Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu nahisi ishu yangu ni ya kiroho, sijui ni mizimu ya ukoo, sijui nini wakuu Kila siku mimi nikuota narudi shule, mara kushtuka usinguzini kuona malue lue, muda mwingine naamka kabisa na...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Katika tukio lililotikisa jamii ya Lindi, Jeshi la Polisi la Mkoa huo limemkamata kijana mwenye umri wa miaka 13, Amidu Mohamedi Halfani, mkazi wa Kijiji cha Chiuta. Anatuhumiwa kumuua bibi yake...
5 Reactions
15 Replies
871 Views
Nimefurahishwa sana na bodaboda wa Kituo Kipya Gomz DSM, Nmependa sana utaratibu wa kusimamisha watu kutopita njia ya SGR pale zipitapo treni mimi nmepita leo mida ya saa1 jioni hivi nkajiuliza...
2 Reactions
2 Replies
499 Views
Nyaraka za Siri kuhusu kifo cha aliyekuwa Rais wa Marekani JF Kennedy aliyeuawa kwa kupigwa risasi, shambulio la Osama bin Raden maarufu kama 9/11, Wapi hasa COVID-19 ilitoka zote kuweka wazi...
0 Reactions
15 Replies
823 Views
Salaam, shalom! Mwili unaonekana, NAFSI ,akili na Roho havionekani ila vipo ,Volcano chini ya ardhi inaonekana, kuzimu ya moto IPO ,haionekani Kwa macho ya nyama. Lava IPO inaonekana, pia kuzimu...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2024 yanaonesha tena kwamba shule za Kanisa Katoliki zimeendelea kuongoza kwa viwango vya juu vya ufaulu. Kwa mfano, kati ya watahiniwa 19,182...
16 Reactions
191 Replies
7K Views
Kwa mara ya kwanza Tanzania inaenda kushuhudia uchaguzi mgumu sana wa kumpata raisi wa kuongoza taifa la Tanzania hapo 2025. Kwa dhati kabisa najua CCM watashinda ila utakuwa uchaguzi mgumu sana...
3 Reactions
44 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi waungwana Huyu John Pambalu ni kateksita, mchungaji au mwanasiasa? Sioni mchungaji au kateksita au mwanasiasa wa kumfananisha naye Kijana ana nondo ni balaa Kamchana chana...
4 Reactions
9 Replies
851 Views
Wananchi wa Kata ya Kia (Wilaya ya Hai, Kilimanjaro), Majengo (wilayani Arumeru, Arusha), na Naisinyai (wilayani Simanjiro, Manyara) wameandamana na kufunga barabara ya Mirerani hadi Uwanja wa...
3 Reactions
3 Replies
630 Views
https://www.youtube.com/live/JA35HedbKJA JamiiForums na ADRH (Africa Digital Rights Hub) wanaendesha Kongamano la Afrika kuhusiana na Ulinzi wa Taarifa Binafsi jijini Kampala, Uganda ambapo Mwaka...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Siku ya Faragha ya Taarifa huadhimishwa Januari 28 kila mwaka ikiangazia kuongeza uelewa kuhusu masuala ya ulinzi wa taarifa binafsi na kuhimiza sera na kanuni bora za kulinda taarifa za watu...
1 Reactions
1 Replies
549 Views
Wasafiri wengi hutumia mitandao ya kijamii zaidi wanapokuwa safarini mbali na nyumbani. Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka kuwa kudumisha faragha na usalama wa akaunti zako za mitandao ya kijamii...
0 Reactions
1 Replies
578 Views
JINSI YA KUJILINDA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII 1. Sio kila taarifa ni ya kushiriki katika Mitandao ya Kijamii, angalia umuhimu wa taarifa unayoishiriki. Internet haisahau 2. Kuwa makini na kuweka...
1 Reactions
1 Replies
943 Views
Australia inapanga kuzuia watoto wenye umri chini ya miaka 16 kuingia kwenye mitandao ya kijamii ili kulinda afya ya akili ya vijana, huku waziri mkuu Anthony Albanese akisema kuwa mitandao hii...
0 Reactions
1 Replies
411 Views
Siku ya jana katika uapisho wa Mawaziri na mabalozi wapya tumeona Rais wetu akiongelea kuhusu kumteua daktari Janabi hii Ina maana kuwa wanafuatilia kwa ukaribu mambo yanayoendelea kwenye mitandao...
0 Reactions
1 Replies
405 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa onyo kwa wahalifu baada ya jeshi la polisi kufanikiwa kuwapata watoto wawili waliotekwa Februari pili 2025 jijini Mwanza na kupatikana...
1 Reactions
3 Replies
609 Views
MIF & CARE INTERNATIONAL TANZANIA WAZINDUA YOUNG WOMEN LEADERSHIP PROGRAM Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) kwa kushirikiana...
0 Reactions
1 Replies
267 Views
Wakuu, Juzi umeme ulikuwa umekatika kwangu, ikabidi niende kwa jirani yangu kupoteza muda kidogo nikisubiri umeme urudi. Jirani yangu (anaelekea utu uzima) ana watoto 3. Mmoja yuko nursery na...
5 Reactions
5 Replies
440 Views
Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa Sekta ya Afya imefanya maendeleo makubwa katika kujenga uwezo wa kukabiliana na dharura za afya ikiwa ni pamoja na kuwekeza katika mifumo ya afya...
0 Reactions
1 Replies
274 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…