Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni Dakika, Saa, Siku, Wiki, Mwezi, Mwaka na hatimaye mika 17 sasa imetimia tangu Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925 – 18/09/2007) ututangulie Mbele za haki kama ulivyotutangulia kuja duniani...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Shekh Mwaipopo wakati akizungumza na waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala ya utekaji. Amesema Dunia serikali zote zinawauwaji wake hakuna serikali isiyo fanya...
6 Reactions
78 Replies
4K Views
Habari za muda huu ndugu zangu, Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu. Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina...
37 Reactions
306 Replies
8K Views
Baada ya kuchagua camera kwa matumizi na budget yako (episode I), sasa tuanze kurecord. Tuta-assume accessories chache sana tunazihitaji kutokana na budget yetu. Tufanye sisi ni content creator...
1 Reactions
1 Replies
380 Views
Vikundi nane vya Wajasiriamali kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa vimenufaika na mtaji wezeshi kutoka Benki ya CRDB kiasi cha shilingi milioni 101.6 kwa ajili ya kuimarisha biashara zao na...
0 Reactions
1 Replies
345 Views
Kuwaambia marafiki FEKI kuhusu matatizo yako ni sawa na kudiscuss malaria 🦟 case na mbu, maana bado watakung'ata tu! 🙄
4 Reactions
3 Replies
245 Views
Dunia ya sasa sio kama dunia ya miaka ya nyuma baada ya UN kuundwa. Mauaji yakitokea kwa waarabu au warusi dunia kimya. Lakini mauaji yakitokea kwa Israel au Marekani au Europe ukitoa Urusi utaona...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Naiomba ile Tume iliyoundwa wala isitupotezee muda, bali iache tu Maisha yaendelee kwakuwa Mtendaji tumeshamjua.
18 Reactions
42 Replies
2K Views
Zebra nyingi za mjini Barabara Kuu ya Morogoro - Dodoma nimeshangaa sana kwani zimefutika, mamlaka zipo kimya na hii hali imekua ya muda mrefu na hamna anayechukua hatua. Hatutarajii mpaka...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Kama utani vile, waigizaji nyota wawili wa Bongo Movie, Kajala Masanja na Jacklyne Wolper wamejikuta wakimaliza bifu walilokuwa nalo kutokana na kila mmoja kuwahi kutoka na staa wa Bongo Flava...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Albadir ya Tanga Sasa umeanza kujibu Mwakinyo na watu maarufu wa Tanga waliwataka wanazuoni wa dini kufanya kisomo cha albadir Albadir inaweza kumfanya aliyetekeleza jambo la kudhurumu haki ya...
14 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari naweza anaefahamu shule ya music Morogoro Mjini kupiga keyboard
1 Reactions
1 Replies
292 Views
Na Mimi GENTAMYCINE tatizo langu Kubwa siyo hilo Gari kwani tokea linaruhusiwa kuwepo njiani (barabarani mwaka 2021) nililiona kuwa ni Bovu ila Abiria wengi walikuwa Wanalitamani kwakuwa hawakuwa...
2 Reactions
13 Replies
779 Views
Na gharama yake itakuwa ni Nafuu sana kwa kila Rais ila kutakuwa na Sharti Kubwa kidogo la Kwanza kutaka kuijua Elimu ya Rais husika, Chuo chake alichosoma na kama Alifaulu vyema huko kisha mwisho...
13 Reactions
47 Replies
2K Views
Yani unakuta dogo wa form 1 au 2 ameshakalili dance moves zote za chino lakini ukimuuliza hivi unamjuaje hitler eti anakuuliza "hivi aliimba wimbo gani vile" ahah Sio kila mtoto atachukulia...
3 Reactions
9 Replies
575 Views
WATU WANAOJIFARIJI SANA WANA HATARI YA KUBAKI WALIPO MAISHA YOTE. #Wale ambao kila kitu ni mpango wa Mungu hata kama ni uzembeo wao. #Wale ambao wanajipa matumaini ya kufanikiwa ilihali hawana...
3 Reactions
7 Replies
502 Views
Zanzibar Imekuwa Ikitumika Kama Njia Ya Biashara Hii kwa Kutumia Kipengele Cha Ajira Nje. Ya Nchi Ambapo Baadhi ya Watu husafiri Kwenda Nchi Kwa Ajira Ya Kutafuta Ajira. Na Husafiri Bila Kuwa Na...
4 Reactions
2 Replies
462 Views
Zimebaki siku 3 tu kufikia hafla ya utoaji wa Tuzo za Shindano la Stories of Change Msimu wa 4 inayotarajiwa kufanyika Septemba 21, 2024. Kupitia maandiko yanayoangazia "TanzaniaTuitakayo"...
2 Reactions
5 Replies
735 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…