Katika mahojiano maalumu na Manara TV Sultan Sheikh Sharifu alifunguka kuhusu matukio ya kushangaza Moja ya vitu alivyoweka wazi ni kwamba alishawahi kuwafungisha ndoa Jini na Binadamu na hadi...
Wakuu tunatangaza msiba wa mtanzania Prosper Prosper ambaye alikuwa anaishi Marekani, amefariki kwa ajali ya gari.
Mtanzania huyu alikuwa anaishi Sugerland - Texas
Taarifa zaidi kukujia.
Nimeona clip ya aliekua anajiita nabii 'kiboko ya wachawi' akitoa kejeli juu ya watanzania waliokua wanalipia kingilio cha laki tano.
Naishauri serikali kabla ya kutoa kibali cha mtu anayejiita...
Korea Kaskazini inashutumiwa kuwaadhibu hadharani Wasichana wadogo na Vijana wanaotizama tamthilia au televisheni zilizopigwa marufuku Nchini humo ikiwemo televisheni za Korea Kusini, China na...
Mtengenezaji mkubwa wa magari ya kibiashara kutoka China, Yutong, kwa sasa anachambua soko la nchi Tanzania kwa uwezekano wa kuanzisha kiwanda cha kuunganisha magari nchini Tanzania. Hii ni baada...
Natumaini mpo wazima Jf!
Jamani vijana tupambane kutafuta pesa kwa nguvu zote ili tuepuke fedheha ndogondogo, na Pia Mungu humpa kila mmoja ridhiki kwa muda wake.
Nimeshuhudia vifo zaidi ya...
"Mwizi alieba mtaani 500 mnanua mafuta ya 10,000 kumchomea wakati afisa aliewaibia milioni 500 mnaishia kusema tunamwachia Mungu atatupambania"
From me eli cohen,
Kiboko alistahili kula hela...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa lililopo mkoani Simiyu Luhaga Mpina akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa Mpina (Mpina Stadium) Jumapili Agosti 11, 2024.
Mpina amesema...
MIAKA HAMSINI YA KISIWA CHA RUKUBA: MAENDELEO NA USTAWI WAKE (1974-2024)
Kisiwa cha Rukuba kilitambuliwa na kupewa hadhi ya kijiji Mwaka 1974.
Kisiwa hiki ni moja ya vijiji vinne (4) vya Kata ya...
Hawa NBC BANK watakuja kuua watu kwa Pressure. Jana nmeenda ATM kutoa pesa natoa pesa haitok kuangalia salio naambiwa nina negative 652,520,7644. Kumbe miitandao imesheki.
Afu eti imagine kwa...
Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili...
Wakulima wa miwa wa bonde la Kilombero wanatarajiwa kunufaika na ubunifu sambamba na teknolojia za kisasa za kilimo zitakazooneshwa kupitia maonesho ya siku ya wakulima wa miwa Kilombero...
Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Wizara ya Elimu na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeridhika na utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Shimbo iliyopo Kata ya Mkuza,Halmashauri ya...
Wakala wa Vipimo (WMA) imesema kuwa ipo katika mpango wa kuanza kufanya uhakiki wa Mita za Umeme na Maji ambazo tayari zimefungwa kwa matumizi sambamba na kuanza ufuatiliaji wa kuhakiki wa mabando...
Leo nimeshangaa pale nilipoegesha gari Terminal 2 kwa saa 72 na kudaiwa 75,000 za maegesho na kuambiwa kuwa “Long term parking” inahesabiwa ukiegesha Terminal III.
Kwanza, kaka aliyekuwa pale...
Nchi imejawa na simanzi kwa mauaji ya kikatili. Kitendi kiovu kilichopindukia mauaji haya ni muendekezo wa vitendo vya kikatili, utekaji na kupotezana.
Imesimuliwa kuwa mzee Kibao alitekwa hivi...
Bakari Ubena - Dw Swahili
Kumeibuka hali ya kutia wasiwasi barani Afrika ambapo watu wanaofichua taarifa mbalimbali hawapatiwi ulinzi wa kutosha baada ya kufichua maovu, na mara nyingi watu hao...