Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

PRODUCERS NA STUDIO.. 1. Kumthamini Producer Master J na Hermy B waliamua kujiweka kando kiasi na kuleta maproducer wengine kusimamia studio hizo. Master Jay alimchukua Marco Chali kutoka Kama...
1 Reactions
5 Replies
800 Views
morning lovely 😍 naombeni mnisaidie nataka kufuta account ya Facebook nilijiunga kipindi bado mdogo sasa inanikwaza nataka kufuta nimeacha kutumia na miaka sasa lakini notification zinakuja hii...
7 Reactions
66 Replies
5K Views
Habarini ndugu zangu. Aidha nitoe angalizo kuwa nia yangu sio kukosoa tamaduni za kabila hili. Ila topic ya ndoa ya aina hii kidogo inanipa tabu kidogo kuelewa. Nimeona jambo hili linafanyika sana...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF. Natumai wote ni wazima. Mara kadhaa nimejikuta nashtuka usiku wa saa 7 au saa 8 usiku na usingizi kukata kabisa, inaweza kunichukua hata lisaa kupata usingizi tena...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI - MLOGANZILA KUFANYA KAMBI YA UPASUAJI WA NYONGA NA MAGOTI Jopo la Madkatari Wataalam wa UPASUAJI wa Mifupa, Nyonga na Magoti kutoka Hospitali ya Taifa...
0 Reactions
0 Replies
378 Views
Fikiria mtandao kama mji mkubwa wa kidijitali, ambapo kila kona kuna watu, mitaa na maduka ya kila aina. Kama vile wazazi wanavyowaongoza mabinti zao wanapotembea mtaani kwa mara ya kwanza...
3 Reactions
2 Replies
502 Views
Hello! Hivi mtu analipwa laki 7, 8, 5, 6, 4,3 au milioni 1, 1.5 na milioni 2 huyo umaskini utamtaka vipi? Usafiri na kula 20k per day hapo nyumbani 20 jumla 40 kwa siku. Hapo ukiweka, ada...
9 Reactions
12 Replies
675 Views
Najua tu wanazingua lakini leo wamenishangaza, jamaa yuko spidi, yuko kushoto, anafika Mikocheni(kwa Mwinyi) barabara zimekutana na gari kwenye lane yake limeshasimama kumpisha mtu akunje. Yeye...
11 Reactions
49 Replies
3K Views
Katika hali inayoumiza na kusikitisha ni namna tunavyoyajadili masuala makubwa ya Taifa letu. Nimepitia maandiko mengi, mijadala mingi na hotuba kadhaa ila nilichokibaini nimekipa jina mchezo wa...
1 Reactions
0 Replies
244 Views
NAUNGA MKONO MAANDAMANO ya tarehe 23 ila Kwa Sharti Moja: Mbowe, Lissu na Familia Zao Wawe Mbele Katika maandamano yanayotarajiwa kufanyika tarehe 23, naunga mkono juhudi hizi za kidemokrasia...
4 Reactions
43 Replies
1K Views
Upatikanaji wa ndimu umekuwa adimu sana kipindi hiki na bei zake zimechangamka sana. Mbadala wa wafanyabishara wengi wa chakula wanatumia ndimu ya unga, na ni sehemu nyingi sana kwa sasa ndio...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Watu wengine hudanganyana kuwa ukitaka kuwa raia wa nchi fulani basi oa mwanamke wa hiyo nchi unayotaka kuwa raia. Nchi nyingi duniani haziko hivyo. Mwanamke aliyeolewa ndie hupewa uraia sio...
1 Reactions
3 Replies
510 Views
Gundu ni... Unaamka asubh huku ukiwa na heng over ya jana ucku😂😂 Unapasha maji kweny jiko la gec ili ukaoge,unayapeleka bafuni,unasahau kuyachanganya na yabard unajimwagia,,,unaungua unaanza...
3 Reactions
7 Replies
835 Views
Kwanza kabisa ninampongeza Waziri wa Kilimo Bashe kwa kuguswa na kijana wa kitanzania anayefanya kilimo cha kitunguu na kutaka kumsaidia. Ubarikiwe sana Bashe. Vijana kama hawa wanahitaji...
1 Reactions
0 Replies
320 Views
Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Jumuiya ya African Parks Kwa kushirikiana na Nchi ya Sudan Kusini imegundua na kuchaposha taarifa inayosema zaidi ya Wanyama pori Milioni 6 Wanahama kutoka...
1 Reactions
6 Replies
672 Views
As great thinkers naimani wabobezi wa sera za kiuchumi watanisaidia mimi mwanakijiji kuelewa. -Mara nyingi hujiuliza kwa bidhaa kama hii kuagizwa kutoka nje ya nchi !!! Ipo athari yeyote katika...
0 Reactions
6 Replies
372 Views
Jeshi la Polisi mkoa wa Mara linawashikilia watu kumi na tano (15) kwa tuhuma za kuwashambulia askari wawili wa kikosi cha usalama barabarani waliokuwa wakitekeleza majukumu yao ya kikazi kwenye...
1 Reactions
12 Replies
901 Views
Wakuu habari za Leo, naomba msaada kuna Rafiki yangu alikuwa na biashara ya kuuza Vinywaji vya Jumla lakini baadae akapatamatatizo (aliibiwa) Hivyo kw amuda mrefu hakuweza kufanya biashara tena...
2 Reactions
4 Replies
716 Views
Kondoo alikuwa anapita akamuona simba akilia akiwa amenasa kwenye boksi la chuma(grili), simba akamsihi sana kondoo amuokoe na kumuahidi kuwa hatamuua wala kumla, lakini kondoo akakataa.... Baada...
8 Reactions
5 Replies
543 Views
Anonymous
Tunakaa miezi miwili mpaka mitatu bila malipo na wakilipa wanalipa mwezi mmoja malimbikizo yanakuwa mengi. Hivyo inatufanya maisha yanakuwa magumu kiasi kwamba tunakosa hata nauli. Tunaomba...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…