Habari zenu,
Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:
"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali...
Dodoma ni Jiji linalokuwa kwa kasi sana na ni Mji wa Kiserikali kama ilivyo kwa Lagos, Nigeria na Pretoria, Afrika Kusini.
Kero mojawapo kubwa ambayo inakera kweli kweli ni kutopatikana kwa maji...
Mshana Jr Rakim msaada wenu hapo naomba kujua hayo mawe yanafanya vipi kazi katika ulimwengu ule usioonekana
pia naomba kujua kuhusu mafuta ya essential kama lavenda au ylang-ylang
Salaam wakuu.
Kwenye mada moja kwa moja.
Kwanini anga ni la BLUE kukiwa hakuna mawingu nyakati za Mchana na JEUSI nyakati usiku.
Wanasayansi njooni.
NB; Najua kuna wengine watasema ni...
Habari wadau na ma Hustlers wote , mwaka huu wa 2024 ndio upo ukingoni tumebakiwa na miezi michache tuufunge mwaka.
Mwaka huu ulivyoanza watu walikuwa na slogan ya mwaka wa Ku force, swali la...
UNA MIAKA 30? HII INAKUHUSU
Kwanza jua una miongo mitatu ( mafungu matatu ya miaka kumi kumi).
MUONGO WA KWANZA ( 0-10)
1. Hapa ulikuwa mtoto
2. Mwanzo wa shule ( kwa walioenda shule)
3. Hapa...
Iran ni ndugu zetu na Wana ubalozi hapa Tanzania nasi tulio wengi ni Mashia kama wao
Basi na tuwaombee wamsihi Ayatollah Ali Khamenei asiendelee kuwachokoza Wayahudi kwani ni hatari sana kwa...
Habari wakuu,
Nina miaka kadhaa katika jiji hili la Dar es salaam, na wengine wote wanaoishi katika jiji hili ni mashahidi,
Kila nyumba ina vifaa vingi vya kutunzia maji, iwe ndoo, jaba au tank...
Bajeti ya TARURA yafikia Trilioni 1.3
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Serikali imetoa fedha takribani Sh. Trilioni sita tangu...
Wakuu,
Huduma za mtandao Vodacom zimerejea.
====
Huduma zote sasa zimerejea kama kawaida. Tunaomba radhi kwa usumbufu na tunatanguliza shukrani kwa uvumilivu wenu.
10 things you don’t owe anyone an explanation for
By Lachlan Brown Published September 11, 2024 Updated September 12, 2024
There’s a big difference between explaining yourself and being...
Salaam, Shalom!!
Takwimu za sensa iliyofanyika mwaka 2022 inasema Tanzania yetu wanaume na wanawake idadi Yao ni sawa Kwa asilimia, ingawa katika namba, inaonyesha wanawake wamewazidi wanaume Kwa...
Ili utawale unahitaji vitu vitatu simple;
PESA - Uwe na utajiri wa Dhahabu, au pesa ambayo utaweza nunua asset mbali mbali katika nchi hasa ardhi.
JESHI - Jeshi litakuwezesha kulinda mipaka ya...
Eti nitume laki na 95 elf, dereva aanze safari kuuleta nilipo hahah..nikichelewa mzigo utawekwa store kwa kila siku 20k inaongezeka.. Namwambia namtumia ndugu yangu aje abebe eti hapana tuma ela...
Habari njema ni kwamba unao UHAI basi jipe shukrani na shukuru viumbe wengine.
Nitajikita kwenye jambo moja tu ambalo binafsi naliona kama ni tatizo la msingi kabisa (Mashindano Katika mambo...
Habari wana jamii forum
Nina kitu kinaniumiza sana kichwa kila mwaka.
-Mimi ni kijana wa miaka 25 mwenye biashara ndogo ambayo inanisaidia kukidhi mahitaji yangu ya kila siku pamoja na mambo mbali...
Tafadhali anaejua bei za speaker za kuchonga saizi ya kati inauzwaje aniambie bei au kama anajua wapi naweza pata, Kuna posho ya maji ya kunywa Asanteni.
kwanza nianze kwa kuipongeza taasisi ya JamiiForums kwa kua moja ya njia ya utoaji na ufikishaji wa taarifa mbalimbali kwa jamii na taifa kwa ujumla. Lakini pia napenda kutoa shukrani zangu za...
Hizi leseni mbona zinatolewa kwa upendeleo na maombi yetu yanaambiwa hayasikilizwi kwa kuwa hakuna board, wote wamestaafu huku wachimbaji wengine wakipewa leseni
Waziri Mavunde hebu tusaidie na...