Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

https://www.youtube.com/watch?v=RYUxjy76CPg Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, Tundu Lissu amesema maandamano yaliyotangaza na Chama hicho kupinga vitendo vya utekaji Nchini yako...
1 Reactions
3 Replies
908 Views
WAZIRI NDUMBARO ATANGAZA FURSA LUKUKI TAMASHA LA TATU LA UTAMADUNI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa, Tamasha la tatu la Utamaduni la Kitaifa Songea...
0 Reactions
0 Replies
275 Views
Jamaa tangu nimfahamu YEYE NI KUWAPONDA TU WANAUME linapokuja suala la mahusiano. Na kwa hili amefanikiwa sana kujipatia UJIKO kwa kina Mama Anyway ninachoamini ni kwamba jamaa mada zake zote...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
HAKUNA TOFAUTI KATI YA WANAWAKE WA MAKUNDI HAYA MAWILI Kwanza nawasalimu;- Bwana Yesu asifiwe/Assalamu Alaykum. Pili naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu kwa kuyataja makundi mawili...
0 Reactions
4 Replies
552 Views
Mmezaliwa miaka ya 70 Mwishoni, themanini mwanzoni hadi themanini katikati ( 1985). Wazazi wenu hawakuwa hata na kipato kikubwa kihivyo lakini walifanikiwa kujenga nyumba (wengine zaidi ya...
18 Reactions
69 Replies
3K Views
Habari, Hali ya mgawo wa umeme imerejea kwa kasi sana ni wiki tangu kuanza kwa changamoto hii. Ndani ya jiji la Dar es Salaam wilaya ya kinondoni hali sio nzuri. Watanganyika tulijua baada ya...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
https://gamerant.com/24-movie-needs-end-jack-bauers-story-properly/
0 Reactions
0 Replies
208 Views
Kwa kweli sijamsikia tena mwenyekiti wa CHADEMA kutoa tamko au ufafanuzi wa ajenda yake. Najiuliza jee ni mzima au amekubali alihemkwa tu Au amekiri kimya kimya hakuna atakayetoka pamoja naye...
1 Reactions
4 Replies
370 Views
Ni kwa miezi kadhaa baada ya vilio vya mgao mkali wa umeme, hali imetulia, baadhi ya maeneo umeme haujakatika miezi mitatu mfululizo. Ndivyo inavyobidi serikali itutumikie wananchi, kwa hali...
1 Reactions
5 Replies
451 Views
Wakuu: Kheri ya Maulid Kuna ka slogan haka kamekuwa maarufu sana siku hizi, Wengine wanajiita watoto wa mjini, wengine wanajiita wazawa wa mjini, wengine wanajiita wazee wa kumanipulate mfumo n.k...
1 Reactions
1 Replies
245 Views
Katika kipindi cha kabla ya enzi ya ukoloni, na hata ukoloni ulipoingia nchini Tanganyika, aina hiyo ya magari ndio yalikuwa vyombo vikuu vya usafiri nchini. Magari hayo hayakuwa ya kuwasha kwa...
8 Reactions
10 Replies
824 Views
Kuna kanisa limejengwa chini ya dirisha langu. Usiku na mchana, linapiga kwaya kwa kutumia mabomba katika ibada zao. Wao hawajali kama watu wanalala au wako macho; wanashikilia ibada yao kuwa...
8 Reactions
97 Replies
3K Views
Habari, Ni ukweli usiopingika kwa ajira hizi tunazofanya bila kujua haki na wajibu wako ni kazi sana kutoboa. Wafanyakazi walio wengi hawajui haki na wajibu wao katika kazi wanazo zifanya. Mfano...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
MOROGORO - Moto mkubwa unavyoteketeza safu ya milima ya Uluguru kwa zaidi ya wiki moja sasa , milima hiyo ina umuhimu wa kipekee kwa kuwa ni vyanzo upatikanaji wa maji yanayotegemewa na wananchi...
2 Reactions
11 Replies
635 Views
Jana nimepokea sms zile za "Jiunge na freemason upate utajiri n.k" Nilichofanya nikaforwad sms kwa namba 15040 na kutuma namba iliyonotumia. πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
0 Reactions
11 Replies
731 Views
Hali tete , familia watendewe haki ni zaidi ya mwaka sasa , vyombo vya usalama vifanye juhudi za ziada . https://youtu.be/6onwxmeYfDE?si=qYODv9dKxBE-9040
10 Reactions
80 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwenye mada, ivi karibuni nimebahatika kuoa, Tumefanya sherehe ya harusi na alhamdillilah tumechangiwa kiasi kisichopungua milioni 10. Nilikua na nataka Kuongeza pesa kidogo iingie...
2 Reactions
14 Replies
583 Views
Hawa watu unaweza kuta kuanzia Babu, Bibi, wajomba, Mama wadogo, watoto, Wajukuuu, wote wanaishi nyumba moja na kwa upendo mkubwa mno. Wabongo hii haiwezekani kabisa, make kusengenyana...
31 Reactions
137 Replies
16K Views
Habarini ndugu, Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Mzee wangu, nimeamua kushare story hii fupi inayohusu jambo ambalo lilimkuta enzi za uhai wake. Kama ilivyo kawaida katika jamii zetu, mtu...
17 Reactions
113 Replies
4K Views
Hivi Majuzi niliona nimeamka kutoka usingizini lakini cha kushangaza nilijiona bado nipo kitandani nimelala. nilijaribu kujiamsha lakini sikuamka, basi nikapotezea. Nikaamua nitoke nje niende...
9 Reactions
66 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…