USIVUTE SIGARA Ni dhahiri kuwa sigara ina madhara kiafya, kwa ujumla wake watu wanashauriwa kuacha kutumia. Lakini inaelezwa kuwa madhara yake huongezeka mara kumi iwapo mvutaji atavuta mara baada...
Salam,
Mwaka jana niliomba ushauri kwa tatizo la kukosa uzingizi. Watu wengi walinipa advice na mwishowe nikaupata. In fact nilipewa dawa ya kunywa kwa kusaidia hali yangu ya kawaida kurudi...
Wadau msaada katika hili, binti ana miaka mitatu toka amezaliwa, tatizo la vidonda kichwan kila nywele zinapoota kichwan. Nimehangaika na dawa na ushauri tofauti tofauti lakini mafanikio yamekuwa...
naomba wataalam wetu tusaidiane ktk hili..kuna huu ugonjwa unaitwa kleoid kama sijakosea ila nyie mnaujua zaidi..yaan kuna kuwa na vipele fulani ambavyo ni sugu na wengine huja kuwa ni uvimbe kbs...
Hii kitu imenishangaza sana na hii inadhihirisha sayansi bado ina safari ndefu..
Hivi majuzi huko UK mwanamke mmoja amekutwa na mimba mbili za wanaume wawili tofauti kwa wakati mmoja na amekiri...
Salama ndugu zangu,leo nawaletea habari nzuri inayohusu afya zetu sisi sote. Ni kwa kipindi kirefu nimeona watu waki-post matatizo yao huku bila kupata suluhisho la matatizo yao. Lakini leo...
Jambo wadau
Umri wangu ni miaka 20 tatzo langu uume wangu unasisimka na kupata hisia za kimapenz pale demu akiwa mbali na mm,but nikiwa naye karbu na nataka kufanya nae mapenz uume hausimami wala...
Jaman ni wk sasa toka nijkate kdole na bati, baada ya kwenda hospital nilishonwa nyuzi na kuwekewa dawa.tatizo lina kuja baada ya kidonda kufunga kidole kimekufa ganzi.wakubwa hii inatokana na...
Kuna msichana niliekuwa nae alikuwa ana ujauzito ya kama wiki tatu hivi,kwa kutokujua alitumia dawa aina ya flagyl bila kujua kuwa ingemletea madhara.baada ya hapo ilibidi aende kwa docta kwani...
HIV breakthrough as Cuba becomes the first country in the world to eliminate mother-to-child transmission of the virus
World Health Organization hails big step 'towards Aids-free generation'...
Takwimu za mwaka 2014 zinanonesha kuwa asilimia 46 ni maambukizi ya kaswende, ilihali asilimia 32 ni maambukizi ya kisonono, huku maambukizi ya maradhi ya "chlamydia" ikiwa kwa asilimia 26...
Habari ndugu zangu,
Kama mada inavyoeleza apo juu,n ikwamba mwenyezi Mungu kanijalia kupata watoto mapacha wawili wa kiume na wa kike.Mpaka sasa wana miezi minne maana walizaliawa na miezi 7...
Samahani wandugu,
Naomba msaada; mwanamke anawezaje kujua kuwa ana uwezo wa kubeba mimba na kuzaa? Anatakiwa kupima kipimo gani ili kujua kizazi chake kiko vizuri na ana mayai?
Naomba...
Wakuu,
Kwa watazamaji wa DSTV, watakubaliana nami kuwa kuna wakati walikuwa wakirusha vipindi vinavyoonyesha jinsi surgery za kupunguza unene zinavyofanyika. Nilipata tetesi hata Mustafa...
Jamani wakuu,
Naombeni mnisaidie: Dawa ambayo hutumiwa na watu wenye vidonda vya tumbo aina ya Zosec (Omeprazole) ina madhara yoyote kwa mjamzito?
Kama yapo, ni yapi?
Naomba kujua kinachosabaisha Ualbino kitaalamu zaidi, maana katika kuuliza uliza kila mtu amekua akinipa jibu lake, wengine wanasema ni kurithi, unakuta baba ni mweusi na mama ni mweusi lakini...