Wakuu,
Rais mteule Donald Trump amepewa msamaha wa moja kwa moja katika kesi ya kughushi nyaraka za biashara kuficha malipo kwa Msanii Stormy Daniels, hatua inayomaanisha hatakabiliwa na kifungo...
Umoja wa Mataifa unatambua rasmi sarafu 180 duniani kote, zinazotumika kama zabuni halali katika nchi 195. Hata hivyo, umaarufu na matumizi mapana si lazima yalingane na thamani au nguvu ya...
Katika muendelezo wa sheria za ajabu na za hovyo huko Korea Kaskazini, mtawala wa taifa hilo Kim Jong (Kiduku) amepiga marufuku ulaji wa soseji akisema ni chakula cha utamaduni uliopitiliza wa...
Wanaisha jameni, yaani kiduku wa Korea Kaskazini anawarubini watu wake wanafia kwenye nchi ya watu kwa ajili ya ugomvi usiowahusu, nakumbuka hata wavaa makobaz wa kutokea Syria na kwingine...
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amemfuta kazi Balozi anayeiwakilisha Nchi hiyo Afrika kusini Bi. Mazuba Monze baada ya kutoa maagizo kwa Wafanyakazi wake wa kiume wamnyoe sehemu zake za Siri...
Wadau hamjamboni nyote?
Born: September 23, 1956 (age 68 years), Isfahan, Iran
Education: Ohio University, Sharif University of Technology, University of Detroit Mercy · See more
Previous...
Wadau hamjamboni nyote?
Us na Uk wafanya mashambulizi makubwa huko Yemen
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Latest:
The IDF confirms it launched airstrikes against Houthi targets in Yemen...
Leo napitia habari za kimataifa naona Rais alieshindwa mwenye box la kura wa chama cha Podemos anaye itwa VENANCIO MONDLANE amerudi kutoka uhamishoni alipokuwa akihutubia wananchi kwa njia ya...
Wadau hamjamboni nyote
Serikali ya Marekani ilishajimilikisha kisiwa cha Greenland kabla ya vita kuu ya dunia na kisha kumilikishwa rasmi kupitia mkataba wa kijeshi wa kijeshi wa mwaka 1951...
Wakuu,
Abiria 400 wa Treni nchini Ufaransa wamenusurika kifo baada ya dereva wa Treni kujirusha huku treni ikiwa kwenye mwendo kasi siku ya December 25,2024
.
Mamlaka ya reli Ufaransa imesema...
Wanaukumbi
UST IN:
🇪🇺🇺🇲 European Union is angry and will "not tolerate" a takeover of Greenland by the United States:
France warned Trump against threatening the bloc's "sovereign borders" —...
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Tedros Adhanom akiwa na wafanyakazi wengine wamenusurika kuuawa katika shambulio la anga, linalodaiwa kufanywa na ndege za kivita za Israel kwenye uwanja wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Takwimu sahihi kabisa
Kisiwa cha Greenland kina ukubwa wa skwea kilometa milioni 2.175.600
Jamhuri ya muungano wa tanzania Ina ukubwa skwea kilometa laki 947,300
Usiku...
Rais wa Mali Jenerali Assimi Goita amesema jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi ( ECOWAS) ni sawasawa na kikundi cha kigaidi.
Rais Goita alitoa kauli hiyo mnamo tarehe 6 Januari 2025...
Wadau hamjamboni nyote?
Mpango wa Iran baada ya shambulizi la Oktoba 7,2023 ni kupiga Israel kutokea pande zote kupitia vikundi vya Hamas, Hezbollah na houth.
Njia mojawapo ya mashambulizi hayo...
#DRC: Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo linalosaidiwa na wapiganaji wa kundi la Wazalendo limefanikiwa kurejesha udhibiti wa baadhi ya maeneo yaliyochukuliwa na wapiganaji wa M23. Jana...
Takriban watu 18 wamefariki dunia katika majibizano ya risasi kati ya kikosi cha walinzi wa Rais wa Chad na kundi la watu waliokuwa wamejihami kwa silaha za moto.
Kundi la watu hao (bado...
Hiki ndicho alichokisema kuhusu vita ya Ukraine
1. Serikali ya Marekani haikutakiwa kusema kwamba Kiev (Ukraine) itajiunga NATO
2. Biden alivunja makubaliano kati ya Marekani na Urusi kuhusu ni...
Kampuni ya Barrick Gold Corp inakabiliwa na changamoto kubwa zaidi nchini Mali baada ya serikali kuongeza marufuku ya usafirishaji wa dhahabu nje, hatua iliyojumuisha pia dhahabu iliyopo kwenye...