Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kivuko MV. KILINDONI kinachotoa huduma kati ya Mafia Wilayani Mafia na Nyamisati Wilayani Kibiti Mkoani Pwani kitasimama kutoa huduma katika eneo hilo kuanzia siku ya leo Tarehe 12 Februari, 2025...
1 Reactions
3 Replies
452 Views
Products keys za bure unaweka kwenye Windows 10 & 11 Je ulikua unasumbuka kupata product keys za windows 10 na windows 11 kwa ajili ya kompyuta yako. Leo nimekuletea products za bure kabisa...
1 Reactions
2 Replies
523 Views
Ni kama vile imekuwa ni vigumu kukabiliana na changamoto ambazo Wenzetu huko nje hawana shida nazo, na kwa kuwa wameshakuja na matumizi ya taa za kuongozea Magari wakaishia hapo nasi tumebaki hapo...
1 Reactions
7 Replies
428 Views
Huu mwezi nimekuwa Malawi mara kadhaa nimejifunza vitu vingi huku ila ukweli Malawi hali ni mbaya . Thamani ya pesa Yao imeshuka kuliko kawaida, kuna njaaa Maeneo mengi na majanga , bidhaa huku...
16 Reactions
96 Replies
4K Views
Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa. Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa...
14 Reactions
121 Replies
5K Views
Ni toka mvua za mwaka jana 2024 mpaka leo barabara za Kichangani kuanzia Shule, Kisimani hadi Msikiti wa Mzee Nandule, kote huko njia hazipo ni kama vile Serikali imesahau kuwa kuna watu wanaishi...
2 Reactions
0 Replies
530 Views
Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu, wameanza zoezi la kufukua Mto Ngerengere katika eneo la Mazimbu Manispaa ya Morogoro. Akizungunza wakati wa zoezi hilo Afisa wa Maji Bonde la Wami Ruvu Kidakio...
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Maybe i am mis-informed na un-informed, labda ni ignorance, Bwana anisamehe, ila all in all nimekubali kuwa sijui na nisaidiwe kujua.
4 Reactions
10 Replies
559 Views
Kamishna wa Idara ya Upelelezi wa Kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Hashimu Ngoda amefanya ziara ya kutembelea vituo vya forodha ukanda wa pwani katika maeneo ya Kunduchi, Mbweni pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Mkuu wa Wilaya ya Momba, Elias Mwandobo, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake za kutoa fedha nyingi za miradi, hasa katika sekta ya elimu...
0 Reactions
1 Replies
537 Views
Wajuvi wa mambo Mradi gani wa umeme utanisaidi kuishi vizuri na familia bila bugha.... Umeme wa Tanesco/REA Au Ninunue Generetor
1 Reactions
12 Replies
732 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hii Nchi yetu ina kila aina ya sayansi na wana sayansi. Huko Mkoani Rukwa wilaya ya Sumbawanga kumejitokeza jambo ambalo limenigusa sana . Embu Soma habari hii👎 Katika...
5 Reactions
64 Replies
4K Views
Hello! Katika kazi ya utumishi wa Mungu kuna watumishi wa aina 3, watumishi wa kweli (Watumishi wa Mungu aliye hai), watumishi fake na watumishi wa uongo. Kila kundi lina makundi mengine madogo...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Nyuzi nyingi zimezungumzia makabila yenye watu wengi wenye elimu nasiyo akili. Elimu pekee haitoshi ila tunahitaji uwezo wa akili pamoja na elimu ili kuleta ubunifu ili tubali taifa. Pamoja...
36 Reactions
153 Replies
20K Views
Rangi za maua zina maana maalum, na ni muhimu kuchagua rangi sahihi ili kuwasilisha ujumbe sahihi kwa mhusika. Maua meupe yanawakilisha usafi, heshima, ujasiri, na mwanzo mpya, na mara nyingi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
0 Reactions
1 Replies
173 Views
Habari members of great thinkers, Leo nikiwa katika matulizo yangu ya kujiandaa na mtihani,ndipo sauti inanijia kichwani ikinena kwanini sisi? Unajua sisi vijana tulio wengi tunawaza kila siku...
3 Reactions
8 Replies
504 Views
Makumbusho ukikaa masaa 2 lazima shingo ikuume kugeuka geuka kila dakika aisee hiki kutuo kimejaa maua balaa Kama unajiona umetupia umenyooka kinoma ukifika hapa unajiona mshamba tu. Shkamoo...
29 Reactions
105 Replies
7K Views
Very sad, Polisi wanakamata watu hapa jirani na TRA Tanzania kwa kigezo cha uzurulaji. Hawa Polisi wanawakwida watu na kuwaingiza kwenye magari yao manne Toyota Land Cruiser yaliyopaki pembeni...
6 Reactions
9 Replies
483 Views
Mpo salama Kabisa! Ukiona watoto au kijana ambaye ni fuata mkumbo, fasheni, mfuasi na kawageuza Wasanii wa Muziki, Drama, na Filamu kuwa Role model ujue tayari mzazi au mlezi kuna mahali amefeli...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…