International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Majenerali na makada wa RPF Jack Nzinza na James Kabarebe wameonesha nia yao waziwazi ya kutaka kumpokea kijiti komredi mwenzao Paul Kagame uchaguzi ujao, 2024. Wanadai mpaka hapo Kagame...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
AFRIKA KUSINI: Chama Tawala cha African National Congress (ANC) kimekubali kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa baada ya kupoteza idadi kubwa ya viti vya Ubunge. Akitoa taarifa hiyo baada ya Kikao...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Mungu ibariki Israel Shmona, June 4, 2024. (Ayal Margolin/Flash90) IDF Chief of Staff Lt. Gen. Herzi Halevi said Tuesday that Israel is close...
5 Reactions
103 Replies
5K Views
Kuna watu huwa wakiamini kitu huwa wanaamini mwanzo mwisho. Dada lao ameamua kumchallenge Paul Kagame mara ya pili huku uchaguzi uliopita ulimuacha pabaya.
24 Reactions
61 Replies
4K Views
November Biden na Trump wanaingia tena kwenye Uchaguzi wa Uraisi kama Wagombea kwenye vyama vyao. Uchaguzi wa 2020, Biden alimshinda Trump kwa kura nyingi tu. Trump alikuwa raisi wa muhula mmoja...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika siku za hivi karibuni takwimu kutoka Idara ya utafiti wa mambo ya China na Afrika (CARI) katika Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani, zilionesha kuwa idadi ya wafanyakazi wachina...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Kwa zaidi ya miongo miwili, sera ya China kwa Afrika ilijikita zaidi katika maendeleo na miundombinu. Lakini sasa imepanua mawanda yake na kuingia ndani zaidi hadi kwenye utamaduni na lugha...
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Kampuni ya Ujenzi ya China (PowerChina) imejenga mradi wa mfumo wa usambazaji maji katika jiji la Arusha nchini Tanzania, ambao unawasaidia wakazi wa jiji hilo kupata maji safi karibu na makazi...
0 Reactions
2 Replies
403 Views
Shambulio la ndege zisizo na rubani za Ukraine lilianzisha moto katika kiwanda cha kusafisha mafuta kusini mwa Urusi, na kulazimisha kusitisha operesheni, mamlaka ya kikanda ilisema mapema...
0 Reactions
2 Replies
781 Views
Katibu mkuu wa NATO, Jens Stoltenberg hivi karibuni alifanya ziara nchini Marekani, lengo likiwa ni kujadili mwendelezo wa kuiunga mkono Ukraine na kuhakikisha mwendelezo wa upatikanaji wa silaha...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Takribani watu 150 wanahofiwa kufariki katika mauaji kwenye kijiji kimoja katikati mwa Sudan, lawama zikielekezwa kwa Kikosi cha Wanamgambo wa Rapid Support Forces (RSF), kundi la wanamgambo...
0 Reactions
8 Replies
675 Views
Kila mnapojaribu kuwafuta Wayahudi, ndivyo wanazidi kuneemeka na kuitawala dunia, ifike mkubali kuishi nao kwa amani, dini inawadanganya, hamtaweza kufuta Wayahudi wapo kote. Haya huyu hapa...
6 Reactions
55 Replies
4K Views
Nchi ya Chile imeamua kuungana na nchi za Mexico, Columbia, Brazil, Indonesia na South Africa kwenye kesi dhidi ya Israel kwenye mahakama ya kimatiafa. Rais Chile amesema inachofanya Israel kuua...
5 Reactions
6 Replies
694 Views
Nchi ya Djibouti imeamua kutumia njia tofauti baada ya kuona wanazidiwa na malaria. Imekua ni nchi ya pili baada ya bukina faso kufanya kitu kama hiko. Kwa nini Djibouti inatoa mbu...
1 Reactions
4 Replies
669 Views
Wakati siri imefichuka kwamba pendekezo la kusimamisha vita limetoka Israel. Vile vile wafuatiliaji wa vita vya Gaza wametoa takwimu za kuonesha jeshi la nchi hiyo kwa sasa limechoka na lina...
3 Reactions
53 Replies
2K Views
MAREKANI: Mahakama imeagiza Rais wa zamani, Donald Trump kumlipa fidia ya zaidi ya Tsh. Bliloni 211, mwanamke aliyetambulika kama E Jean Carroll ambaye alimshtaki Trump kwa madai ya kumnyanyasa...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Imeelezwa Marais wa Rwanda, Zimbabwe na Kenya wako Korea Kuungana na Rais Samia kwenye Mkutano wa kihistoria wa Korea Kusini na Africa Museven amewakilishwa na Naibu wake Credit: Naipamei Kaikai X
1 Reactions
7 Replies
953 Views
Tuliwambia humu Yemen hakuna Taifa duniani linamuweza mkabisha, mkawa mnacheka wengine wakawa wanawacheka eti ni masikini kuliko hata Tanzania. Leo hi America kakimbia Red Sea kakiri wazi Yemen...
9 Reactions
34 Replies
3K Views
Turkey would like to join BRICS and this issue will be discussed at the group’s ministerial meeting in Nizhny Novgorod, Turkish Foreign Minister Hakan Fidan said during his visit to China...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
The U.S. has accused Russia of launching a space weapon into low-Earth orbit, but Russian officials dismissed the assertion as “fake news” as the two countries continue to spar over the issue of...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…