Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wakuu habari za jioni, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mama ni mjamzito kwa sasa ana watoto watatu lakini ametoka kujifungua mwaka umepita mtoto wa mwisho na uzao wote ni kisu. Sasa...
8 Reactions
154 Replies
5K Views
Nimezoea kunywa maji ya kawaida lita 2 asubuh kabla sijaja kitu. Sasa kuna mdau kaniambia niache eti kasema hayo maji ni mengi yatapandisha sukari mwilini mwangu Jamani hii kweli au mshikaji...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Eti wakuu? Kuachia ushuzi mara kwa mara ni tatizo au dalili ya tatizo la kiafya? Tusemezane
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Mwanangu wa miaka miwili usiku tukiwa tumelala akiwa usingizini huanza kusugua meno yanatoa sauti ya kukera sana. Mchana akiwa amelala usingizi huwa hafanyi hivo. Je, ni nini husababisha?
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu nina ndugu yangu ana kisukari mwaka wa tano sasa toka agundue kuwa ana huo ugonjwa Afya yake kimuonekano yuko poa kabisa huwa anatumia sindano na dawa lakini tunatafuta kama kuna uwezekano...
0 Reactions
7 Replies
475 Views
Nimekutana naye zaidi ya mara tatu, na kila nikikutana naye anatoa harufu kama ya dawa hivi. Na hii harufu pia huwa naisikia nikikutana na mtu mmoja ambaye taarifa zilizopo ni kuwa anatumia dawa...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Salaam wakuu! Hivi kwa nini asilimia kubwa ya Wachaga (kutoka Kilimanjaro )magonjwa yao makuu ni kisukari na shinikizo la damu la juu? NB: Ikiwa una historia ya ndugu wa karibu, ambao wana...
0 Reactions
5 Replies
721 Views
Issue ni kuwa binadamu wazima tunahisi njaa afu tunakula ili tuishi sasa hao ndugu zetu tajwa hapo juu wao wana pataje feelings kuwa wana njaa na wanahitaji kula? Kwakuwa akili za ku sense...
0 Reactions
14 Replies
522 Views
Wakuu habari za jioni, Kama kichwa kinavyojieleza, shemeji yenu anasumbuliwa na damu kutoka puani hari hii inaanza tu wakati anaanza kupiga chafya mfululizo gafla damu zinaanza kutoka lakini...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwema wakuu, Naombeni msaada. Nina mtoto ana umri wa miezi mitano ila ansumbuliwa na kidonda /jipu kwenye pua. Naona kama siku zinavyoenda pua inazidi kuchubuka naombeni msaada ndugu zangu niijue...
0 Reactions
7 Replies
726 Views
Kuna rafiki yangu ana tatizo la miguu kutoa harufu kali, yani akivua viatu ni balaa, akinitembelea home huwa namwambia aingie na viatu, wapo waliomshauri aloweke miguu kwenye maji ya betri mwisho...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Unaponyoa ndevu zako, unakata nywele kwenye usawa wa ngozi. Nywele unazoziona kwenye uso wako ni seli zilizokufa za keratinized ambazo zimesukumwa kutoka kwenye vinyweleo chini ya ngozi. Kunyoa...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Watoto hula kamasi yao kwa sababu ni Yana Ladha ya chumvi. Jaribu kutumia uimarishaji chanya ili kusaidia kukomesha tabia hii. Usimkaripie mtoto wako kwa kuokota na/au kula viburudisho. Badala...
0 Reactions
2 Replies
484 Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSUNSHIDA HII Jamani wana JF naombeni msaada wa ushauri wenu kwani kwa muda mrefu sasa ninasumbuliwa na tatizo la kutoka mapele ya ndevu mara baada ya kunyoa...
0 Reactions
926 Replies
336K Views
India ni moja ya mataifa yanayo amini sana kwenye Tiba asilia na ndio sababu wana idadi kubwa sana ya dawa za asili. Kampuni kama Himalaya ina dawa nyingi sana za asili za magonjwa tofauti...
11 Reactions
60 Replies
3K Views
Wakuu habari ya leo, kwa miezi kadhaa nimehangaika na ugonjwa ambao hapo chini nimeweka dalili ninazozipata, vipimo na dawa nilizotumia lakini bado sijapata suluhisho. Kama kuna mwenye uzoefu...
9 Reactions
163 Replies
9K Views
Ukweli ni kuwa hakuna kijana aliyeathirika na nguvu za kiume Kuna mambo kadhaa hufanya mtu aonekane hana uwezo wa tendo ipasavyo. 1: Hili suala linategemea sana ushirikiano wa wote wawili...
2 Reactions
9 Replies
742 Views
Habari wana jamii forum. Nina mtoto wangu wa kiume miaka 2 na nusu, mwanagu huyu anasumbuliwa mno mno na kifua na hata mafua. Nimehangaika hospital nyingi anapewa madawa na kuchomwa sindano kwa...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaa wenu kuhusu nini cha kufanya maana nina tatizo la kukosa choo kwa muda mrefu inakia kipindi nakaa hadi siku tano sita. Naombeni utatuzi wa tatizo hili. Asanteni.
0 Reactions
37 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…