Hima ni kundi la watu wa asili ya Kibantu na Nilo-Hamitic linalopatikana hasa katika maeneo ya Afrika Mashariki na Kati, hasa Uganda, Rwanda, Burundi, Tanzania, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
Shaloom Shaloom
Katika pitapita zangu kwenye barabara ya Morogoro nimekumbana na tatizo kubwa la foleni kutoka ubungo mpaka Kimara kuelekea Mbezi. Foleni ni kubwa na haisogei kutokana na shughuli...
Nikiwa nataka kujua kuhusu nchi huwa natembelea page zenu IG na X. Hamna upande mko upande wa wananchi. Kipindi ambacho habari za kijamii zimekuwa zikikwepwa na vituo vingi nyie mmekuwa...
Habarini,
Mliowahi kutoka nje ya nchi hii basi mkuje kutuhabarisha kuhusu hili. Nini mmeona? Nini mmefanyiwa ili tunaohangaika kutoka tujue mapema.
Kuna mmoja alisema yeye aliwahi kuvutwa pua...
Licha ya awali usafiri wa Mwendokasi kuvutia watu wengi lakini kwa siku za hivi karibuni abiria wengi wamekuwa wakilalamikia changamoto mbalimbali ambazo zinajitokeza kwa nyakati tofauti.
Kwa...
Aisee mimi bora nijenge, ni mara mia ujinyime upange ijikusanye uje ujenge kuliko kununua nyumba alokua anaishi mtu kama family residence kisha uhamie humo.
Sababu ni kwamba wengi wetu wana fikra...
Nipo Marangu msibani nimemsindikiza best wangu aliyefiwa na shangazi yake na mazishi ni kesho.
Sasa basi asubuhi ya leo tukiwa hapa msibani kuna mtafaruku mkubwa umetokea baada ya mzee mmoja...
Kwa mujibu wa Wakili wa Masoud Kipanya, amesema Mtangazaji huto maarufu kwasasa anapata shida kujitokeza mbele ya watu kutokana na tuhuma za kujihusisha biashara haramu zilizotolewa na Mwijaku...
ULOKOLE UKIUNDESHA Kwa hisia tu
Unageuka kichaa ama chizi anayejua anavaa nguo nzuri na kwenda kwenye jengo fulani kukutana na wenzake.
YAANI paka anaweza pita nyumbani kwako,kisha akakutizama...
Kabla ya ndoa kufungwa,watarajiwa hulazimika kufanya vipimo vya afya zao hususan ukimwi.Hii imekuwa ni kanuni na imezoeleka hivyo.
Kutokana na yanaondelea huko ndoani watu kufanyiani mambo ya...
Mwigizaji Li Lianjie 'Jet Li' amewaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya kufunguka kuwa amemkabidhi mke wake Nina Li Chi utajiri na fedha zake zote.
Mwigizaji huyo mwenye utajiri unaokadiliwa...
Kila mtu huwa yupo na hofu ya kupitia kipindi kigumu sana kifedha.Watu maarufu yaani "Celebrity" na watu wenye fedha nyingi sana kama bilionea huwa wanaishi kwa "Stress" sana kuliko kundi lolote...
Mr presidaa bounjour,
Mr presidaa nayua Kiswahili inakusumbula sana, lakini nayua kuna batu yako ya karibu humu JF bataweza kukuelezea hii massage yangu kwako na utaelewa kila kitu ninachokwambia...
Nakuomba sana Marekani Afrika bado inakuhitaji sana,
Sisi ni kama watoto bado hatuwezi wenyewe unajitoa unajipeleka wapi Marekani?
Marekani baba kama kuna mahali tumekukosea tunaomba utusahamee...
Kwema wakuu!!!!
Leo nina kisa kidogo hapa cha kupotezea potezea muda.
Mida ya jioni leo nikasema nikatembelee mitaa flani kuwachek washkaji tubadilishane mawazo.
Nipo zangu road kuelekea kwa...
My Take
Hii mikutano iwe inapelekwa Arusha na Zanzibar ndiko hakuna uhaba wa Hoteli,hapo Dar kumejaa ma Bar na Hoteli za Kawaida ambazo Hazina hadhi ya Kimataifa.
==
Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tamko la THBUB kulaani mauaji ya Bw. Jumanne Juma
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Bw. Jumanne...