Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau hamjamboni nyote? Wenye elimu zenu mkiongozwa na ndugu mshana na bujibuji nipeni ushauri Niwatakie siku njema
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Hii imetokea kama dakika 50 zilizopita ambapo dereva bodaboda hadi muda huu kashakufa baada ya kukanyagwa na lori na bado yupo hapa barabarani watu wanamshangaa tu kama wapo kwenye maonesho hakuna...
14 Reactions
50 Replies
2K Views
Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali ya Mzayuni huko Kwa ndugu zetu katika Imani, Lebanon kwa maandamano ya Amani. Tarehe: Ijumaa, 06 Disemba, 2024 baada ya Salat Al jummah...
8 Reactions
87 Replies
3K Views
Wengi wao ni madhulumati makubwa na wanyonyaji kwa kiwango kisichomithilika na kuelezeka! Bila kuwa 'mafia' utajiri usahau abadani. NB: Asante boss Med ila umenifunza nisiwe bwege tena kwa...
4 Reactions
11 Replies
727 Views
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameitaka serikali kutoa nafasi zaidi kwa vyombo vya habari kama sehemu ya kichocheo muhimu cha kuhakikisha malengo na mipango ya...
0 Reactions
0 Replies
228 Views
AMANI IWE JUU YENU __tuendeleeni tu kupambana
2 Reactions
0 Replies
283 Views
Katika Historia ya miaka 250 ya US sijawahi kusikia raia wa Marekani amefungwa, ameuwawa, amewekwa kizuizini au amepotezwa kwa sababu amempinga au amemkosoa Rais wa nchi hiyo.
3 Reactions
4 Replies
243 Views
Habari wakuu, Baada ya miaka kadhaa tangia nimehitimu shahada yangu ya kwanza ya maswala ya uchumi na fedha nilikua naomba anayefahamu sehemu yoyote Kwa hapa Dar ambapo naweza kwenda kusomea...
3 Reactions
9 Replies
862 Views
Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameonya vikali wakandarasi wazembe wanaochelewesha miradi ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), akisisitiza kuwa Serikali...
1 Reactions
0 Replies
246 Views
TAMISEMI ondoeni shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR. Malalamiko ya shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR sio mageni. Ni kama viongozi wa mikoa hii ya morogoro na wenzao wa Dodoma...
0 Reactions
6 Replies
482 Views
Anonymous
VItuo vya kukatia tiketi za basi ni changamoto sana kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka. Baadhi ya makampuni yamefungia mifumo ya kukata tiketi online pia makampuni mengine yamejikatia...
3 Reactions
3 Replies
566 Views
Mimi ni miongoni mwa watu wanaozichukia sana hizi huduma za watu binafsi za kidini. Kama kweli wana hizo nguvu za kuleta utajiri, kuondoa magonjwa n.k basi wote wakusanywe uwanja taifa waombee...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa, hususan harusi, inavyozidi kushika kasi hapa nchini. Kinachoshangaza zaidi ni kwamba ule wigo wa kuomba...
4 Reactions
2 Replies
647 Views
Nataka kufahamu km kuna usalama wa akaunti baada ya kununua BIDHAA kwa kutumia MASTER CARD za bank km NMB, CRDB nk kwenye mitandao km ALIEXPRESS, ALIBABA nk.
1 Reactions
49 Replies
3K Views
Lep asbh ktk mitaa ya jeshini kuelekea Ihumwa nimekiokota kitambulisho Cha mtu anaitwa Martin Orden Mwitula
8 Reactions
89 Replies
5K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa amezitaka Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) na Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (Udart)...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Sitoelezea Sana kuhusu swala la msalaba siku ya Leo . Ila Msalaba huwa unabeba nguvu ya kufatwa . Hivyo haijalishi ni muislamu au Christian KIROHO unashauriwa kuvaa msalaba. Ili kuvuta watu...
12 Reactions
44 Replies
2K Views
Hivi ndivyo hali ilivyo mitaa ya Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani, sehemu ya kutupia taka imegeuka kuwa taka pia. Kicha ya kuwa kuna chombo maalum cha kuweka taka lakini hakitumiki inavyotakiwa na...
0 Reactions
2 Replies
716 Views
Hali ilivyo Kibaha Maili Moja karibu na Kituo cha Maliasili ambapo taka zimeondolewa, pia chombo kinachotumika kuhifadhi taka kikiwa hakijajaa kama ilivyokuwa awali. Ikumbuke, Mdau wa...
0 Reactions
0 Replies
458 Views
Habari za muda huu wakuu, Mimi ni kijana kama vijana wengine wapambanaji,ila changamoto nayopata kuhusu uhifadhi wa pesa ni kubwa mno. Nimefungua akaunti benki kadhaa ila nikipata shida kidogo...
2 Reactions
3 Replies
746 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…