Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Walimu na Wanafunzi wa shule ya msingi Nachingwea wameomba serikali na wadau waliowahi kusoma hapo kusaidia kuboresha majengo ya shule hiyo yaliyo na hali mbaya. Shule hiyo ina Wanafunzi 549...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Saa chache tangu taarifa ya kufukuzwa shule kwa wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga kwa madai ya wazazi wao kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkurugenzi Mtendaji wa...
6 Reactions
62 Replies
4K Views
Meta imeanza kufuta maelfu ya nafasi za kazi huku kampuni hiyo kubwa ya mitandao ya kijamii ikichukua msimamo mkali dhidi ya wafanyakazi wanaoshindwa kufanya vizuri na kujiandaa kifedha kwa ajili...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
NIRC YASHUSHA NEEMA PWANI KUJENGA VISIMA VYA UMWAGILIAJI VITANO NIRC Pwani Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imesaini mkataba wa mradi wa uchimbaji visima vitano vya umwagiliaji katika Mkoa...
0 Reactions
0 Replies
375 Views
Brigedia Jenerali, Fransic Mndolwa alipofanya mahojiano na kituo cha Televisheni cha ITV kwenye kipindi cha dakika 45 Februari 10, 2025 alisema Wananchi kuongozwa haimaanishi hawana akili, kwani...
2 Reactions
10 Replies
768 Views
Polisi wao ni watekelezaji wa sheria, Bunge ni watungaji wa Sheria baada ya CPD kuzipitia. Mapenedekezo yanatoka katika idara husika. Sasa, Bodaboda zina plate number kwa nyuma tu ila mbele...
0 Reactions
4 Replies
539 Views
Serikali mkoani Kigoma imeahidi kuendelea kusimamia kwa ufanisi miradi yote ya Maendeleo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati na ubora kama ilivyopangwa sambamba na kutosita kuchukua hatua kwa...
0 Reactions
1 Replies
312 Views
Amani iwe kwenu wanajamii Mama mjamzito usiku wa kwenda kuzaa akimuota Bikira Maria Anamzaa Yesu, kondo zimezagaa zagaaa. Hiyo ndoto inakuwa na maana gani? Na alizaa wa kiume
1 Reactions
11 Replies
640 Views
"Anajua hili eneo halitakiwi kufanywa shughuli za kilimo"- Remidius Mwema, Mkuu wa Wilaya ya Kiteto ==== Mamlaka zilikuwa wapi mpaka mtu anaandaa shamba lenye ukubwa ambao hawezi kulianda kwa siku...
2 Reactions
5 Replies
457 Views
"Viongozi lazima wahakikishe wana maarifa zaidi ya wale wanao waongoza ili waaminike, wananchi wanataka maendeleo, basi kiongozi uyajue maendeleo zaidi kuliko hawa wananchi" Brigedia Jenerali...
0 Reactions
10 Replies
362 Views
Mwaka 2015 wakati Taifa linajiandaa na Uchaguzi Mkuu, baadhi ya watu mashuhuri walipoteza uhai. Wachache wao ni kama Mchungaji Christopher Mtikila, Emanuel Makaidi, Deo Filikunjombe nk Nimeuliza...
0 Reactions
4 Replies
383 Views
Februari 10 hadi 11, Mkutano wa Kilele wa Hatua za Akili Bandia (AI) ulifanyika mjini Paris, Ufaransa, huku program ya akili bandia ya China DeepSeek toleo la bure inayovutia macho ya dunia nzima...
4 Reactions
6 Replies
616 Views
Halmashauri ya Wilaya ya Geita imetoa mkopo wa asilimia 10 wenye thamani ya shilingi milioni 689 kwa vikundi 39 vinavyoundwa na wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu. Mkopo huo unalenga...
2 Reactions
3 Replies
512 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekabidhi hundi ya shilingi Milioni 730 kwa Vikundi 74 vya Vijana, Wanawake na Watu wenye...
1 Reactions
1 Replies
295 Views
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na ujenzi wa mradi wa maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) ambao umefikia asilimia 99 na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi...
0 Reactions
2 Replies
409 Views
Tanzania imeendelea kushiriki na kuandaa mikutano ya kimataifa kwa mara nyingine tena baada ya kupewa uenyeji wa mkutano wa kikanda wa mamlaka ya viwanja vya ndege utakaofanyika jiji la Arusha...
1 Reactions
15 Replies
781 Views
Mtaalamu wa mifumo ya kompyuta wa kampuni ya Vodacom Tanzania PLC, Naamini Yonazi akiongea na wasichana wanaofanya mafunzo ya Code like a Girl yanayofadhiliwa na kampuni hiyo kupitia asasi ya dLab...
1 Reactions
1 Replies
216 Views
Hellow Tanganyika!! Vita ya kiuchumi imepamba moto, hivi sasa unakula embe ,chungwa, papai linalochukua miezi chini ya SITA tu, linakuwa tayari Kwa chakula, Cha kushangaza hakuna mbegu ndani ya...
15 Reactions
110 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas,amemsifu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Dk Damas Ndumbaro kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo katika...
0 Reactions
1 Replies
374 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ