Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Mette Nørgaard Dissing-Spandet ameitembelea JamiiForums (JF) na kufanya mazungumzo na Uongozi na Watendaji wake ikiwa ni pamoja na kujionea maendeleo ya Taasisi...
23 Reactions
63 Replies
4K Views
Kulikuwa na malalamiko sana kwenye mamlaka hii maana kila kijana ukimkuta kijiweni lawama kwa NIDA ila hali mnavyoenda nayo kiukweli niwape maua yenu💐💐💐💐💐💐 Jamaa wangu alipeleka maombi tarehe 01...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida website ya kusajilia Kampuni ya ORS iliyo chini ya BRELA iko down kwa zaidi ya masaa 3 sasa ! Ikitoa ujumbe wa "capacity problem" message kama hizi hutokea pia ambapo...
0 Reactions
2 Replies
375 Views
Malaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndugu zangu mmetoa matangazo ya kazi na kuwataka Watanzania waombe lakini sijui ni kwa makusudi au bahati mbaya mtandao wenu ni shida kiasi kwamba inakuwa ni vigumu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika maisha kuna aina nyingi za watu , leo nitakupa aina tatu za watu ambazo zinaweza kuwa msaada kwenye maisha yako kwa namna moja au nyingine. 1.Leaf People (Watu Majani). Hii ni aina ya watu...
4 Reactions
4 Replies
708 Views
Ni kijiswali tu nilichojikuta kinanijia hivi kichwani Mungu, Vigogo wote wanaowalipa wako Dodoma, mbona chawa wao wamekomaa tu Dar?
1 Reactions
20 Replies
736 Views
Walimu na Wanafunzi wa shule ya msingi Nachingwea wameomba serikali na wadau waliowahi kusoma hapo kusaidia kuboresha majengo ya shule hiyo yaliyo na hali mbaya. Shule hiyo ina Wanafunzi 549...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Saa chache tangu taarifa ya kufukuzwa shule kwa wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga kwa madai ya wazazi wao kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkurugenzi Mtendaji wa...
6 Reactions
62 Replies
4K Views
Meta imeanza kufuta maelfu ya nafasi za kazi huku kampuni hiyo kubwa ya mitandao ya kijamii ikichukua msimamo mkali dhidi ya wafanyakazi wanaoshindwa kufanya vizuri na kujiandaa kifedha kwa ajili...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
NIRC YASHUSHA NEEMA PWANI KUJENGA VISIMA VYA UMWAGILIAJI VITANO NIRC Pwani Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imesaini mkataba wa mradi wa uchimbaji visima vitano vya umwagiliaji katika Mkoa...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Brigedia Jenerali, Fransic Mndolwa alipofanya mahojiano na kituo cha Televisheni cha ITV kwenye kipindi cha dakika 45 Februari 10, 2025 alisema Wananchi kuongozwa haimaanishi hawana akili, kwani...
2 Reactions
10 Replies
769 Views
Polisi wao ni watekelezaji wa sheria, Bunge ni watungaji wa Sheria baada ya CPD kuzipitia. Mapenedekezo yanatoka katika idara husika. Sasa, Bodaboda zina plate number kwa nyuma tu ila mbele...
0 Reactions
4 Replies
539 Views
Serikali mkoani Kigoma imeahidi kuendelea kusimamia kwa ufanisi miradi yote ya Maendeleo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati na ubora kama ilivyopangwa sambamba na kutosita kuchukua hatua kwa...
0 Reactions
1 Replies
313 Views
Amani iwe kwenu wanajamii Mama mjamzito usiku wa kwenda kuzaa akimuota Bikira Maria Anamzaa Yesu, kondo zimezagaa zagaaa. Hiyo ndoto inakuwa na maana gani? Na alizaa wa kiume
1 Reactions
11 Replies
640 Views
"Anajua hili eneo halitakiwi kufanywa shughuli za kilimo"- Remidius Mwema, Mkuu wa Wilaya ya Kiteto ==== Mamlaka zilikuwa wapi mpaka mtu anaandaa shamba lenye ukubwa ambao hawezi kulianda kwa siku...
2 Reactions
5 Replies
457 Views
"Viongozi lazima wahakikishe wana maarifa zaidi ya wale wanao waongoza ili waaminike, wananchi wanataka maendeleo, basi kiongozi uyajue maendeleo zaidi kuliko hawa wananchi" Brigedia Jenerali...
0 Reactions
10 Replies
362 Views
Mwaka 2015 wakati Taifa linajiandaa na Uchaguzi Mkuu, baadhi ya watu mashuhuri walipoteza uhai. Wachache wao ni kama Mchungaji Christopher Mtikila, Emanuel Makaidi, Deo Filikunjombe nk Nimeuliza...
0 Reactions
4 Replies
383 Views
Februari 10 hadi 11, Mkutano wa Kilele wa Hatua za Akili Bandia (AI) ulifanyika mjini Paris, Ufaransa, huku program ya akili bandia ya China DeepSeek toleo la bure inayovutia macho ya dunia nzima...
4 Reactions
6 Replies
616 Views
Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetoa mkopo wa asilimia 10 wenye thamani ya shilingi milioni 689 kwa vikundi 39 vinavyoundwa na wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu. Mkopo huo unalenga...
2 Reactions
3 Replies
512 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…