Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ninauliza tu hio batch 4 inatoka lini? Maana ipo hivi : 284.8 - 223.3 = 61.5 Kwa hio hao 17,010 na zaidi ndio wapo hapo, sasa hio batch 4 inatoka lini? Account zinasomeka : Your verification...
1 Reactions
7 Replies
501 Views
Kwa muda mrefu wamekuwepo watu wanaoamini uongozi unahitaji nguvu za misuli na kutokana na misuli ya mwanamke kuwa dhaifu kuliko ya mwanamume sio busara kukabidhi uongozi kwa mwanamke. Watu hawa...
1 Reactions
12 Replies
942 Views
Kila siku kunatolewa taarifa za udhalilishaji baada ya kupungua ndio unaongezaka Hukumu zinaongezwa lakini bado binaadamu hawashituki na hukumu hizo Wadau wanaweka makongamano kujadili hili ili...
1 Reactions
1 Replies
315 Views
Naombeni mnisaidie nipate kazi ndugu zangu labda humu jukwaani nitapata msaada Nimehitimu mwaka 2022 Degree ya maendeleo ya jamii Nina diploma pia ya maendeleo ya jamii. Nina certificate pia ya...
33 Reactions
297 Replies
21K Views
Hilo ni swali kwa jinsia zote yaani Me na Ke , Uhalisia ulivo kwanza kwenye mahusiano asikudanganye mtu kua uko peke yako , mwanamke au mwanamme akikueleza uko peke yako huo unakua uongo wa wazi...
3 Reactions
12 Replies
598 Views
Mhadhara - 47: Inakera!! Siku hizi hakuna raha ya kutumia smartphone, ukifungua APP yoyote kwenye simu (kabla hukuendelea na mambo mengine) unaletewa matangazo ya biashara, na matangazo mengi ni...
2 Reactions
12 Replies
818 Views
naona anakoenda siko kabisa nami kama mtu mzima niliyeweza kujionea uhalisia wa muziki ni wasanii wachache sana wanaoweza kupenya na wengi hawafiki kokote na hata kuharibu maisha ya baadhi ya...
6 Reactions
18 Replies
882 Views
Ujomile? Nimeona hizi taarifa mbili tofauti nikapata swali moja, je na hawa walioandikishwa na daftari kupotea wamo?. 👇🏾👇🏾
1 Reactions
15 Replies
19K Views
1.)Toyota Brevis - ai Series / Mark X Madereva wa magari haya hujisikia very powerful and classic wawapo barabarani, hii inatokana na gari hizi kufungiwa engine kubwa mithili ya fuso ndogo na...
55 Reactions
271 Replies
66K Views
Ndugu zangu Watanzania napenda kuwaeleza kuwa matatizo ya Tanzania yanasababishwa na ukosefu wa elimu (ujinga) na sio umasikini. Utajiri unapatikana hata kwa kuuza mboga endapo nidhamu ya pesa...
1 Reactions
3 Replies
455 Views
Kuna ujumbe wa picha ya Raisi Samia na chini kukiwa na hayo maneno unasambaa kwenye ma-group ya WhatsApp ukionyesha kuwa Raisi Samia ametoa hiyo kauli. Je, ni kweli Raisi Samia katoa hiyo kauli...
2 Reactions
13 Replies
946 Views
Wakuu Habari. Nimebahatika kuishi na kufanya kaz Kanda ya ziwa kwa muda mrefu kidogo. Ipo hivi, Kanda ya ziwa ni eneo lenye watu wakarimu sana.... tatizo ni moja, wengi sio waeelewa kwenye...
35 Reactions
98 Replies
11K Views
Tuchekeche vichwa kidogo Muuza nguo anapewa nguo za kuuza kwa makubaliano ya kurejesha pesa ya nguo atazoweza kuuza, kapata mtaji wa kuanza kununua nguo zake, hivyo kuna baadhi ya nguo anaendelea...
0 Reactions
5 Replies
605 Views
unakuta shule nzuri inajengwa inaelekea kukamilika katika halmshauri fulani lakini miti haijapandwa inasubiri mpaka ajage mwalimu mpenda miti au mwanafunzi mpenda bustani aaanzishe miche so...
1 Reactions
3 Replies
301 Views
Nimepata kukutana na hii picha kutoka mtandao wa X kutoka kwenye ukurasa rasmi ya TAMISEMI kiukweli nimepata hasira na kuona watanzania sijui huwa tunafikiria nini? Ukweli tunauficha kwenye uvungu...
2 Reactions
10 Replies
482 Views
Don't get me wrong hukufanya kosa kujenga maana kwa wengi wetu hela ya kujenga huwa tunaidunduliza kidogo kidogo ba kupandisha jengo hadi limeisha.. Lakini kosa ni kwa sasa ambapo mjengo wako...
4 Reactions
12 Replies
600 Views
Ukiwa unatokea riverside kuna daraja kubwa la mto chini ya mto utakuta kuna kundi kubwa la kina mama wanafua kupitia bomba kubwa la dawasco lililopasuka. Kupasuka bomba sio ajabu ila...
1 Reactions
9 Replies
596 Views
Tukiachilia mbali ulaji wa ugali jambo lingine ambalo lina mchango mkubwa kwenye ujinga na umaskini wetu ni kujengewa hofu kuanzia utotoni. Wengi wetu tumejaa hofu hatuna uhuru kabisa wa matumizi...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Anonymous
Kila mvua kubwa inaponyesha kumekuwa na changamoto ya kufurika kwa vyoo lakini pia chemba kuzbuka na kumwaga maji machafu sokoni. Hii inatokana na chemba kuelekezwa mto mirongo. Hivyo mto ikiwa...
1 Reactions
1 Replies
300 Views
Siku ya leo Oktoba 23 2024 Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) umeomba radhi kwa watumiaji wa kivuko cha MV Kilindoni kinachotoa huduma kati ya Mafia na Nyamisati kutokana na hitilafu...
0 Reactions
7 Replies
718 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…