Yani nisawa na kusema Rais wa Marekani aje mara 3 au 4 Tanzania kwa ziara ya kikazi lakini akute rais wetu yuko busy mara zote hizo na ashindwe kuonana licha ya jitihada za balozi.
Inauma sana...
Zaidi ya abiria 20 wameshushwa na kisha kurudishiwa nauli zao kutoka kwenye mabasi mawili tofauti yanayofanya safari ya masafa marefu kupitia mkoani Mbeya baada ya mabasi hayo kukaguliwa na...
Haijalishi ni muda gani Ila Unapokuwa free na mpenzi/mwandani wako asikae kinyonge wakati wa baridi
mtie mguu wa mtoto mpe mkwasa🤣wa mashavu ya chini.
Faida za tendo wakati wa mvua...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis, amepewa gari jipya la kisasa aina ya Mercedes Benz linalotumia umeme pekee likiwa ni gari la kwanza la aina yake kutengenezwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo 5 Desemba, 2024 imeshiriki zoezi la kuanza kupanda mlima Kilimanjaro ambapo zoezi hilo linalenga kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika lenye kaulimbiu ya...
Mtanzania Diana Laizer ametunukiwa udaktari wa heshima na Chuo cha Oxford Club Awards huko London nchini Uingereza kutokana na mchango wake kwenye jamii kupitia tuzo za Chaguo la Mtumiaji Afrika...
Kigezo cha kusema kwamba sehemu ina maisha nafuu kwasababu vitu vyake ni gharama nafuu ni dhaifu with a few exceptions.
Kila mkoa / nchi ina system yake kwenye matumizi na kipato, ni jambo la...
Abdul Nondo akutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT-Wazalendo Taifa Ndg. Abdul Nondo jana tarehe 03 Disemba 2024, alifanyiwa upasuaji mdogo kwenye unyayo...
Jioni hii kumetokea ajali ya gari ya polisi aina ya defender Mbeya iliokuwa ikipeleka askari wa FFU lindoni
wamefariki 2 na majeruhi 9,
========
UPDATES:
Ajali ya gari kuacha njia kupinduka...
Jeshi la Polisi limeingia katika kashfa nzito baada ya mkuu wake, Inspekta Jenerali Said Mwema, kuibiwa upanga wa dhahabu ambao ni mali ya Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi wa nchi za...
Baada ya kauli mzee kuonya kile chombo kikubwa kilichobaki kisijiingize kwenye mambo ya kisiasa baada ya wadogo zao kuonekana wanatumika kisiasa japo wengi wao hawapendi bali ni kuagizwa tu...
Sisi wakatoliki kuungama ni amri ya Kanisa, tena inakujitaji kuungama dhambi zako zote walao mara moja kwa Mwaka...(Unless kuna updated version)
Sasa tukiwa vijana wadogo secondary huko kuna...
Habari yote iko kwenye Kitabu cha Waamuzi Sura ya 16
Unaweza kujisomea na kuchota Maarifa ya kutosha ila muhimu ni Kwamba Samson Kipofu ndio aliuwa maadui zake wengi kuliko alivyokuwa na macho...
Wakuu tulioambiwa wana magamba miguuni tulipigwa...Ngoja niwamegee ILIM 'SHEKH'. Ukizunguka mtaani utaona ndege wa aina tofauti wanatua kwenye nyaya za umeme wenye VOLTAGE kama 230V, 11Kv, 33Kv na...
Maandiko katika vitabu vya dini yamebainisha wazi kuwa mwanamke ameumbwa ili aje kuwa msaidizi wa Mwanaume.
Msaidizi maana yake ni kufanya kazi sambamba na Bosi. Popote alipo Bosi msaidizi naye...
Na Zurima Ramadhan, Zanzibar.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Riziki Pembe Juma amesema kuandaliwa kwa mpango mkakati pamoja na muongozo wa ulinzi katika michezo utasaidia...
Habari Wanajamvi, familia yangu.
Tukirudi nyuma kidogo. Yesu alipofariki, Petro alichukua nafasi ya kuliongoza kanisa, yaani Baba wa kanisa.
Yesu aliliacha kanisa Katoliki kwenye utaratibu...
Matukio ya utekaji na mauaji yamekithiri
Hakuna mtanzania aliye salama kwa sasa na wala hakuna wakutulinda maana wenye dhamana wamedhihirika hakuna wakututetea
Ninawiwa kuanzisha kampeni ya...