Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za muda huu ndugu wana JamiiForums, Naomba kuuliza hivi huyu mzee anaejiita babu, ambae anarusha matangazo yake ya uganga wa kienyeji kupitia kituo Cha Radio Free Africa, Mwanza ana...
0 Reactions
1 Replies
652 Views
Siku moja nilikuwa napita Kariakoo sokoni. Pale alikuwepo muuza magazeti kapanga magazeti pale, wengine wananunua, wengine wanasimama tu pale kutazama. Ilikuwepo headline pale kwenye gazeti moja...
1 Reactions
2 Replies
387 Views
Habari wakuu, Ni wiki sasa nimekuwa nikiona wadudu jamii ya mjusi wakitembelea eneo ninaloishi. Ni wageni machoni mwangu hivyo wamenitia hofu kwasababu nina mtoto mdogo anayeanza kutambaa...
2 Reactions
100 Replies
31K Views
Mpaka sasa Kenya wameshavuna medali nne za dhahabu katika michezo ya Olympics ya Paris na hivyo kutuwakilisha vizuri Jumuiya ya Africa Mashariki, hata hivyo tuwakanye wasituringie sana majirani...
2 Reactions
11 Replies
528 Views
Maisha ni safari ndefu yenye vikwazo na changamoto nyingi, wakati mwingine unaweza kusema maisha hayana raha na Kama ipo ni kidogo Sana. Hauta sahau nini katika maisha yako?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna idea challenge moja nimeshiriki leo nimetumiwa hii email kuwa nahitajika kuwasilisha hivi vitu hapa chini. Kwa mwenye kufahamu vizuri zaidi hiyo namba moja ina maanisha niwasilishe nini ?? Je...
0 Reactions
0 Replies
303 Views
Nilikuwa natumia superkasi kwa muda mrefu sasa nikaona nihamie tigo fiber maana kwangu itakuwa cheap na kwa sababu ni fiber latency itakuwa chini hivyo uhakika wa video na voice calls kuwa na...
1 Reactions
2 Replies
366 Views
Salamu, Nimepata taarifa mbaya hapo makondeko Moshi, mzee mmoja kafariki na dereva hoi. Pia soma: Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Anonymous
Mimi ni Kijana wa Jamii ya Kimasai kutoka Longido, Kata ya Tinga Tinga, naomba malalamiko haya wa Wananchi yamfikie Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda. Kata yetu inashida ya maji tangu enzi na...
1 Reactions
4 Replies
484 Views
Wadau, kuna yeyote kati yenu pia ameshtuka kwamba speed ya uishaji wa kifurushi cha data mtandao wa vodacom umekuwa una kasi isiyo ya kawaida? Mimi ni muumini wa X, threed, jamiiforums kwa...
14 Reactions
59 Replies
3K Views
Huwa tunaona Serikali ikitoa taarifa za makusanyo ya kodi kila mwisho wa mwezi na mwisho wa mwaka, hilo ni jambo zuri ila sio la muhimu sana kwa wananchi walio wengi. Ni wananchi wachache sana...
1 Reactions
1 Replies
550 Views
Mkurugenzi wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamila Mbarouk amezungumzia taarifa kuwa Treni inayofanya safari zake Dar es Salaam – Arusha ‘imekufa’ na haitaendelea kuwepo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wataalamu wa mambo ya sheria mtakubaliana na mimi kuwa mkataba wowote halali lazima uwe na kipengele cha kuvunja ambacho kinaeleza ni mambo gani yanaweza kupelekea mkataba husika kuvunjika. Kwa...
1 Reactions
4 Replies
578 Views
Mwenendo wa Ukusanyaji Kodi uliofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kipindi cha miaka 7 2018/19: Tsh. Trilioni 1.20 2019/20: Tsh. Trilioni 1.26 2020/21: Tsh. Trilioni 1.29 2021/22: Tsh...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii nchi inazidi kuoza tu hii imenisikitisha sana MJAMZITO AFARIKI KATIKA MAZINGIRA YA UTATA KITUO CHA AFYA MBEZI YA KIMARA, DAR ES SALAAM! Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Ndugu yetu Elizabeth...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Hili ni swali ambalo nimelileta kwenu wakuu , maana sarakasi zinazoendelea baada ya Mzee Mengi " kutwaliwa " zimeanza kunitafakarisha . Ningependa kujua sababu hasa za chama cha Wajane Tanzania...
24 Reactions
165 Replies
17K Views
Mmiliki wa kampuni ya mabasi ya Sauli, Solomon Mwalabhila amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea Mlandizi mkoani Pwani. Akizungumza na kwa njia ya simu na Mwananchi Digital Agosti 4, 2024...
12 Reactions
71 Replies
5K Views
wakuu wikiendi inaenda? Nakumbuka ilitoka list ya vitu unavyoruhusiwa kubeba na kuingia navyo ndani ya SGR, pamoja na vile ambavyo ukiingia unavikuta, yaani viburudisho. Sasa kwanini...
7 Reactions
46 Replies
3K Views
1:Namba za Magari Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Namba za magari yanayitumika kumbeba Rais au Makamu wa Rais na Waziri Mkuu haziandikwi namba wale herufi katika kibao chake, bali huwa na...
8 Reactions
57 Replies
18K Views
Maisha si bahati, maisha ni mikakati thabiti na mipango. Ingawa mara chache maisha huweza kuwa bahati. Binafsi nasema kuwa mtu yeyote anayeishi kwa kusubiri bahati imwangukie huyo ni tahira...
4 Reactions
22 Replies
690 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…