Mbunge wa Viti Maalum (Vijana Taifa), Mhe. Juliana Didas Masaburi amefanya ziara katika Bandari ya Mtwara ambapo aliambatana na Baraza la Vijana la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa...
Shalom watu wa Mungu.
Baada ya kutambua kwamba JamiiForums ni jukwaa kubwa sana la lugha ya kiswahili afrika na dunia nzima.
Ninawahasa wasanii wote na watu maarufu wajiunge humu ili kupata...
Niliona taarifa kwa Millard ayo ikisena mazishi ya Bilionea wa madini (Arusha) yamezuiwa na mke kwasababu mke alidai hakushirikishwa kwenye taratibu za mazishi, mke akaamua kwenda Mahakamani ili...
KAHAMA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewasili mkoani Shinyanga kwa ziara ya kikazi kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa mkoani humo.
Waziri...
Habari ndugu zangu.
Nilileta uzi WA kutaka ushauri WA kuuza nyumba yangu, baada ya kupitia comments Za nyinyi wanandugu nimeona comments nyingi zikisema nisiuze nyumba yangu.
Ushauri wenu...
Utangulizi:
Kituo cha Hosiana mission dispensary kinapatikana katika Manispaa ya Tabora.
Kituo hiki cha afya kimekuwa ni kimbilio kwa watu wenye matatizo mbalimbali ndani na nje ya manispaa ya...
Nimefika bank nikageuza gari na kupaki. Nikashuka na kwenda ATM Mlinzi akaniambia ni kosa kugeuza gari kabla ya kuingia Bank. Kwamba gari ikae mwelekeo wa bank, baada ya kupata huduma ndipo...
Wafanyabiashara wa Kariakoo wengi ni nusu vichaa
Wanaoishi maeneo ya uswahilini kama Manzese Mbagala, Vingunguti, Buguruni, Kwa Mtogole, n.k wengi zimefyatuka.
Wanaoishi nyumba za kupanga...
Mwalimu wa Shule ya Msingi Chalantai wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Tabita Mwanyanje (29), anadaiwa kuuawa kwa kuchomwa kisu shingoni na maeneo mengine ya mwili na mumewe Frank Galimoshi (30) kwa...
Misongo ya mawazo na masononeko wanayopitia wanaume ni mingi mno na kwa bahati mbaya wengi wetu tunaweka moyoni kitu ambacho yanatumaliza.
Hofu ya kuyatamka yanayotukwaza yamepeleka wengi sana...
Afisa mikopo anashughulika na kuwapa watu mikopo,hivyo na sisi tunaopokea mikopo hiyo tunayo haki ya kujiita AFISA MADENI.
madeni ni katika sababu ya maendeleo kwani moja ya sababu ni kuwa...
Ukiangalia pamoja na teknolojia kuwa kubwa.
Hospitali kuwa nyingi
Madawa kuwa mengi
Ila watu wanakufa wakiwa na umri mdogo Sana.
Life expectancy Kama imeshuka.
Kwenye familia yangu hakuna MTU...
Ulimnofu.
Asalaam alykhum.
Bwana Yesu asifiwe.
Kule DRC poleni kwa kuwakosa ndg waliofariki maji ziwa Kivu.
Nisipoteze muda.
Adani Group inaonekana ni kampuni imeundwa maalum si kutoa huduma...
Nimeota tumeenda msibani. Kwenda kumzika mtu mara ya pili, yaani huyo marehemu alishafariki miaka mingi sana(10+) nyuma na alishazikwa.
Sababu za kufanya turudie tena kumzika sizijui na jinsi...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuendelea kutekeleza malengo yake ya msingi kwa kuwajengea watanzania wa kipato...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Usambazaji Maji wa Wizara ya Maji, Joyce Msiru (katikati) wakipokea ripoti ya Maji inayolenga kukabiliana na changamoto za usalama wa...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanzisha Mfumo wa e-Ardhi ili kuimarisha utawala bora na uwajibikaji na kuwezesha miamala Usajili wa Hati kufanyika kwa uwazi zaidi na kuongeza...
Haya mambo hayatokei hivihivi tu, kuna injinia wako nyuma yake wanasuka mipango yao waijuayo wao.
Sisi huku duniani tupotupo tu tunashangilia na ku take sides bila kufanya uchambuzi yakinifu wa...
Haina kujieleza sana familia, ni dharura na kwenye mfuko wa shati nina hiyo kumi na gwala tu, kwa heshima na tahadhima familia nawaombeni mnielekeze chimbo ambalo nitapata usafiri wa hela hiyo...