Mama ni mtu mzima kidogo anaeleka miaka 65. Ana shida mishipa ya miguuni inauma sana na kutokezea kwa juu.
Hospital kaenda kaaimbiwa ana shida ya mishipa kuvimba (varicose veins). Matibabu yake...
Msongo wa Mawazo (Stress) Ni hali ya shinikizo la kiakili au kihisia linalotokana na mahitaji yanayofikiriwa.
Kila siku tunakabiliwa na hali nyingi ngumu ambazo unaweza kuona kama “vitisho” kwa...
Maelezo ya picha,
Maharage
Inaweza kuonekana kuwa hakuna ubaya katika kula aina fulani ya vyakula. Lakini, kuna wakati, kutojali kunaweza kusababisha matatizo mengi ya kiafya.
Wakati mwingine...
Salaam kwenu, naomba msaada wa kujua dawa ya maumivu ya meno kwa mtoto mwenye umri wa miaka mitano. Nimtoto wajirani yangu amekuwa halali na amevimba shavu kabisa. Jino ni la upande wa chini mwisho.
Habari za asubuhi ninaomba msaada kwa mwenye kujua tiba mbadala ya NYAMA ZA PUA nje ya kufanyiwa operation ninasumbuliwa na tatizo hili zaidi ya miaka 15 sasa hadi imefikia nimetatiwa mnoo naishi...
Habarini wanajamvi
Nimekuja hapa kuomba msaada naumwa ugonjwa wa korodani erosion ila sina hakika kama ndo huo maana nimetumia dawa lakin naona bado ni vilevile huu mwezi wa sita natumia...
Salaam wanajamvi, natumaini mko salama na kwa wale mliokatika mfungo, Mungu akawaongezee palipo pungua.
Wakuu mwenzenu yamenifika, kidole changu cha kati mkono wa kulia kimevimba hatari. Kinauma...
Teknolojia katika field ya afya ni msingi katika muktadha wa afya ya kiumbe chochote kilicho hai hasa binadamu tutakaye mzungumzia zaidi.
HIV ni janga duniani lakini inapaswa tufahamu teknolojia...
Dunia tulio nayo imepitia vipindi vigumu na majanga mbalimbali tokea enzi za vita ya dunia huko na mpaka tulipofika, ila kwa miaka ya karibuni kuna magonjwa mawili makubwa yalitikisa ulimwengu...
Habarini wakuu naomben msaada kabla sijaenda kusemwa na daktar kibofu kinaniuma, napata mkojo mchafu na maumivu pia wakat wa haja ndogo, natoa kinyes kigumu sana na ninasikia Homa kwa mbali.
Hizi...
Heshima yenu wakuu, Nafaham kuwa PREP ni vidonge anavokunywa mtu ili vimlinde kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi, mf, unataka ukakutane na mtu ambae haumuamini, inafanya kazi kama condom...
Mimi ni mtu ambaye ninatumia computer for hours basi kutokana na kuumwa kwa kichwa, macho kuwasha (not all tge time but mara nyingi huisi macho kukaza)
Nilipima nikaonekana nipo fresh(mimi naona...
Habari wakuu mim ni baba wa watoto wawili, huyu mototo wangu waukiume Umri miaka 8 sasa, wakat akiwa na Umri wa miaka4 mkilala ukiamka ukienda kuamasha akokojoe usiku ama akiamka asubuhi uume...
Wakuu habari zenu?
Nina miaka 35 sasa ila nasumbuliwa na changamoto ya ugonjwa wa presha kuwa juu. Nina miezi minne sasa tangu tatizo lianze.
Kwa yeyote anaejua matibabu au dawa nzuri ya...
Nipo kwenye ndoa miaka 2 hadi sasa sijawahi kushika ujauzito.
Nimepima vipimo vyote mie na mume wangu hatuna tatizo. Naenda mwezini kama kawaida. Sijawahi kutoa mimba wala kutumia njia yoyote...