Wanaukumbi
UST IN:
🇪🇺🇺🇲 European Union is angry and will "not tolerate" a takeover of Greenland by the United States:
France warned Trump against threatening the bloc's "sovereign borders" —...
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Tedros Adhanom akiwa na wafanyakazi wengine wamenusurika kuuawa katika shambulio la anga, linalodaiwa kufanywa na ndege za kivita za Israel kwenye uwanja wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Takwimu sahihi kabisa
Kisiwa cha Greenland kina ukubwa wa skwea kilometa milioni 2.175.600
Jamhuri ya muungano wa tanzania Ina ukubwa skwea kilometa laki 947,300
Usiku...
Rais wa Mali Jenerali Assimi Goita amesema jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi ( ECOWAS) ni sawasawa na kikundi cha kigaidi.
Rais Goita alitoa kauli hiyo mnamo tarehe 6 Januari 2025...
Wadau hamjamboni nyote?
Mpango wa Iran baada ya shambulizi la Oktoba 7,2023 ni kupiga Israel kutokea pande zote kupitia vikundi vya Hamas, Hezbollah na houth.
Njia mojawapo ya mashambulizi hayo...
#DRC: Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo linalosaidiwa na wapiganaji wa kundi la Wazalendo limefanikiwa kurejesha udhibiti wa baadhi ya maeneo yaliyochukuliwa na wapiganaji wa M23. Jana...
Takriban watu 18 wamefariki dunia katika majibizano ya risasi kati ya kikosi cha walinzi wa Rais wa Chad na kundi la watu waliokuwa wamejihami kwa silaha za moto.
Kundi la watu hao (bado...
Hiki ndicho alichokisema kuhusu vita ya Ukraine
1. Serikali ya Marekani haikutakiwa kusema kwamba Kiev (Ukraine) itajiunga NATO
2. Biden alivunja makubaliano kati ya Marekani na Urusi kuhusu ni...
Kampuni ya Barrick Gold Corp inakabiliwa na changamoto kubwa zaidi nchini Mali baada ya serikali kuongeza marufuku ya usafirishaji wa dhahabu nje, hatua iliyojumuisha pia dhahabu iliyopo kwenye...
.
Katika harakati zangu za kujikomboa na umasikini, niliamua kufanya ziara ya kusaka fursa Mpya nchini Congo. Nilikua tayari nimeshapata masimulizi mengi ya upatikanaji wa madini ya dhahabu na...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa sahihi za kiinteligensia zaonyesha Iran inajambo lake
IDF imejipanga kikamilifu kukabiliana na jambo hilo.
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Mungu ibariki...
Rais mteule Donald Trump ameendelea kutoa vitisho vya kudai kumiliki Greenland na rasi ya Panama, akisema maeneo haya ni muhimu kwa usalama wa taifa la Marekani.
Alisisitiza kuwa Marekani...
Mwanaume asiyeamini kuwa Mungu yupo kutoka nchini Nigeria, Mubarak Bala (40) ameachiwa huru baada ya kutumikia kifungo cha miaka minne gerezani kwa tuhuma za kumtukana Mungu kupitia Facebook mwaka...
First of all, he will not be able to achieve a ceasefire in Ukraine as he thought he will, in the same day in the office, He thought he is a powerful person, who in a blink of eyes everything is...
Juni 27, 2022, Mahakama Kuu ya Shirikisho ya jijini Lagos nchini Nigeria, ilikataa kusikiliza kesi zilizowasilishwa na Wakili wa Haki za Binadamu, Malcolm Omirhobo ambaye alifika mbele ya Mahakama...
Rais mpya wa Marekani Donald Trump ameanza kipindi chake cha pili kwa mpango wa kutaka kunyakua Greenland ambalo ni eneo la nchi ya Denmark na mfereji wa Panama ambao ni eneo la nchi ya Panama...
Wadau hamjamboni nyote?
Mchakato uliongozwa na Waziri wa mambo ya nje James Byrnes.
Marekani ilitoa ofa ya dola million 100 million Kwa Serikali ya Denmark ili kuinunua Greenland.
Pia Marekani...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameituhumu nchi ya Urusi kutumia mitandao ya kijamii kuchafua jina la Ufaransa barani Afrika.
Rais Macron alisema maneno hayo tarehe 6 Januari 2025 wakati...
Rais Putin wa Russia amekataa pendekezo lilitolewa na Rais mteule wa marekani Bwana Donald Trump la kumtaka kusitisha mapigano kati yake na Ukraine na badala yake kuwepo na muda wa miaka 20 baadae...