Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kampuni ya branch ilikuwa miongoni mwa microfinance sumbufu cha ajabu imeachwa ina dunda. Kuna jirani angu anateswa na sms za vitiasho haki ya kuwa ameahidi kumaliza deni
0 Reactions
7 Replies
488 Views
Baada ya kutoa taarifa Desemba 12, 2024 ya kukamatwa kwa watuhumiwa wawili wenye asili ya Asia katika operesheni iliyofanyika katika Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Kipolisi Rufiji wakiwa na nyaya za...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Wiki iliyopita baada ya shule na vyuo vingi kufungwa nilikosa kabisa usafiri wa kunitoa Dodoma kwenda Arusha kwani mabasi yale yenye majina makubwa yote yalikuwa yamejaa. Jioni kabisa nikakumbuka...
0 Reactions
0 Replies
398 Views
Kuna watu duniani utajiri watausikia Kwa wengine tu huwa nashindwa kuelewa akili zao unakuta mtu ananunua pikipiki 3.5M halafu anampa mjinga mmoja mnyoa kiduku amletee elfu 10 Kwa siku ambayo...
11 Reactions
52 Replies
3K Views
Mchango wa Tanzania kwa mambo mbali mbali ya kimaendeleo kijamii ni mkubwa sana Afrika Na Tanzania ni nchi ambayo inawezekana inaongoza kuwapokea raia wa nchi nyingine za Afrika bila ya...
3 Reactions
11 Replies
738 Views
Aliyewahi kupata hii message, tafadhali aniambie kama kuna ukweli ya kuwa ukikodisha kwa kutoa username na password ya account yako ya linked ambayo ina muda kuanzia nusu mwaka yani miezi 6...
0 Reactions
4 Replies
623 Views
Katika makala ya leo, Ni vyema tukaeleweshana kwa kina faida na athari za kuwa kwenye magroup ya Whatsapp ya ukoo. Najua wengi tumezoea kujiunga na magroup ya shule, kazini na biashara ambapo...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Yoda Infropreneur Kwanza Infropreneur unapokuwa unafanya debate au open dialogue usipende kuweka hisia mbele, weka intuition mbele, maana una bwaja bwaja sana. Ni kweli seeing is believing...
5 Reactions
12 Replies
604 Views
1. Wamarekani asilimia 63 ni wakristo. 2. China asilimia kubwa ni Buddhists na Taoism. 3. Japan asilimia 70 ni Shintoism. 4. Israel asilimia 70 na raidi ni Jewish. 5. Saudia asilimia 90 na zaidi...
1 Reactions
1 Replies
338 Views
Toka nakuwa na ufahamu nimeona wazazi wangu wakipambana sana, lakini bahati haijawa upande wetu, mama kavunja sana kokoto, baba nae kapambana sana lakini wapi. Wazazi wangu wamenisomesha kwa...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Waziri wa Ujenzi na mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega ameaungana na wananchi wa wilaya hiyo, kufanya dua maalumu ya kumuombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika utekelezaji wa majukumu yake...
0 Reactions
0 Replies
320 Views
TANZIA na usajili wapi kwa wapi?
0 Reactions
2 Replies
219 Views
Silaha za kushinda nguvu za giza, hasa katika muktadha wa kiroho au kidini, zinaweza kujumuisha: 1. Maombi: Kuomba msaada wa Mungu au nguvu za juu ili kushinda maovu. 2. Imani: Kuwa na imani...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu apa naomba kuelimishwa kwa hili la trafiki kusimamisha gari za mizigo na pikipiki (toyo) za mizigo maana nimeliona sana uko barabarani, yani trafiki akiona gari za mizigo au toyo za mizigo...
1 Reactions
1 Replies
351 Views
Ni binti mzuri wa kikinga, mwenye elimu yake Chuo diploma certificate, mzuri wa umbo, amekulia katika malezi mazuri ya wazazi wote wawili Lakini mahari waliohitaji ilikua ni 3M, mimi mwenye...
14 Reactions
57 Replies
3K Views
Betting ni kitu kitu addiction ya ajabu sana. Kila siku tunachezea kichapo lakini Bado hatukomi. Sasa Kuna Ile time, umeshachambua Games lkn Hali Iko pale pale, unaanza kwenda prediction zako😁...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Dini zote ni utapeli tu, ukristu uliletwa na wakristu kutoka Ulaya na wale wakujiita wamisionari, the same to Muslim under Arabs. Ukristu ni utamaduni wa kigeni kutoka Ulaya, na Islam ni...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Nilipotaka kuthibitisha taarifa kuhusu leseni za kuchimba madini ya lithium nchini niligundua ramani ya "Mining Cadastre" haipatikani tena. (http://portal.madini.go.tz/map/) Wizara ya Madini...
0 Reactions
1 Replies
559 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…