“As we are celebrating the life of the late Benjamin Mkapa, I would like to also mention that the National Health Insurance Fund is also a legacy of His Excellency Mkapa who started the initiative...
Je, hujasambaza uvumi kuhusu mimi ukidhani ya kwamba unanijua vizuri sana lakini huwezi kuthibitisha ukweli wowote kuhusu madai yako?
Nimesikia sifa za uongo unazosema juu yangu bila ya huruma...
Tatizo hamfanyii kazi
Andaa sufulia napesa za sarafu kama picha hiyo tumia sufulia kubwa au ndoo kubwa kunavitu vitatu vyakuchanganyia humo
Kwanza weka dawa nyeusi yazindiko iliochanganywa na...
Nimekuwa nikisikia simulizi mbalimbali zinazohusu watu wanaotumia Mkono na hata Mguu wa Kushoto kuwa na akili nyingi na kipaji pia.
Na inaelezwa kuwa ni watu wenye bahati sana.
Na hii ni...
Habari za humu wandugu, natumai wengi wenu hamjambo,
Mimi ni yule yule ndugu yenu niliyekimbia umande kusoma sikuona dili,
Kuna Uzi niliuletaga humu nikijisifia kuwa nimeweza kumlea mwanangu au...
Ni mara 10 Putin angeshtuka mapema asingejiingiza kwenye hii vita angetulia zake ajiimarishe kiulinzi maana aliivamia Ukraine kuizuia isijiunge na Nato pia hakutaka silaha za nato zisogee mlangoni...
Kama Kuna vijana wanapitia hali ngumu ya kimaisha basi ni pamoja na vijana wa kitanzania.
Just imagine kijana hanakwambia hana mpango wa kuoa kama ni upwiru atachukua buku Tano anakwenda...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemwelekeza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kumchukulia hatua kali za kinidhamu Afisa Ardhi Mwandamizi Gaudence Mtalo kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe ndugu Anthony Mtaka anafaa kuwa mfano wa viongozi wenye kujenga jamii bora kupitia hotuba zake.
Tanzania ya sasa sio CCM wala vyama mbadala wenye hulka ya kutoa hotuba...
Za sahizi ndugu zanguni... Nina rafiki yangu kamaliza masters ya sheria (LLM) na kaisha pita law school in short ni advocate kwa sasa ana miaka 29 Anahitaji kujiunga na jeshi la polisi either...
Rais Samia
Shikamooo
Ikikupendexa tunaomba ubafikishe viongozi kadhaa wa juu wa nhif
Wakitangulizwa na bodi yao
Wananchi wanateseka sana na hizi huduma za nhif sjui kama washakufikishia
Kadi...
Katika jitihada za kuimarisha ushirikiano baina ya taasisi za kifedha na mihimili ya Serikali, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB), Bw. Adam Mihayo, amemtembelea na kuzungumza...
Ishu vipi wakuu,
Wakubwa leo kuna swali linalosumbua baadhi ya watu wanaoishi katika jiji letu kubwa la Dar es salaam. Swali lenyewe linahusu wilaya zetu tano za mkoa huu wa Dar es salaam. Yani...
Hii idara ya mipango miji manispaa ya Kigamboni imekua kero sana tangu wapewe madaraka ya kupitisha baadhi ya leseni za biashara.
Mimi nimeomba leseni ya guest house ambayo lazima ianzie mipango...
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha.
Zaidi ya Taarifa za Anwani za Makazi 400,000 zinatarajiwa kuhakikiwa katika Halmashauri Sita za Mkoa wa Arusha katika zoezi la Uhakiki wa Anwani za Makazi...
Haya na Mimi GENTAMYCINE sitasema sana kwa sasa kwani nami nataka kuwahi Basi la kutoka hapa Nachingwea kwenda Bonyokwa kuwahi Kikao muhimu cha Vibaka kuwa wengi mtaani Kwetu.
Imeisha hiyo......!!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua jana huku akisisitiza kuwa mabadiliko hayo ni ya kawaida kwa ajili ya kuongeza ufanisi...
MWANAMKE INITIATIVES FOUNDATION (MIF) YANUFAISHA KIMASOMO WANAFUNZI 96 WALIOHITIMU
Mbunge wa Viti Maalum na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Mhe. Wanu Hafidh Ameir...