Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Pamoja na changamoto mbalimbali tunazo kumbana nazo katika harakati za safari ya maisha, lakini ndiyo Raha ya safari. Maisha yangekuwa yamenyooka tu bila changamoto za hapa na pale, sidhani kama...
4 Reactions
11 Replies
955 Views
Mhadhara - 41: Una moyo mwepesi na mlaini kama karatasi la kufungia maandazi, lakini huachi tabia yako ya kumfuatilia mpenzi/mume/mke wako. Shauri yako, one day tutakuzika kwasababu ya kufumania...
0 Reactions
2 Replies
385 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewaeleza wananchi wa Segerea kuwa suala la vibaka lipo katika ngazi ya mitaa hivyo wahakikishe kupitia ulinzi shirikishi wanamaliza jambo hilo...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Kampuni hiyo ya Askari Metals kupitia kampuni yake tanzu ya tanzania ujulikanayo kama Infinum Uranium so far tunaweza kusema imekwisha pata "baraka" zote za uwekezaji kutoka serikali ya SSH. Kwa...
2 Reactions
4 Replies
825 Views
Huwa naona watu wengi wananasibisha ujamaa na undugu, upendo pamoja na raia kujaliana huku wakinasibisha ubepari na kutokojaliana na ukatili. Haya yanaweza kuwa mawazo potofu sana ukifuatilia...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Wazazi achaneni na mawazo ya kuwasomesha watoto ili kwamba wakishakua na kuanza kazi waanze kuwagharamia kwa mishahara yao! Kulea watoto ni jukumu la mzazi yeyote alieamua kuanzisha familia na si...
1 Reactions
1 Replies
196 Views
Wasalaam. Ni mwezi Sasa umepita tangu nilipoleta uzi hapa jukwaani unaosema Banc ABC wamekataa kulipwa, msaada wenu unahitajika. Nilipewa ushauri mzuri Sana na Wana JF home of great great...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa...
53 Reactions
291 Replies
11K Views
Wazazi wengi wa sasa ni wale waliosomesha watoto kishidashida mpaka wakafika walipofika. kwasasa watoto ndio wanawasaidia huko kijijini waliko au wengine wanaishi nao kabisa. kutokana na sababu...
7 Reactions
13 Replies
793 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kuweka mazingira...
0 Reactions
4 Replies
658 Views
Assume dunia nzima au watanzania wote tupo kwenye msiba wako tunakwenda kukuzika sasa kwa ufupi tu ungepewa nafasi uandike mambo ya mwisho siku za mwisho za uhai wako ungesema hoja gani wosia wa...
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Taarifa unazoweka mitandaoni haziwezi kusahaulika, hata kama umeamua kuzifuta. Hivyo, ni muhimu kuwa makini na jinsi unavyotumia mitandao ya kijamii. Kumbuka kuwa taarifa unazochapisha zinaweza...
1 Reactions
2 Replies
765 Views
Maswali Kuhusu Uchawi na Majina ya Kimungu 1. Je, mtu mwenye jina la kimungu kama Yesu, Muhammad, Hosana, Michael, au Gabriel anaweza kuathiriwa na uchawi? 2. Je, majina haya yana kinga yoyote...
1 Reactions
14 Replies
949 Views
Natembea sehemu nyingine duniani watu wana uweupe mwingi kwenye hilo eneo, ukija bongo yaani watu ni kama vile wamekula ndumu Embu wenye ujuzi watuelezee, ni jua kali, ugumu wa maisha, msongo wa...
7 Reactions
45 Replies
1K Views
Kampuni za wakopeshaji pesa zilizozagaa mtaani kwa lugha ya pesa chap chap! Baadhi zinafanya vizuri na baadhi zinafanya vibaya! Ifahamike mtandao wa biashara unapoajiri vijana wengi huhitaji...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Kumekuwa na Taarifa na Imani mbalimbali kuhusu Mnyama Kakakuona katika Jamii mbalimbali. Je, wewe umewahi kusikia Taarifa gani kuhusu Mnyama huyu?
0 Reactions
2 Replies
435 Views
Mwameja Mohamed Mwameja ni moja kati ya makipa bora kabisa kuwahi kutokea kwenye historia ya soka la Tanzania. Akifanya mahojiano na BIN Zubeir @ Azam Tv, aliulizwa swali nini siri ya ubora wa...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Maji kuendelea na kasi ya usambazaji maji kutoka Ziwa Victoria ili kutatua adha ya ukosefu maji...
0 Reactions
1 Replies
354 Views
Wakuu kwema, Nilikuja na uzi hapa baada ya kukosa maji karibu siku 5 bila taarifa yoyote, baada ya malalamiko kupelekwa Insta maji yakaanza kutoka, lakini toka yaanze kutoka presha ni ile ile...
0 Reactions
10 Replies
628 Views
Serikali kupitia mamlakaya mawasiliano nchini TCRA inahimiza wabunifu kubuni huduma mbalimbali za kiteknolojia ili kuchochea kasi ya maendeleo na kuboresha huduma ili kurahisisha maisha Lakini...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…