya uvimbe. Je inaweza ikawa dalili ya ugonjwa gani...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Amani ya bwana iwe nanyi Naomba kujulishwa mda wa doctor kuingia kazini asubuhi au kuanza kazi zake ni saa ngapi ili niweze kuwashughulikia madaktari wa hospitali ya mkoa wa Ruvuma Madakitari wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
daktar pole na kaz. macho kutoa machoz inasababshwa na nn. asante sna daktar
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Habari zenu wanaJF, Naombeni nijue maana ya hicho kipimo cha sukari kwenye damu, kuna ndugu kapima kapata hayo majibu dactari mmoja kasema iko chini sana na mwingine kasema ni ndogo sana...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Mimi ni mjamzito nilikuwa nasikia dalili za UTI nilipoenda kupima nikaambiwa ninayo. Nikaandikwa Amoxillini nilipomaliza hiyo dose nilikaa siku moja mwili wote ukawa na vipele. Nikarudi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu, Kilichonileta hapa ni kutaka ufafanuzi kama niko na tatizo au ni kawaida. Tukija katika mapenzi kwa upande wangu huwa napata hamu kubwa sana isiyo ya kawaida. Ute unatoka kibao...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wadau nafanya diet kupunguza uzito, ningependa kujua andazi moja lina calories kiasi gani
1 Reactions
3 Replies
5K Views
NIMEGUNDUWA FAIDA MPYA YA ASALI NDANI YA MWILI WA BINADAMU Asali kama tujuavyo ni dawa nzuri kwa binadamu haswa utakapo tumia ukiwa mzima au mgonjwa itakusaidia kukutibu na haina madhara kwa...
3 Reactions
6 Replies
6K Views
FAIDA 10 ZA KULA MATANGO NA MATIKITI MAJI Ulaji wa matango na matikiti maji husaidia kuboresha kiwango cha maji ambayo huitajika mwilini, hii ni kutokana na matango kuwa na kiwango kikubwa cha...
3 Reactions
5 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…