Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa siku ya jana August 20, 2024 kulibuka taharuki katika eneo la Upanga karibia na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ambapo familia moja ilidaiwa kuondolewa kwenye makazi chini ya uangalizi wa...
1 Reactions
8 Replies
832 Views
Habari , Kwa aliyepoteza Kitambulisho cha NIDA akifanya malipo ya 20,000 anakaa siku ngapi mpaka akipate , Niko Dodoma MREJESHO Nimefika NIDA , Dodoma nikapewa Form yaani nianze kujaza Upya ...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu habari za majukumu, Huwa ninafanya mazoezi, na kila baada ya mazoezi nakaa kitako, nafumba macho nikivuta hisia. Wakati huu napaswa kufikiria jambo gani? Update. Nashukuru nimepata link...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Kuna utapeli unaoendelea mitandaoni, unaohusisha baadhi ya watu fungua kurasa/pages/Accounts za Instagram kwa kutumia picha za watu wengine (innocent) huku pages hizo zikiwa na maudhui ya...
1 Reactions
5 Replies
527 Views
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Bi. Irene Gowelle akizungumza na waandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Mha...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Wale wote wenye nia njema na wanaochukia uonevu na unyanyasaji wanaofanyiwa wenzetu jamii ya wamasai tuwaunge mkono kwa kuvaa mavazi yao ya asili. Uhamasishaji mkubwa utafanyika kuhakikisha nguo...
2 Reactions
1 Replies
482 Views
Wee mzazi utambue kuwa uwezo wa kumudu maisha ni matokeo ya malezi uliyopitia! Kwanini unataka kumuharibu mtoto wako? Au na wewe ujielewi unataka uzo wako ufanane na wewe?
3 Reactions
2 Replies
384 Views
Complex na Vivian walikuwa wasanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Kifo chao kilikuwa na athari kubwa katika tasnia ya muziki nchini. Walifariki kwa ajali ya gari tarehe 21...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Sio mjuzi sana wa masuala ya kimataifa ila jamaa anapiga kazi sana hasa kwenye suala la mgogoro wa Gaza nadhani angefaa kupewa urais ili aendelee kufanya hiki anachofanya badala yake kapewa nafasi...
2 Reactions
25 Replies
892 Views
Naamini huu uongo ulitia fora: "Hata sabato ilipokwisha,ikipambazuka siku ya kwanza ya juma, Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, walikwenda kulitazama kaburi. Na Tanzania, palikuwa na...
2 Reactions
17 Replies
941 Views
Kwema wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimekuwa nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha...
14 Reactions
110 Replies
6K Views
Nadhani niliacha historia mbaya na sikurudi tena kwenye ile familia, nimemaliza form six naenda chuo, ikabidi mzee afanye mawasiliano na rafiki yake nipate pakufikia ili kesho yake nikaanze...
9 Reactions
11 Replies
955 Views
Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
12 Reactions
125 Replies
11K Views
Jana baada ya kuangalia BBC SWAHILI DIRA YA DUNIA wakaja hao wajamaa wanaitwa FUTUHI kwa English Comedy hapo kuna jamaa anaitwa Sharobaro wa Kihaya kuja a mmoja kujikomboa ngozi kama mkongo vile...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
Kwa muda miezi kadhaa sasa mfufulizo nimeona nyuzi nyingi sana zinazoonekana ni za vijana wadogo wakitaka kupata uzoefu mbalimbali kuhusu mapenzi, mahusian au ndoa, wakiulizia watu sahihi wa...
4 Reactions
1 Replies
436 Views
Waziri Dr Doroth Gwajima Kuna jambo linatusumbua, tumejitahidi kupiga kelele na hata kwenda kwenye Ofisi za serikali lakini hakuna msaada. Ninaamini wewe unaweza kutusaidia kuhusu hili jambo...
1 Reactions
3 Replies
494 Views
Habari wakuu. Ni matumaini kila mmoja ako buheri wa afya. Ninahitaji msaada wapendwa, naona hali inakuwa mbaya as days go. Scenario: Mara nyingi lakini sio zote, nikipigiwa simu nikiwa niko nayo...
8 Reactions
83 Replies
2K Views
A Tanzania national arrested at Bole Airport with 1.34 KG of cocaine on 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a...
21 Reactions
274 Replies
13K Views
Kama serikali mmelifunga ziwa victoria kwa uvuvi haram na mkisubkri wazaliane tena basi siku mkilifungua hilo ziwa ni heri muwape tenda kampuni kubwa zenye vifaaa na meli za kisasa ondoeni hao...
3 Reactions
5 Replies
405 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…