Kamnyomo
Senior Member
- Apr 4, 2020
- 120
- 174
Natumaini mpo wazima Jf!
Jamani vijana tupambane kutafuta pesa kwa nguvu zote ili tuepuke fedheha ndogondogo, na Pia Mungu humpa kila mmoja ridhiki kwa muda wake.
Nimeshuhudia vifo zaidi ya vitatu vya kutatanisha kutokana na ugomvi wa mali za urithi kwa ndugu wa ukoo au familia moja.Inasikitisha sana kuona baada ya kifo cha mzazi either mama au baba,ndugu wa jirani ambao ni wajomba/mama wadogo/baba wadogo wanakuwa na ugomvi juu ya mali(mashamba,nyumba,magari) ambazo zilichumwa na wazazi kwa ajili ya urithi wa watoto na kufikia hatua ya kutoa uhai wa watoto wa Marehemu ili tu kuchukua miliki ya mali za marehemu.
Inauma na inasikitisha sana,Elimu ni muhimu kutolewa kwa jamii juu ya madhara ya husda na kijicho na pia binadamu tuwe na hofu ya Mungu.
Haya mambo ya huniwezi kiuchawi,kiserikali na kifedha tuache kando,tuweke utu mbele na upendo pia.
Mnisamehe kwa uandishi mbovu,mie siyo story teller mzuri.
"UMASKINI NI MBAYA SANA,TUPAMBANE"