Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Fedha, Dr. Mwigulu Nchemba , tunaomba kujua huyu mtu ni nani hasa na je, BOT walimpa leseni ya kufanya hii biashara kihalali hapa nchini? Na kama ana leseni, basi Waziri Mwigulu hebu...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Hili sijui naliona mimi pekee ni shida, kwanini ofisi nyingi za Masijala za halmashauri hazina dawati maalum ndani ya ofisi kwa ajili ya kuhudumia wateja wao ambao wengi wao huwa ni watumishi ila...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Bwana yesu asifiwe wanaJF , Bila kupepesa macho nikiwa katika hatua za mwisho kabisa za kumaliza kikundi hichi kiovu. Swali langu nawaachia Mbona sisi wakristo tulioshika neno (Watakatifu)...
9 Reactions
67 Replies
2K Views
Leo mchana nilikuwa nimechoka na kazi ngumu nikasema acha nikajifidie hata masaa sita nikalale. Nikajikuta nimeishia saa moja japo kuwa usiku mzima nyuma yake sikulala kabisa
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wakuu wangu, mimi nina kero yangu kuhusu hawa Askari wa usalama barabarani traffic kuchukua rushwa (kifurushi) badala ya kukagua gari. Kwahiyo madereva wanashughulika na kuwa...
0 Reactions
3 Replies
507 Views
Kumekuwa na adhabu kali na kauli mbaya zinazotolewa na baadhi ya Walimu kwa watoto wetu pale ambapo mzazi hajatoa kiasi cha Tsh 2,000 kila wiki kwaajili ya masomo ya remidial na hatushirikishwi...
0 Reactions
0 Replies
437 Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bw.Plasduce Mbossa amesema kuwa mamlaka hiyo imejipanga kufanya upanuzi wa bandari zake, ili...
2 Reactions
2 Replies
465 Views
Maswali Kuhusu Uchawi na Majina ya Kimungu 1. Je, mtu mwenye jina la kimungu kama Yesu, Muhammad, Hosana, Michael, au Gabriel anaweza kuathiriwa na uchawi? 2. Je, majina haya yana kinga yoyote...
0 Reactions
11 Replies
829 Views
Anonymous
Natoa angalizo kuhusu kikokotoo kati 35% na 40% Kuna uwezekano mkubwa wastaafu wanaliwa vichwa: Mwajili (HR) anakupigia mahesabu ya kikokotoo cha 40%, kule PSSSF wanakupa staili ya 35% Huu mfuko...
1 Reactions
0 Replies
375 Views
Congo kuna shida sana ya usafiri wa Meli mto Kongo Watanzania kawekezeni usafiri wa meli mto Kongo mtapata pesa nyingi, Wasafiri wako wa kutosha Meli mgogoro Angalieni wanavyopata shida usafiri...
2 Reactions
7 Replies
583 Views
Utangulizi Kikao cha mwisho cha kupitisha wakandarasi, chini ya uongozi wa Eng. Menye David Manga, Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (Engineering Registration Board - ERB), kilifanyika...
1 Reactions
2 Replies
943 Views
Niko hapa mpaka wa kenya na Tanzania nasikiliza radio za kenya. Ki ukweli wako mbali sana katika uchambuzi wa masuaala mbalimbali ya siasa, uchumi na ya kijamii. Hakuna haja hata ya kujiunga na DW...
6 Reactions
21 Replies
907 Views
Mungu ni mwema nyote Mabibi na mabwana! Imesaidia wengi japo baada ya muda hurudi Tena nawewe unaweka Tena. Chakufanya. Nunua ugoro kulingana na ukubwa wa paa lako(nyumba) Nunua Grease oil...
11 Reactions
44 Replies
2K Views
Wanawake tangu kuolewa kwao mpaka kuzeeka huwa hawawapi waume zao nafasi za kuwa huru na kushukuriwa. Kwa bahati mbaya sana vijana wa kiume ndiyo wanaoongoza kwa kuwashutumu na kuwatendea vibaya...
3 Reactions
2 Replies
721 Views
Dunani huwezi kujua kila kitu, leo nimeshangaa kugundua kwamba mwanzilishi wa Kampuni ya Apple yaani Steve Jobs alikuwa Mwarabu wa Syria na baba yake alikuwa anaitwa Abdul Fattah Jandali ila...
15 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu! Naomba kuuliza SIDO Mwanza wanapatikana wapi?
2 Reactions
9 Replies
714 Views
Nimeshindwa na kutoelwewa kwa nini TANROADS wanajenga mifumo ya flyover ambayo inahitaji taa za kuongoza magari (traffic lights) kwenye barabara zilizo busy. Mfano ni flyover za Ubungo, Tazara na...
1 Reactions
1 Replies
422 Views
Habari wakuu Mimi nimfanya biashara wa duka la rejareja kwa muda mrefu ila ndani ya mwezii kinamatukio matatu yametokea yameniweka mdomo WAZI pesa za mauzo zinapotea zote kimazingira Tukio la...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
Waboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura Kigoma wanyimwa posho ya usafiribkiasi cha shilingi 90,000/= kwa kila mshiriki. Wadau walihoji kabla ya kuanza kwa zoezi la uandikishaji juu ya...
0 Reactions
8 Replies
786 Views
Kwa aliyekuwa anasikiliza maongezi yenu leo katika PB ni ukweli umewekwa wazi, kwamba watoto wanaosoma katika shule za "Private' ni asilimia 1 na point tu ya wanafunzi wote wa Tanzania. Twaweza...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…