Wakuu Habari zenu.
Kuna jirani yangu huu mwaka wa 12 haonekani na namba yake ikawa haipatikani mpaka Sasa ukipiga amepewa mtu mwingine kabisa. Sijui nini kimemkuta ila Kwa asilimia kubwa atakuwa...
KUNA WATU HAWANA SONI ILA NITAWAFURAHISHA, MNAJIITA NDUGU ZANGU KUMBE NI KENG*E TU!
Kama unavyojua familia za Kiafrika, mmoja akishatoka kimaisha basi unachagua na ndugu zako kuja kuwasaidia...
TAARIFA KWA UMMA
RATIBA ZA TRENI KUFUATIA MKUTANO WA NISHATI WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA JIJINI DAR ES SALAAM JANUARI 27-28, 2025
Dar es Salaam, Januari 26, 2025.
Shirika la Reli Tanzania (TRC)...
Habari ya weekend wana bodi
Natumaini Waziri mwenye dhamana pamoja na serikali huwa wanapita humu JF,
Hoja yangu ni juu ya kupanda bei kwa mafuta ya kupikia kila siku iitwapo leo. Mafuta ya...
Hivi unahisi Tanzania ya Leo ni sawa na miaka ya 60? Unapokuja kulazimisha hospitali za Umma zianzishe utaratibu wa kuchangisha pesa kinyume na miongozo ya afya una maana Gani?
Kuna huduma...
Kumekuwepo na sintofahamu kwa Walimu Wakuu wa Shule za Msingi za Serikali kutokana na utaratibu mbovu katika kugawa vitabu vya shule za msingi kwenye Halmashauri yetu ya Momba.
Vitabu...
Nina biashara yangu mahali na inaonekana vibaka ndiyo wanaweza wakanirudisha nyuma nisipochukua hatua yoyote kuwadhibiti. Nimeona pamoja na hatua nyingine nitakazochukua kuwadhibiti njia nyingine...
1: You were heartbroken by the one you loved.
2: You were rejected by the one you admired.
3: She/He cheated
4: Feminism
5: Toxic Masculinity
6: I have realized that Love is overrated
7...
Natumai wote hamjambo humu.
Nina ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, hapo awali alikuwa ni mtu smart na mpambanaji wa maisha, sijui kitu gani kimemkuta, anakunywa pombe muda wote hata kazi...
Kipindi niko mdogo stendi ya kwenda mikoani kutokea Dar ilikuwa Kisutu na nyingine ilikuwa Mnazi mmoja
Ni mpaka early 90s meya au mkurugenzi wa Jiji Bwana Keenja slipoihamishia Ubungo,jamaa...
https://youtu.be/Jit7E9k0K4E?si=_F1oaYEynokgjKYq
Mind you, hapo kama nitakuwa sawa sawa basi ni late 90s au early 2000s.
Sijui hii ni shule gani ila inaonekana kabisa sio LIKUD seko.
Hata...
Good luck Gozbert ni kijana aliyekosa maono katika maisha yake binafsi.
Huyu jamaa anapewa Gari , anapewa Nyumba n.k ni baada ya yeye kuachana na Management yake ya mwanzo.
Kafanya Kazi nyingi...
Ndugu zangu shetani hajalala shetani anafanya kazi mpaka sasa. Kuna watu hawajuwi vile shetani anafanya kazi ila kwa wale tuna soma Biblia shetani sio kiumbe mzuri.
Shetani ktk hii dunia ya leo...
Wanajukwaa!
Jiji katika siku hizi 2 litakuwa bize sana so kila kitu kitakwenda kwa speend sana
===================
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limewaomba abiria wanaofanya safari zao kati ya...
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AWAJIBISHWE HARAKA KULINDA UTU WA WANANCHI
Chama cha ACT Wazalendo kinalaani vikali kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Albert Chalamila inayowataka...
Kwa masikitiko makubwa naangalia jinsi wasafirishaji wa Madawa ya kulevya wameona kuwa huu ni muda muafaka kuanza biashara yao haramu.
Baada ya lile tukio la kukamatwa kwa kiwango kikubwa zaidi...
" Masikini watoto wa Kayumba za Likud wamepata zero kibao duh ndio kwisha habari Yao"
Kuna watu kadhaa wame nitag kunikejeli Kwa hoja hii..cha ajabu ni kwamba watu hao wana jiita graduates...
Popote pale uionapo mada inayowahusu watu wa Mungu usitumie akili yako bali tumia akili itokanayo na Mungu.
Tumekuwa wakurupukiaji wa mada sana hasa kuzogoa na kuwasema vibaya watu wafanyayo...
Azam TV Niwapongeze kwa kusaidia kuleta mapinduzi makubwa kwenye soka la Tanzania kwa sasa kila nyumba ina shabiki wa mpira kama si familia nzima, Mnastahili pongezi.
Lakini hofu yangu ni juu ya...