Mimba mbili za watu tofauti Kwa wakati mmoja (super fetation)

chuma cha reli

JF-Expert Member
Jul 2, 2012
2,655
2,000
Hii kitu imenishangaza sana na hii inadhihirisha sayansi bado ina safari ndefu..

Hivi majuzi huko UK mwanamke mmoja amekutwa na mimba mbili za wanaume wawili tofauti kwa wakati mmoja na amekiri kwamba ni kweli alikutana kimapenzi na hao wanaume katika vipindi tofauti vya kutungwa mimba hizo na sasa imeshabainika kwamba mtoto wa kwanza atazaliwa hapo February 10,2015 na wapili atazaliwa March 23,2016...

Naomba kuuliza madaktari na wataalamu mbalimbali wa hapa JF kuhusu hii kitu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom