Mahakama ya Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa imemhukumu Bw. Badwin Atanazi Chundu (60), Mtendaji wa Kata ya Ikozi, kifungo cha miaka 60 jela pamoja na kurejesha zaidi ya Shilingi milioni 44...
Chama cha Mawakili wa Serikali (PBA) kimesema hatua zilizochukuliwa na viongozi wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) cha kuwataka mawakili wa kujitegemea kutoshiriki kwenye shughuli za utoaji...
Wakili Mwabukusi ambaye pia ni Rais wa TLS (Chama cha Wanasheria Tanganyika), akizungumza na Wakili TV leo, amesema TLS inachukulia suala la polisi kuzunguka katika ofisi zao kwa uzito mkubwa...
Timothy James Clark, rubani raia wa Australia, alifariki katika ajali ya ndege huko Brazil. Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Coruripe, kwenye pwani ya Brazil.
Polisi walipochunguza eneo la...
Yesu alizaliwa Myahudi, aliishi katika mila na desturi za Uyahudi, na alitumia maandiko ya Torati na manabii waliomtangulia kama msingi wa mafundisho yake. Hata hivyo, Wayahudi hawakumkubali kuwa...
Wakuu, nimeona hiyo clip ya 5'o amelikamata basi la DART kwa kujaza nyomi. Mashuhuda wanadai abiria walikuwa wanaimba "hatumtaki!". Huu ujumbe umeibua mawazo kichwani mwangu na nimeshindwa kupata...
Katika ulimwengu wa taaluma, ulinzi wa tasnifu (thesis defense) ni tukio la heshima na ukomo wa safari ya mwanafunzi wa shahada ya Uzamili au Uzamivu, Master's pamoja na PhD.
Ni hapa ndipo...
Tarehe 23 Septemba 2025, Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa hukumu ya kifungo cha maisha jela dhidi ya Hemedi Juma Mrisho maarufu kama Horohoro, baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na...
JPM alikuwa nabii
Katika moja ya hotuba zake, Rais Magufuli alizungumzia michango ya 2% ambayo walimu hukatwa kwenye mishahara yao ili kuchangia Chama Cha Waalimu (CWT). Magufuli alisema michango...
Chukua mshahara wako gawanya kwa siku unazoenda kazini uone unalipwa shilingi ngapi kwa siku
Mimi kwa siku nalipwa 30k sawa na 900k kwa mwezi
Sijui wewe
Nilikuwa nasoma kitabu kimoja nikakutana na sentensi hii, ikanifikirisha kidogo.
Nikataka kujua mwandishi wa kitabu hicho alimaanisha nini kusema watu wengi hasa Afrika, wanakufa wakiwa na miaka...
IDADI KUBWA YA WADADA WA VYUONI NI SINGLE MOTHERS
Soma pia: Athari zinazopatikana kwa mtoto alielelewa na Single mother
Ulimwengu unakwenda kasi sana, siku hizi maovu tumeyachukulia kama...
Wafipa si wakorofi jamaani hadi kuwaletea mbwa ila ukizingua wanakupiga radi ya 200 kwenye jua kali
====================
Katika kuimarisha ulinzi na usalama mkoani Rukwa, Jeshi la Polisi kupitia...
Kiufupi baada ya kupata mtoto wangu 2021 nilimpa Jina la Samia kutokana na mafanikia ya bi mkubwa mmoja mtaani ambaye alikuwa mwanamke wa kwanza pale mtaani kuwa na Master of Science in Computer...
Yer 5:25 SUV
[25] Maovu yenu yameyageuza haya, na dhambi zenu zimewazuilia mema msiyapate.
Ujumbe huu ulikuja kupitia kinywa cha nabii Yeremia kwa taifa la Yuda, watu hawa walikuwa wamemwacha...
UKWELI KUHUSU KAMARI
Habari yako mwana jf unaesoma uzi huu, leo nataka nizungumze na wewe, uwe mkamali au sio mkamalia huu ni ujumbe muhimu kwako
KAMARI NI NINI
Kamari ni mchezo wa kukusanya...
Habari Ndugu Watanzania na jamii ya ulimwengu kwa ujumla.
Nichukue fursa kutimiza haki, uhuru na wajibu wa kikatiba wa kulitakia mema Taifa na watu wake.
Ni muda mrefu sasa tangia Utawala wa...
Aidha utamkuta kwenye nembo au kwenye bendera.
Mexico
Albania
Moldova
Egypt
Germany
Kazakhstan
Montenegro
Russia
Serbia
Austria
Poland
Romania
United States
Armenia
Czech Republic
Liechtenstein...