Eberi M. Manya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 743
- 280
Naona mijitu ya Lumumba imejikita huku kuandika utumbo. Peleni sana,,akili ya kuanzimwa ni kazi sana,
Haya maneno ni ya mtanzania kweli!JPM tumekusikia wanakigoma,ndege zenu hamkununua kwa kubadilishana na migebuka wala dagaa.Sisi wavuvi wakigoma acha tuendelee kuvua migebuka,dagaa na mawese maana tumesoma kwa vitu hivyo.
Lakini nakuasa tu usijaribu kwa Zitto Kabwe kufanya kafanya ulivyomfanyia mwanachadema.Sisi huku Kigoma hatuna smg,bastola wala AKA 47,wala gobole huku tunu yetu ni wazee.
Tunajua unaijua kigoma vizuri basi tunaomba utuheshimu nasi tutakuheshimu.Sisi niwanakigoma hatukubali kuzurumiwa wala kukashifiwa.Sifa yetu kuu tunaamini moto dawa yake nimoto,SMG dawa yake niwazee kwahiyo tunaomba utuheshimu nasi tutakuheshimu.
ndege zimenunuliwa kwa pesa za kukopa kwa wazungu nasio pesa za serekali,acheni umburula
View attachment 615135
Serikali ya CCM ya awamu ya Tano imekopa $500m kutoka Benki ya CreditSuisse ya Uswiss Kwa riba kubwa Sana. Sehemu ya Fedha hizo zimetumika kulipia Ndege ambazo Serikali inanunua. Wavuvi wa Migebuka Kigoma watahusika kulipa deni Hilo kupitia kodi zao.
ndege zimenunuliwa kwa pesa za kukopa kwa wazungu nasio pesa za serekali,acheni umburula
Naona kila dalili za zitto kukamatwa muda si mrefu!! Ninachoamini zitto huwa hasemi uongo!! Ukiacha hilo la mkopo na hizo pesa za mashirika sijui kama utakuwa salama zitto.Mungu akulinde.Zitto usiendelee kumuumbua dikteta tafadhali. Huyo jamaa hataki hata kuambiwa ukweli. Jiangalie la sivyo yatakukuta ya Lissu.
View attachment 615135
Serikali ya CCM ya awamu ya Tano imekopa $500m kutoka Benki ya CreditSuisse ya Uswiss Kwa riba kubwa Sana. Sehemu ya Fedha hizo zimetumika kulipia Ndege ambazo Serikali inanunua. Wavuvi wa Migebuka Kigoma watahusika kulipa deni Hilo kupitia kodi zao.
Acha ukichaaZITTO KABWE wew na hao wavuvi wako waambie mgomee ,,,we jamaa umeshaanza kuwa kilaza hizo ndege ni za taifa au za rais ,,,,nazani yale madevu yanakutoa ufahamu sasa babau huna jipya weshachoka wew
akiguswa Zitto ni suicidal kwa amgusaye.Zitto usiendelee kumuumbua dikteta tafadhali. Huyo jamaa hataki hata kuambiwa ukweli. Jiangalie la sivyo yatakukuta ya Lissu.
Kama anapata muda wa kuangalia shilawadu, atakosa wa kusoma tweets za watu? Hana kazi pale Ikulu! Ndiyo maana anazidi kunawiri; haumuzi kichwa wala akili juu ya umaskini uliokithiri wa watanzania! Yaani viongozi wa kiafrika uwa wanaingia madarakani wakiwa wamepauka kweli, ila wakiwa madarakani wanatakata na kung’ara. Viongozi wa nchi zenye watu (siyo maiti kama Tanzania) viongozi uingia madarakani wametakata, wakiwa madarakani upauka na kuzeeka ghafla hata kama ni vijana. Wakistaafu ung’avu wao urudi. Huwezi kutoka kitambi na mashavu kama unaumiza akili ya namna ya kupambana na umaskini wa wapiga kura wako; au pale unapoongoza taifa lenye watu wanaojielewa na kujitambua.!!Kuna mtu naona anamsomea pindi watu fulani wakiandika sidhani kama ana muda wa kufuatili hivyo!!!
Weka namba yako ya simu unaweza teuliwa.Zitto mbona hazungumzii mradi mkubwa wa maji kutoka Ziwa Tanganyika .Zitto aache unafki
atatuma nissan na bashite na smgZitto usiendelee kumuumbua dikteta tafadhali. Huyo jamaa hataki hata kuambiwa ukweli. Jiangalie la sivyo yatakukuta ya Lissu.