Nimepita daraja la Wami Dakawa, nikapita daraja la Ferry Dumila, nikapita madaraja ya Kitete, Msowero, Mvumi na Rudewa barabara ya Dumila Kilosa nikajifunza kuwa madaraja ya njia hiyo yaliinuliwa...
Wana jamii forum naomba kuuliza ni ofisi gani inatoa ajira yenyewe bila kupitia utumishi yani wana kibali cha ajira na wana mshahara mkubwa kwa BBA ya accounting kabla ya kupata CPA
Pia ni...
MRADI WA MAJI YA BOMBA WA KATA YA TEGERUKA: MKANDARASI KUONGEZA KASI YA KUKAMILISHA MRADI HUU
Kata ya Tegeruka yenye vijiji vitatu vya Kataryo, Mayani na Tegeruka itatumia maji ya bomba kutoka...
Kuna kundi fulani la watu lina misimamo ilio very complicating.
Jamii zao wanazibandika jina la kundi lao utafikiri ardhi wanayoikanyaga imeandaliwa kwa ajili yao tu.
Lina fukuza watu wasio wa...
Wakaazi wa kitongoji Cha Songambele Kijiji Cha lorokare Kata ya Oljoro no.5 Bado wanapitia adha kubwa ya maji kwani wanatumia korongo la msimu Kupata maji ya kutumia kwa kufukua mchanga.
Maeneo...
Mzee wa mafuta ya upako P.Diddy katika kesi yake inayoendelea. Je kuna uwezekano wa watu hawa kuitwa either kumtetea au kumkandamiza?
1. Diamond anasema walifanya yao ambayo hawezi yaweka in...
Habari Wana jamii forums.
Kama nilivyotangulia hapo juu basi nipo hapa kuelezea magumu ninayoyapitia kwa Sasa maishani mwangu na sioni dalili ya kutoka katika Hali hii niliyonayo Sasa zaidi naona...
https://www.youtube.com/live/xHd53cbsmoA?si=Rm1YGprC9EkHdvry
Zoezi la Utoaji Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) linaendelea muda huu kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo...
Mimi nawashangaa mno mnavyomkalia kooni msanii Daimond na kumdhihaki kwa kila namna kusema tu alifika kwa msanii paff dady
Mwacheni, umasikini mbaya nyie,, shida mkwanja uingie tu, au...
Kichaa cha Mbwa ni ugonjwa hatari unaosababishwa na kundi la virusi waitwao Lyssa (kuna virusi wa Rabies na virusi wa Australian bat wote hawa huleta ugonjwa huu).
Ugonjwa huu huwapata binadamu...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi hapa jukwaani ihusuyo punyeto…wengi wamekuwa wakieleza kwa hisia namna wanavo teseka na janga hili,wengine wamekuwa wakilibeza kwa kuwa wamekata...
Umewahi kujiuliza hivyo kwa nini wahindi na waarabu [ wenye asili hiyo ] ndio matajiri wengi wakubwa nchini licha ya jamii yao kuwa ndogo kulinganisha na jamii ya watu weusi ?
Nisahihi kwa hospitali kutoa Taarifa za wagonjwa wanaowafanyia matibabu kwa kubainisha Majina Yao, umri na mahali wanapoishi ?
Soma taarifa hii iliyochapishwa na EATV
#HABARI Hospitali ya Rufaa...
Bwana wetu Yesu anasema yeye ndiye mzabibu wa kweli na baba yake ndiye mkulima na sisi ni matawi pasipo yeye sisi hatuwezi kufanya neno lolote.
Yohana 15
Kwako wewe Kama ambaye unakutana...
KWAMBA WASIOJULIKANA HAWACHAGUI WA KUWADHURU? AU TUNAJARIBU KUBALANCE MAMBO DAKIKA ZA JIOOOOOOOOONI, KUELEKEA SEPTEMBER 23
——
Watu wasiojulikana wanadaiwa kumvamia na kummwagia kimiminika...
Kuna vyombo vya habari nchi hii vinashabikia uvunjifu wa amani, wanashabikia habari hasi dhidi ya serikali. Je ni kwamba wana ajenda ya siri, wanatumiwa na vibaraka kuchafua taswira ya nchi yetu...
Soko hili linakadiliwa kujengwa kwa zaidi ya Milioni 500Tsh. Lina muda sasa vibanda vyake havifanyi kazi iliyokusudiwa kutokana na kuwa na miundombinu isiyo rafiki kwa ufanyaji biashara, hivyo...