zumas family tree

ni kweli ila mie nawashangaa zaidi hao wanawake wanaokubali kuolewa naye,over my dead body,sitaruhusu kushare mume maishani bora niwe single forever.

Sasa mie nataka nikuoe uwe Cheusimangala uwe no.1, GS awe no.2, Nyamayao awe no.3, FirstLady1 akamate no. 4 halafu outdoors a.k.a (girl friend) ata_play Maria Roza naSmiles. Ili ku-complete the need full tayari nina mtoto mmoja wa nje named Boflo. What a family

Nauliza mtapigaaaana? au mta show lov!
 
Sasa mie nataka nikuoe uwe Cheusimangala uwe no.1, GS awe no.2, Nyamayao awe no.3, FirstLady1 akamate no. 4 halafu outdoors a.k.a (girl friend) ata_play Maria Roza na Smiles. Ili ku-complete the need full tayari nina mtoto mmoja wa nje named Boflo. What a family

Nauliza mtapigaaaana? au mta show lov!

Unaonaje tukikuoa ww:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:
 
Unaonaje tukikuoa ww:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:

Haina mbaya kikubwa ni kile kitu kinachotuungaisha na kutufanya tuwe mwili mmoja. No matter nani anamuoa nani. Ha ahaaaa! We nzako woooote wamekaa kimya it mean no Problem wewe tu ndio unapinga. Okay nitakuweka no. 1 then Cheusimangala atacover hiyo nafasi ya outdoors. Hureeee!!!!

Jamani mwenye namba ya Gugu Plzzzzzzzzzzzzz! Ila msije mkamuambia mzee Zuma.
 
Anaishi nyuma ya wakati - cha kushangaza ni kwamba wanawake wote hao wanakubali kuvutwa nyuma ya wakati pamoja naye.
 
Kumbe Gugu ni mtoto wa Zuma nampenda sana huwa namcheki kwenye Isidingo the need ila sikujua chanzo chake
 
hamna shida,Rev masa yuko wapi atufungishe ndoa.
nami nitakua muaminifu kwako hadi kifo kitutenganisha coz najua kitatutenganisha baada ya miezi sita na ww ndo utatangulia lkn ucjali nitaendeleza vizuri mali zako zote nitakazorithi

Cheusi mbona unataka kuniua kabla wakati wangu haujafika:mad: ili nani akurithi wewe nimesema sitaki sitaki
 
Ananifurahisha sana J Zuma, anaoa na hafichi kitu, tofauti na kirais fulani kinaoa vitoto vidoogo alafu kinaficha japo dini yake inakiruhusu, kwa ufupi ni kwamba hakijiamini
 
Hichi ni kidume cha mbegu, nakikubali vilivyo! Anagawa mbegu kwa anayetaka kwani hakuna kati yao anaeylazimishwa au kudanganywa, wote wanajua ana msururu wa wanawake bado wanakuja, afanye nini? Akiwakatalia atakuwa anafanya khiyana wakati khiyana sio nzuri kwa binadamu mwenzio-"umnyime kitu mwenzio unacho"
 
Cheusi mbona unataka kuniua kabla wakati wangu haujafika:mad: ili nani akurithi wewe nimesema sitaki sitaki

usiogope hivyo ndivyo roho alivyonifunulia.jiweke tayari kwani hujui siku wala saa bali hesabu miezi 6 tokea siku Rev atakaposema you may kiss the bride.
 
Sasa mie nataka nikuoe uwe Cheusimangala uwe no.1, GS awe no.2, Nyamayao awe no.3, FirstLady1 akamate no. 4 halafu outdoors a.k.a (girl friend) ata_play Maria Roza naSmiles. Ili ku-complete the need full tayari nina mtoto mmoja wa nje named Boflo. What a family

Nauliza mtapigaaaana? au mta show lov!

hamna shida ila ngoja nianze counceling ya jinsi ya kumhandle huyo mtoto wako maana nahisi anaweza trouble kuliko hao wake wenzangu
 
usiogope hivyo ndivyo roho alivyonifunulia.jiweke tayari kwani hujui siku wala saa bali hesabu miezi 6 tokea siku Rev atakaposema you may kiss the bride.

Isije ikawa Rev ndio anataka nife halafu akurithi wewe ngoja na mimi nisubiri nione roho atakavyonifunulia maana hapa naona nachezewa karata
 
hata tukisema mila zao zinaruhusu but kwa dunia ya leo hizo mila zinatakiwa zivunjwe jamani, wanawake wote hao wa nini?

Nyamayao bwana!!Unauliza wanini??kuosha rungu kwa nafasi huyo kapanda apolo au aero space unaita kiburudisho cha pili!!mwulize Finest anamajibu yako yote!
 
Cheusi hao watoto hawawezi kupendana labda upendo wa kugundisha na gundi,tusishangae tukasikia tena anatangaza harusi na bado infidelity kama kawa!!!He needs grace
karibu mwanamke mwenye busara weye
 
Back
Top Bottom