Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu naomba mnisadie kwa nini Mall kubwa kama Mlimani City haifanyi kazi saa 24?
1 Reactions
4 Replies
696 Views
Ila Africa tunatia huruma, inatia sana haira hadi leo baada ya kupewa misaada mingi miaka nenda rudi bado tunangoja msaada wa ARV na condom 😣😣. Kampeni ya kuelimisha jamii juu ya afya mpaka...
7 Reactions
48 Replies
1K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania (Masijala Ndogo ya Dar es Salaam) imeondoa kesi ya kashfa ya Ally Masoud Nyomwa maarufu Masoud Kipanya dhidi ya Burton Mwemba Mwijaku, kutokana na dosari za usajili. Jaji...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Shughuli zangu za kutafuta kipato zinanilazimisha kusafir mara nyingi kwenda nje kwa (ndege) za mashirika mbalimbali hususani Emirates, Qatar na KLM. Sasa kutokana na Miles nilizo nazo mara...
47 Reactions
132 Replies
7K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania (Masijala Ndogo ya Dar es Salaam) imeondoa kesi ya kashfa ya Ally Masoud Nyomwa maarufu Masoud Kipanya dhidi ya Burton Mwemba 'Mwijaku', kutokana na dosari za usajili...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwijaku amemtuhumu Masoud Kipanya kuwa "anafanya biashara haramu inayoharibu vijana". Ametoa tuhuma hizi kwa mandishi kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Tuhuma hizi ni nzito na...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Aisee DAWASA kuweni serious na maisha ya watu. Tunataka maji aisee.
0 Reactions
1 Replies
312 Views
Wakishapewa mikopo na bahasha wanaongea tu none stop. Kila mtanzania anaepata nafasi ya ulaji anabadilika moja kwa moja. Kila mmoja anaangalia tumbo lake hata kama litakost wengine. Pesa ya...
1 Reactions
3 Replies
266 Views
Nimeona clip Mkuu wa Mkoa Arusha anasema kuna mwananchi kanunua nyumba kashindwa kukabidhiwa nyumba aliyolipa asilimia 70 na kapewa kesi yaani ujambazi wa kutumia silaha na kituo cha polisi Usa...
1 Reactions
4 Replies
612 Views
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Khamis amesema Tume inaendelea kutuma njia mbalimbali za kutoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya utawala bora...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
Kiwanda cha dawa Arusha kilianza kuzalisha ARV, kikapigwa zengwe na kashfa kikapatikana kinazalisha ARVs feki. Kikafungiwa. Sasa wakati huu Trump anatukatia msaada wa pesa za ARVs kwa miezi...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Rapa Izzo Bizness ameelezea hofu yake kuhusu matukio ya hivi karibuni ya vifo na kutekwa kwa watu, akisema hali imekuwa ya kutisha zaidi. Kupitia mtandao wa X (zamani Twitter), Izzo ameonyesha...
3 Reactions
1 Replies
420 Views
Tumekuwa tukishuhudia vifo vya ajali, kupotea na kutekwa, watu kuuwawa baada ya kulawitiwa. Tanzania amka. Hivi vifo vinavyoripotiwa na visivyoripotiwa ni zaidi ya vifo vya vita. Tunahitaji maombi...
2 Reactions
10 Replies
589 Views
  • Closed
Amini kwamba Kuna baadhi ya mambo hapa duniani huwezi kuyaelewa mpaka Likud akueleweshe. Haya Sasa twende Kazi. πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Kumekuwa na Kelele nyingi Sana kutoka Kwa watu wanao jiita watetezi wa haki za...
13 Reactions
90 Replies
5K Views
Nauliza hivi kwasababu wagumu sana kubadilika yaan wasomali ni zaidi ya masai
1 Reactions
9 Replies
485 Views
Wasiwasi umetanda katika baadhi ya Vyuo Vikuu nchini Marekani huku vingine vikitoa tahadhari kwa Wanafunzi wa Kimataifa kurudi vyuoni kabla ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa nchi hiyo Donald Trump...
0 Reactions
2 Replies
478 Views
Kwa wale Wote ambao leo Asubuhi tulitizama Jambo Tanzania na TBC1 nadhani tulimuona Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga alipokuwa akimpongeza Rais Samia kwa Siku yake ya Kuzaliwa leo na baadae akaenda...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeweka kwenye friji yangu chupa tatu za maji kutoka kampuni tatu tofauti za Hill water, Kilimanjaro na Uhai Baada ya muda nimefungua tena friji na kukuta maji ya...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Salaam wakuu. Wahenga walisema Tahadhali ni bora kabla ya hatari, na umakini unalipa kuliko uzembe, na akili ni njema kuliko ujinga, na utoshelevu ni bora kuliko kupungukiwa. Mpendwa kama...
10 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…