Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watumishi wamehamishwa kutoka kituo A cha kazi kwenda vituo vingine bila malipo, ingawa agizo la uhamisho lilitolewa na kamati maalumu ya ukaguzi. Mkuu wa idara, akionyesha nia njema, aliwaita...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Tanzania kuna uhaba wa WATU wenye potential haitokaa itokee hii nchi isonge mbele. Angalia majina yanayotawala katika siasa ni yale yale iwe upinzani au sisiemu.
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Salaam. Kumekuwa na vyama vingi vya kutetea au kusemea makundi mbalimbali ya watu ila watu wenye akili nyingi AKA ma genius hawana kundi au chama cha kuwasemea na kuwatetea. Watu wenye akili sana...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA Tanzania ) hivi karibuni ilitangaza agizo la wamiliki wa magari kubadilisha kadi zao za usajili wa magari ndani ya muda mfupi uliowekwa. Ingawa hatua hii ni muhimu...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Kinachowafanya wahaya na wachaga kufanikiwa katika Elimu , Biashara n.k Ni Kwa sababu wanakumbuka Nyumbani na kutunza ile Asili yao. Wahaya ukifia hata Marekani huwa wanahakikisha unaletwa...
15 Reactions
65 Replies
2K Views
Crala Wilfred Kimath (21)yupo chini ya uangalizi wa madaktari wa mifupa kwenye Hospital ya Rufaa ya kiKanda ya KCMC baada ya kujeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili katika tukio linaloacha...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
SALUTE.pole Wana jangwani Kwa kupoteza game ya Jana leo nimekuja na swali huenda likawa ni la kipuuzi Kwa baadhi ya watu ila ningependa kujua binafsi Huwa napenda kufuatiria au...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Jambo la msingi ni kutengeneza content yenye quality ya level za kimataifa mtiririko unakuwa kuangazia production process ya hicho kinywaji from scratch mfano pombe kama ulanzi unaangazia jinsi...
1 Reactions
1 Replies
287 Views
Anasema ndio maana kitabu kinachohusu watu kwenda mbinguni (ufunuo) kimewekwa mwisho kwa maana sio kipaumbele cha Mungu. Kipaumbele cha mcha Mungu ni Hela au Pesa. Anasema hata ukimuita popote...
8 Reactions
49 Replies
2K Views
Kwa nini matajiri wengi wa kihindi iwe kiasili au kitaifa wanatokea Gujarat ? Mfano Familia ya Dewji Ambani Adani Tata Patel Na wengine wengi wengi Hii Gujarat ina siri gani ?
2 Reactions
14 Replies
542 Views
Watafiti tusaidieni hi miaka mitatu ya baby prep 1 prep 2 inao tumika na shule nyingi za mjini hususani private zenye gharama kubwa mpaka 1m kwa mtoto kuanzia 3- 6yrs kuanzia miaka ya 90s imeleta...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Habari za leo, kuna jambo linanitatiza sana. Kuna shule ya Msingi huko Mkoani Ruvuma wilaya ya Mbinga wanachangisha michango ya ujenzi wa jengo la shule kwa kaya moja (1)inatakiwa watoe kiasi cha...
0 Reactions
0 Replies
189 Views
Hili limeshanitokea mara kadhaa matokeo yake naishia kutupa vocha na kuweka nyingine. Siku hizi huwa sinunui sana vocha za kukwangua nanunua tu bando kwa mtandao. Leo nimekuta vocha ambazo...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Baadhi ya Watu waliotoa ripoti za kuibiwa simu katika vituo vya Polisi Stakishari Ukonga Jijini Dar es Salaam na katika Kituo cha Kilwa Roads Police wanasema kila wanapofuatilia simu zao...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
wakuu heshima kwenu. Naomba kufahamishwa kama kuna branch yoyote ya crdb bank ambayo ina operate jumapili kwa huduma za kawaida kama ilivyo siku zingine hapa jijin Dar es salaam, je ipo...
6 Reactions
82 Replies
3K Views
"Niko shambani nalima.Tunamshukuru Mama (Mhe. Rais) na serikali ya CCM kuipa msukumo sekta ya kilimo. Mbolea ya ruzuku na mazingira rafiki ya kilimo vimetupa nguvu zaidi ya kupambana. Kazi...
20 Reactions
74 Replies
11K Views
Wakuu baada ya kutoka Dubai mwezi wa 6 Sasa nataka Kwa mara nyingine nikatulize akili South Africa kama wiki 2 hivi wapi panafaa Kwa mapumziko katika hiyo miji miwili niliyoitaja? Johannesburg au...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Jiamini na Jitambue; Fahamu thamani yako na tambua uwezo ulionao. Kujiamini kunakuwezesha kuchukua hatua kubwa kuelekea malengo yako. Tambua kile unachokipenda na kilicho na maana kwako. Mfano: Mo...
3 Reactions
6 Replies
727 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…