Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amesema anawafuatilia Kwa karibu sana Prof Kabudi na Prof Kitila na anajisikia Fahari Kwa ajili ya Wawili hao Askofu Dr Malasusa amesema Hawa ndio Maprofesa...
1 Reactions
9 Replies
669 Views
Sometime Kuna mambo mabaya Twayafanya kwenye Familia, jamii au watu watuzungukao kwa sababu hatuna jambo la kufanya kwenye jamii. Jitahidi uwe na kitu unakifanya kuwa busy. Hasa kuongeza...
1 Reactions
5 Replies
336 Views
Niende moja kwa moja kwenye kero yangu, kuna kiwanda cha kuyeyusha chupa za plastiki kipo opposite na Mto Msimbazi (njia panda ya kwenda Kigogo) kile kiwanda hakina mabomba ya kusafirishia moshi...
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Kimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk Lakini si huu usela wa hawa vijana wa arusha. Asee watoto wanaozaliwa miaka...
2 Reactions
4 Replies
439 Views
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum Dkt. Gwajima D ametangaza kumchukulia hatua za kisheria Masha Love na wanaochochea kuharibu maadili Waziri ameandika...
6 Reactions
165 Replies
7K Views
Nimeingia siku ya tatu iko ivi tu day1 nimeenda stationary wakanambia mfumo unasumbq
0 Reactions
1 Replies
325 Views
Wauzaji feki wa sabuni za kuoshea choo: Unakuta wame print kabisa na tshirt ya jina ya biashara yao. Wana target wale wanaonunua jumla. Ukifungua sabuni unakuta mimaji milaini mitupu...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Nimekumbuka mwaka 2018 jinsi magufuli alivyokuwa anapingwa kujenga bwawa la umeme. Ila wazungu hao hao wa marekani na canada wao wanajenga mabwawa mapya na kuboresha mabwawa ya zamani kwenye nchi...
1 Reactions
10 Replies
765 Views
Kwanini Wafungwa Wanapewa Chakula, Maji na Malazi, lakini Watoto wa Mtaani, ombaomba, na wenye Ulemavu mabarabarani, hawawezi kufanyiwa utaratibu wa kuwahudumia kama wanavyohidumiwa Wafungwa. Na...
0 Reactions
8 Replies
496 Views
Taarifa za Uzushi zina athari za moja kwa moja kwenye Siasa za Taifa. Je, athari gani unazozijua? Pia soma:Swali la Wiki: Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda mrefu?
3 Reactions
5 Replies
559 Views
Sijui kama ilishawahi kujadiliwa humu lakini nimekuwa najiuliza sana na kukosa majibu, kwanini mfumo wa masaa wa Afrika Mashariki upo tofauti na sehemu zingine duniani? Sehemu zote siku inaanza...
3 Reactions
70 Replies
3K Views
Waungwana Hamjambo? Website ya Jeshi letu pendwa la Polisi imependeza. Kama mtembeleaji na Mdau wa Jeshi letu Leo nimetembelea nimeona mabadiliko. Kwanza Heko Kwa graphic designer Kwa rangi na...
1 Reactions
9 Replies
569 Views
Kuna vitu wanavyo wasomi, halafu wao wanakwenda kuwapa wasanii ama watu maarufu ambao si wasomi, mwisho wa siku wanakuja kupiga pesa. Tatizo la wasanii wa Kibongo? Wanaajiri wasomi lakini hawa...
1 Reactions
0 Replies
311 Views
Mhadhara (54)✍️ Bila shaka ni kweli, kwasababu sina hakika kama kuna tajiri aliyetamka kuwa utajiri wake umetokana na kurithi/biashara ya magendo/ufisadi/madawa ya kulevya/ujangili/dhuruma/ au...
1 Reactions
0 Replies
248 Views
Halloween ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa Oktoba 31. Asili yake inarejea kwenye sherehe za zamani za Ki-Celtic, hasa sherehe zilizojulikana kama Samhain, ambapo Wacelt (ambao walikuwa ni...
1 Reactions
9 Replies
946 Views
Msaada kwa wale wazoefu wa kusimamia hizi kitu of course zipo sensitive sana, umakini unatakiwa, naona masharti makali sana, vitu vya msingi kuzingatia ili niwe salama. Of course ni mara yangu...
0 Reactions
0 Replies
351 Views
Joshua aliomba Mungu asimamishe jua, ingawa hakuwa na uelewa wa kisayansi kwamba ni dunia inayozunguka, siyo jua. Lakini pamoja na ufinyu wa uelewa wake, Mungu alijibu ombi lake, na usiku...
0 Reactions
1 Replies
306 Views
Nikiri Vodacom umekuwa mtandao Bora kabisa wa simu Ila kwa Sasa umekuwa na Changamoto Kwanza internet yao imekuwa slow sana unaunga bando muda unaweza kuisha hajamaliza , Baada ya waziri yule...
1 Reactions
2 Replies
310 Views
Hii nchi ya Lebanon kila siku naisikia iko vitani na Waisraeli au migogoro ya siasa za ndani kwa ndani kati yao wenyewe ila nimeshangaa masoko yao yana tiles! Sisi tunashindwaje kuweka hata zege...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Mhadhara (53)✍️ Binadamu anapaswa kuwa na huruma kwa binadamu mwenzake, lakini ahakikishe huruma yake ina kiasi. Usiwe na huruma kupita kiasi kwani unaweza kuwakaribisha na kuwalea adui hatarishi...
1 Reactions
1 Replies
309 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…