Baraza la Wawakilishi la Marekani hapo awali lilipitisha mswada wa sheria iliyolenga kuivua China hadhi yake ya "nchi inayoendelea". Hivi karibuni, Bunge la Marekani lilipendekeza azimio lingine...
Hellow Tanganyika,
Kuna issues nyingi muhimu niliwaza lini zitapata ufumbuzi, lakini siku chache tu baada ya kuapishwa huyu mtumishi wa Mungu Donald Trump nimepata kuona mwanga mbeleni,
Baadhi...
Salaam,
Nilipata wasaa wa kutembelea ndugu jijini Arusha takribani wiki mbili zilizopita. Nimejifunza experience mbaya sana ya angalau idadi kubwa ya wakazi wa Arusha bila kujali umri wao.
Watu...
Kwema Wakuu!
Kuanzia mwaka Juzi 2023 mwezi December, na mwaka Jana kukachanganya kuna ongezeko kubwa la Magari hasa malori ya Mafuta yakiwa na chata la Tai aliyevishwa Taji kichwani.
Kama...
Nyie mliojikuta Miamba ya kutetea wapale-stina kiasi kwamba mlijikuta mpaka mnatukana watu kisa Palestina, lakini sasa shida hii ya vita imetokea kwa majirani zetu wa damu kabisa hapo DRC, lakini...
Hatua za kuchukua unapogundua kuwa umepotea njia msituni fuata haya!
Hatua ya Kwanza.
angalia kwanza ni muda gani umepita au ni dakika ngapi zimepita tangu umegundua kuwa upo kwenye njia isiyo...
Katika utafiti uliofanywa na chuo kikuu kimoja nchini uingereza ukishirikisha watu zaidi ya laki 2 umeonyesha kua maisha ni magumu sana kwa wanaume wafupi na wanawake wanene ukilinganisha na...
Kwa sehemu kubwa mahubiri ya viongozi wa haya makanisa hawakemei dhambi, hawasisitizi maadili wala kukemea mmomonyoko wa maadili unaolitafuna Taifa kwasasa
Injili yao ni ya miujiza, utajiri...
Maghorofa 64 yaliyopo eneo la Kariakoo, Manispaa ya Ilala yamejengwa kinyume na sheria na kwamba baadhi yanaweza kuporomoka kutokana na ujenzi wake kuwa chini ya kiwango.
Kampuni iliyopewa zabuni...
Wajasiriamali wadogo waliopewa eneo la gati la maji nje ya soko la Kachoma, Kata ya Chemchem Manispaa ya Tabora ili wafanyie biashara zao kwa muda huku serikali ikiwatafutia maeneo mapya na sahihi...
Tokea jana kuna mkanganyiko mkubwa na muingiliano wa Habari, hasa za kitaifa UTV.
Je, Msimamizi wa maudhui ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku katika chaneli hiyo ya Azam tv amekumbwa na...
Hifadhi za taifa za Tanzania ni hazina ya asili na utamaduni ambazo zinatoa fursa nyingi za utalii. Kila hifadhi ina uzuri wake wa kipekee, ikiwa na mazingira tofauti, wanyama wa porini, na...
Habarini!
Mimi nina swali hivi wenzangu mnawezaje kukabili maisha. Najiskia kuchoka sana. Everyday I must worry about something. Yani matatizo hayaishi. Is this life? Being in constant worry and...
Kuna changamoto kubwa katika ufundishaji wa hii part ya chemistry ukitaka kujua chemistry ni rahisi sana hata kwa mjinga kufauku bila kusoma na kuelewa kwa sababu wengi Wana kalili sana, tatizo...
Kumekuwa na mijadala mingi isiyokuwa na Afya kwa masuala ya Dini humu majukwaani. Tatizo la hiyo mijadala ni watu kuleta mada ambazo ni porojo bila ushahidi wowote huku wakiaminisha watu kuwa ni...
Naomba kuwasilisha kero kwa Mamlaka zinazohusika kwani madarasa ya Shule ya Sekondari Teule ya Kigoma Ujiji katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji yanavuja jambo linalowapa shida...
Habari za muda huu
Sisi kama wanafunzi wa digrii tuliomaliza chuo mwaka Jana 2024 katika chuo kikuu TEOFILO KISANJI tunamalalamiko juu ya kile uongozi wa chuo unavotufanyia watahiniwa wake...
Binadamu Mungu ametupatia karama kubwa Sana na tofauti Sana.
Mimi huwa nikimtamkia mtu mema lazima yatokee.
Mfano Mimi ni Jobless sijapata Ajira Ila mpaka sasa nimewatafutia wengi sana Kazi na...
Habarini Wana JF,
Leo mwanangu katoka shule jioni,Ananiambia baba waalimu wamesema kesho twende na Hela ya Nembo kwenye Soksi!Najiuliza maswali,kama ni utambulisho wa mwanafunzi,nani anamacho...