Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
Angeyasema kiongozi wa dini, angeweza kutuhumiwa kuwa anachanganya dini na Siasa!
Wangeongea CHADEMA, wangeambiwa ni tabia yao kupinga!
Lakini sasa aliyeongea ni kada Luhanga Mpina? Nani...
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamshikilia binti mwenye umri wa miaka 16, aliyefahamika kwa jina la Maduki Sabuni mkazi wa Imalanguzo Ushirombo mkoani Geita kwa tuhuma za wizi wa mtoto wa...
Kwa mara ya kwanza Taasisi ya tiba ya mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imefanya upasuaji wagonjwa 11 wenye kiharusi na magonjwa mengine ya mishipa ya damu ndani ya ubongo bila kufungua fuvu...
Damu ya mtu ni ya thamani ila sio kila mtu anaona hivyo.
Dunia ya waafrika ni kama jini kubwa linalosubiria kunywa damu pale mtu anapojichanganya kidogo kwa maana maisha ya mwafrika ni very...
Filosofia ya maisha ni mkusanyiko wa imani, maadili, na mitazamo ambayo mtu anayo kuhusu maisha, ulimwengu, na nafasi yake ndani yake.
1.Malezi na Mazingira: Familia, tamaduni, na jamii...
Hospitali ya Aga Khan wanataka kutoza Shilingi 6,000,000/= kwa huduma za kujifungua kwa njia ya upasuaji wakati Hospitali nyingine zenye hadhi sawa ya rufaa ya Kanda wanatoza kiasi cha Shilingi...
Wafanyakazi wa Shirika la Living Waters Ministries Mkoa wa Mwanza wasotea madai yao kwa miezi mitatu bila mafanikio baada ya kufukuzwa kazi kwa madai ya Shirika alina uwezo wakuendelea kuwalipa...
Sio Kila mhogo unafaa kwa matumizi ya chakula sababu Kuna aina ya mihogo ni sumu Sasa kama mnavyojua biashara ya mihogo ilivyoshamiri mjini wengi tunatumia kama vitafunwa assurance ya kitu...
Moja kwa moja kwenye mada:
Mtu anakuwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, baadae anateuliwa kuwa jaji kisha anateuliwa kuwa naibu katibu mkuu wa wizara na hatujui mbeleni atateuliwa nafasi gani...
Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao.
Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini?
Yani chuki za mtu...
Tarehe 13.08.2024 majira ya 12:20hrs huko katika Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani, Seleman Mzirai Kibiki, Miaka 49, Fundi magari na Mkazi wa Kiluvya, Kisarawe alijinyonga akiwa...
Muonekano wa milango ya kituo cha afya Bulige baada ya kung'olewa na mafundi ambao wanadai haki zao kwa muda mrefu ambapo mafundi hao wanataka kuuziwa nyumba kutokana na mikopo waliochukua kwa...
Chama cha Figo nchini kimejiandaa kupeleka mapendekezo Serikalini kuanzisha uchukuaji wa Figo kwa marehemu, ili kuongeza idadi ya wapandikiziwaji kwani wengi wanashindwa kumudu kutokana na uchache...
1. MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA
Hata Kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima.
2. MWANAMUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA
Ukimuuliza swali...
Habari ya majukumu,
Mimi niliomba cheti cha kifo cha mzazi, majibu yametoka ‘fika ofisi za RITA Bukoba Kagera uchukue cheti chako’, nami kwasasa niko Arusha
Naweza kufanyeje Ili nipate nakala ya...
Hivi wakuu kutokana na changamoto ya ajira ambazo vijana wetu wanapitia nashangaa eti dokta au nesi haruhusiwi kufungua duka la dawa muhimu 🤣.
Hivi alieturoga nani? Tuwahaurumie vijana wetu jaman...
Moderaror ningewaomba msiuunganishe uzi huu nna ujumbe Direct kwa mama Tafadhali
Mama habari za leo na pole na majukum ya kuliongoza Taifa
Mama kwa kipindi cha miaka yako mitano ya uongozi wako...