Mnamo Januari 8, 2016, wakati wa operesheni ya Kikosi Maalum cha Jeshi la Wanamaji la Mexico ya kumkamata "Cholo" Iván Gastélum—mmoja wa wauwaji wakuu wa Sinaloa Cartel — maafisa wawili wa Polisi...
Habari wakuu
Natoa ushauri kuwepo na wakala wa SGR TICKETS kama zilivyo huduma ya Mpesa kila sehemu ya miji ambayo SGR inapita
Huyo wakala anapata commission kwa kila ticket atakayokata
Treni...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutofumbia macho watu wanaojichukulia sheria mkononi wakati mwingine hata dhidi ya vyombo vya...
Imekuaje watanzia wamekuwa watu wapuuzi na kuupa upuuzi kipaumbele.
Kuna haya mashindano ya missgrand.
Kuna mambo ya miaka 30 ya bongofleva.
Simba na Yanga.
Kumfagilia niffer .
Na kusahau...
Habari zenu wakuu.
Tufanye una ndugu au jamaa yako aliyekupita mbali kifedha, unaweza kumbebea zawadi gani ili usiende mikono mitupu? Ile imetokea tu unataka kwenda kumtembelea sio kwamba ni...
Kucheza rough kwenye Maisha ni lazima.
Muulize baba yako alimlaghai mama yako ukapatikana wewe.
Watu wengi wanaonekana wabaya virse versa ni watu wema sana.Ila tu ukweli unawaponza .
Dunia...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob Mkunda, amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), akisisitiza kuwa jeshi hilo ni mali ya...
Wahenga walisema kifo ni kifo tu tusizue taharuki lakini kuna wakati kifo ni msiba mzito.
Najaribu kupata picha ya uchungu ulionao, hivi majuzi umempoteza mume wako halali, na Chivayo alikuja...
Hakuna mtu atasponsor lifestyle ya gharama kubwa hivyo kwasababu ya sex ya namna yoyote, ila wanapenda mfikiri hivyo.
Mjini hela iko nyingi sana na inaonekana wameirudisha baada ya kuona hakuna...
Aisee toka ni mdiskkave huyu dada nimekuwa addicted to her songs....
Alaf shemeji yenyu yupo nje anafua nguo mm nafanya kaziii zangu online,
Halafu in the background zinapigwa ngoma za SZA Oyaa...
Katika vijiji vya kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula pesa za Wananchi takribani miaka 3 iliyopita.
Baadhi ya...
Yani uwe adui wa mfumo kwa kusema waTanzania watafute Katiba mpya???
Hukujiuzuru kipindi wanasiasa wanatekwa kila siku, wafanyabiashara wakiwa wanatekwa, miili zilipokuwa zikiokotwa kila siku...
Wakuu habari!
Kwa muda mrefu sasa hii nchi imekuwa na uholela wa kufanya biashara hasa kwa hawa wanaojiita wamachinga!
Kwa jiji la Dsm wamachinga wamejimilikisha maeneo yote ya barabara na...
Je wajua kwamba kuna wakati ukimya wako unaweza kusema zaidi kuliko maneno elfu? Je wajua kwamba kuna maswali ambayo jibu lake linaweza kukupunguzia thamani badala ya kukuongezea? Je wajua kwamba...
Athari za Kimaadili na Kiroho (kupanda mbegu za chuki, kupoteza imani, na udhalilishaji wa utu) na Athari za Kiusalama na Kijamii (utengenezaji wa silaha za mtandao, habari za uongo za kuchafulia...
1. Mungu Jehovah anasema usiue
2. Usifanye zinaa
3. Watumishi wake Malaika
4. Penda watu wote
5. Usiseme Uongo
1. mungu shetani allah anasema ua wasio wa shetani
2. Oa badilisha utakavyo na ukija...
Tunashukuru kwa kulipazia sauti suala la Jengo la RITA Tower lililopo hapa Dar es Salaam, ambalo lilikuwa na changamoto ya sinki za kunawia kwenye vyoo kung'olewa na kutopatikana kwa huduma hiyo...
Halmashauri ya wilaya ya Nzega -Tabora haijatulipa fedha za kujikimu walimu wa ajira mpya 2026 badala yake imewalipa watumishi wa afya pekee, hii sio haki kwa watumishi wengine Kwani wote tuna...
Hapa ni Manyara, Wilaya ya Hanang, Kata ya Basutu.
Inadaiwa kuwa mtu huyu amepigwa vibaya mikono yake ikiwa imefungwa nyuma, huku miguu yake ikipondwa kwa nyundo. Kwa mujibu wa taarifa hiyo...