Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Siku hizi, freelancing imekuwa kama ndoto mpya kwa vijana wengi wa Kitanzania. Kila mtu anazungumzia uhuru wa kufanya kazi mtandaoni, hela isiyo na stress ya kusimamiwa na mabosi wa ofisini, na...
0 Reactions
2 Replies
566 Views
Ni Yule tajiri wa mabasi ya Zakaria yanayotoka Mwanza hadi Silari mpakani mwa Kenya, na kada mkubwa wa chama cha mapinduzi (ccm). Wiki tatu zilizopita nilinunua mzigo wa viatu kutoka Kenya na...
59 Reactions
594 Replies
94K Views
Ndugu zangu ninampango wa kwenda kufanya kazi Fulani huko na ninatamani nielewe mazingira Kwa mwenyeji vip maisha ya huko , watu wake ? Gharama za maisha zikoje
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Ziko sababu nyingi zilizochangia kudorora kwa sekta ya uandishi habari mmoja wapo aliyechangia ni Ruge mutahaba aliyekua mkurugenzi wa vipindi wa clouds Mwanzo mwa miaka ya 2000's wakati clouds...
30 Reactions
106 Replies
5K Views
Zaidi ya wiki sasa Maji katika Mtaa wa Sabasaba Gula Road karibu na Uwanja wa Ndege yamekuwa yakimwagika kama hayana mwenyewe. SUWASA wamejulishwa ila hadi leo hawajafika na kuna maeneo mtaa...
0 Reactions
0 Replies
503 Views
(FULL VIDEO IPO CHINI) Leo tarehe 5 Oktoba 2024, mawakili wote wa Tanzania bara, hasa wa jijini Dar es Salaam, wanakutana katika jengo la Ubungo Plaza, Dar es Salaam, ili kujadili suala la...
12 Reactions
83 Replies
12K Views
Mwalimu huyu wa Shule ya Msingi Mungu Maji aangalizwe, ananyanyasa Wanafunzi Shule ya Msingi Mungu Maji iliyopo Tarafa ya Mungu Maji, Kata Unyamikumbi, Wilaya ya Singida Mjini, kuna changamoto...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari zenu Wana jukwaa, Kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kua msiri. Baadae ya kuwa mtu mzima kKuna namna ninawaona ndugu na watu wa karibu kama watu wenye choyo na...
14 Reactions
90 Replies
4K Views
Wakuu tushauriane hapa. Kama Mwanaume , Taja Kosa moja ambalo Umefanya Katika Maisha ili Mvulana Asirudie. Kama mwanamke , Taja Kosa moja ambalo Umefanya Katika Maisha ili Msichana Asirudie.
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Wakuu, Nimeona nitoe hii habari humu ili mtu asije kukata tamaa kwa maneno ya mtaani. Nilizidisha kama laki nne hivi kwenye kulipa deni la bodi ya mkopo. (HESLB) Sasa ilipofika nataka kufatilia...
2 Reactions
3 Replies
514 Views
Kwakuwa mamlaka husika zimeshindwa, basi nataka vijana wapigania maendeleo tuziondoe hizi app za kitapeli. Niliwapigia Simu TCRA wakasema hawahusiki niende polisi. Njia za kuziondoa hizi app ni...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimeskia redioni TCRA wanasema hawahusiki na hiki kinachoendelea kwenye mikopo mitandaoni. TCRA mnaweza kuwa hamuhusiki kweli ila na nyie pia mmezembea sana kama wenzenu BOT licha ya makelele...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Ualimu ni taaluma inayotaka nidhamu na maadili ya hali ya juu. Hilo ni kwa kuwa ndio taaluma inayohusiana moja kwa moja na malezi ya watoto. Hata hivyo, uzoefu unaonyesha kada hiyo imekuwa...
6 Reactions
4 Replies
689 Views
Ndugu zangu kama una rafiki au ndugu maeneo ya Itumbi Wilayani Chunya hapa kwetu Mbeya jaribu kumjulia hali mara kwa mara sababu mji umevamiwa na Kipindupindu. Taarifa zilizopo japokuwa Mamlaka...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
H
0 Reactions
0 Replies
335 Views
Chorus Jumuiya Yetu sote tuilinde Tuwajibike tuimarike Umoja wetu ni nguzo yetu Idumu Jumuiya yetu. 1st stanza Ee Mungu twaomba ulinde Jumuiya Afrika Mashariki Tuwezeshe kuishi kwa amani Tutimize...
2 Reactions
4 Replies
420 Views
Je, akikutana Afisa wa JWTZ mwenye nyota tatu (3) na Afisa wa polisi mwenye nyota tatu (3), nani atatakiwa kumpigia mwenzake Saluti na kwa vigezo vipi?
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Kuna mdau humu ameposti juu ya changamoto zinazowakumba waandishi wa Azam Mikoani eti wameshushiwa ujira kutokea tshs 500,000 mpaka 300,000 kwanza nikagutuka kwamba wanalalamika kwa kulipwa...
15 Reactions
77 Replies
4K Views
Punda wa Tanzania bado hajampata mtetezi. Ukikutana na punda wa Kanda ya Ziwa, ni kawaida kuona michubuko migongoni na shingoni. Michubuko hiyo imetokana na ama vipigo, au kubebeshwa mizigo mizito...
1 Reactions
4 Replies
643 Views
Hili jambo nalifahamu sana , kwenye maisha kuwa na akiba ni muhimu Sana kwani akiba ndiyo itakusaidia wakati wa shida na ndiyo itakayokubeba wakati wa shida. Kwa sisi wakristo Biblia inatwambia...
1 Reactions
0 Replies
366 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…